eti jamani nasikia drogba majeruhi ni kweli,anayejua atujuze
Mkuu huon torres akianza leo anaweza kutoa gundu la kutofunga?
Ndio aliumia ankle.
![]()
![]()
first 11
cech
ivanovic
filipe luis
cahil
j terry
matic
fabregas
hazard
willian
oscar
diego costa
nimekuelewa na wala sijamzungumzia Walcot kwenye post yangu hata mojahahahaha........... umetoka nje ya hoja kw kuzungumzia avatar ndio mana nikakwambia tetea hoja yako, Costa siyo wa kulinganishwa na Sanchez!!".utakua humtendei haki Costa. Wakulinganishwa nae labda Suarez au ibrahimovic.
Na huyo Walcot wako unaemsifia! ni galasa tu, mchezaji gani mimbio tu. anakimbia na mpira mpaka nje ya uwanja. Haangalii akina Bale wana mbio na akili. Walcot kw kikosi cha chelsea hata kikosi ch pili hapati namba!
Grand PA
Courtois ndo anakaa golini mkuu