Hii ni picha ya mwaka 2012 kwenye mechi za UCL ilikuwa mechi kati ya CHELSEA FC vs AS BENFICA. Mechi hii the Old Lion{Simba Mzee}, Didier Drogba hakucheza..ilikuwa mechi ya robo fainali. hatimaye Simba mzee alirejea kwneye mechi vs Barcelona CF na kufanya mambo yake..
[/CENTER]
Hii picha kwenye post ya kwanza very outdated yaani ni wachezaji sita tuu bado wanachezea Chelsea.
Hata kama ni ya timu iliyocheza na kushinda Champions League mbona the actual player who won it haoenekani kwenye picha?