Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

MSIMU ULIOPITA tulifunga City nje na ndani. 2-1 na 1-0. tuliifunga Liverpool fc, 2-1, 2-0,

Arsenal 0-0 CFC[kwao], CFC 6- 0 Arsenal [kwetu]
Man utd 0- 0 CFC[kwao], CFC 3- 1 Man utd[kwetu]

hawa hawatunyimi usingizi hata kidogo,,msimu ujao tunarudisha point zetu kwa Sunderland, WBA, na madogo wengine kwa kupiga 5-0 kila mmoja..ubingwa tutautangaza mwezi wa 3 mwakani...:A S-eek:

Mimi nishasema Msimu huu ni Chelsea FC kwa kikosi chetu wale Fly emirates, etihad,chevrolet,stanbic wote kilio chawafata. Msimu huu ni mwendo wa samaki yaani twala pande zote nje ndani Costa Mfungaji bora, kipa bora anajulikana naona wampe Tuzo kabisa kabla hajaanza cheza.
Mark my words
 
Msimu uliopita ni ARSENAL na LIVERPOOL ambazo zilicheza sana pale kileleni..Arsenal alianza akashindwa kumaliza..akafia mwezi wa 2 tu.

Hata sasa ligi haijaanza ARSENAL FC ni ya kwanza kwenye 'table' na unajua timu yenu haitashika hata nafasi ya 3. Arsenal itaishia nafasi ya 4 msimu ujao.

Na ni msimu huo huo uliopita ambapo watu walituhakikishia watachukua EPL, UCL na FA lakini mwisho wa siku tuliona mambo ya mtaka vyote kwa pupa.
 
WINNING IS THE ONLY OPTION...

WIN WIN WIN..tutuchakua mwaka huu.:first::first::first:

Na ni msimu huo huo uliopita ambapo watu walituhakikishia watachukua EPL, UCL na FA lakini mwisho wa siku tuliona mambo ya mtaka vyote kwa pupa.
 
Na ni msimu huo huo uliopita ambapo watu walituhakikishia watachukua EPL, UCL na FA lakini mwisho wa siku tuliona mambo ya mtaka vyote kwa pupa.

sawa kabisa mafanikio ya ARSENAL yamekuwa kuchukua FA cup..we hate to be that way..we know where we belong..UCL, PREMIER LEAGUE, EUROPA LEAGUE..:A S-eek:
 
10500357_776809245672731_7502120240162135893_n.jpg
 
325527_f_torres.jpg

kumekuwa na fununu nyingi kwamba huyu bwana Fernando Torres anahitaji na timu ya WOLFSBURG inayoshirika Bundesliga.
ngoja tusubiri kusikia zaidi..:A S-eek:
 
MSIMU ULIOPITA tulifunga City nje na ndani. 2-1 na 1-0. tuliifunga Liverpool fc, 2-1, 2-0,

Arsenal 0-0 CFC[kwao], CFC 6- 0 Arsenal [kwetu]
Man utd 0- 0 CFC[kwao], CFC 3- 1 Man utd[kwetu]

hawa hawatunyimi usingizi hata kidogo,,msimu ujao tunarudisha point zetu kwa Sunderland, WBA, na madogo wengine kwa kupiga 5-0 kila mmoja.
.ubingwa tutautangaza mwezi wa 3 mwakani...:A S-eek:

naomba tukumbushane hili
 
MSIMU ULIOPITA tulifunga City nje na ndani. 2-1 na 1-0. tuliifunga Liverpool fc, 2-1, 2-0,

Arsenal 0-0 CFC[kwao], CFC 6- 0 Arsenal [kwetu]
Man utd 0- 0 CFC[kwao], CFC 3- 1 Man utd[kwetu]

hawa hawatunyimi usingizi hata kidogo,,msimu ujao tunarudisha point zetu kwa Sunderland, WBA, na madogo wengine kwa kupiga 5-0 kila mmoja..ubingwa tutautangaza mwezi wa 3 mwakani...:A S-eek:

Kama kawaida yenu siku zote nyie ni washindi kabla ya mechi na ni mabingwa kabla ligi haijaisha (kwa maneno yenu). Lakini baada ya ligi kumalizika mnaanza kuyakana maneno yenu wenyewe.
Refer: maneno yenu ya msimu uliopita.
 
ndo tulivyo..na mara nyingi imetusaidia kushinda. tunajiamini sana. tumechukua makombe makubwa ambayo ARSENAL haijawahi kuchukua kwa sababu ya kujiamini.

kujiamini ni nusu ya ushindi.
 
wafuatao wako hatarini kuuzwa au kuondoka:
1.Marco Marin
2.Obi Mikel
3.Ramires
4.Moses
5.Josh McEachran.

lakini huenda wakabaki kwa ajili ya FA na Capitol..
 
wafuatao wako hatarini kuuzwa au kuondoka:
1.Marco Marin
2.Obi Mikel
3.Ramires
4.Moses
5.Josh McEachran.

lakini huenda wakabaki kwa ajili ya FA na Capitol..

Ubaya ni kuwa kama mchezaji huwezi bakia sehemu moja milele
 
Wakuu @agost 8, Ntuzu amani kwenu!

Msimu huo unakuja naamini kabsa kwa kikosi tulichonacho ubingwa ni LAZIMA!

Jiandae tuu kwa sherehe!

Naomba kuuliza huyu kijana aliyesimama kati siku tunamnyoa Liverpool (Thomas Kalas) yupo au ameenda kwa mkopo somewhere?
 
Last edited by a moderator:

Yuko Germany loan
 
Last edited by a moderator:
‘Hopefully it will be a very successful one for the team. Everyone wants to achieve something. We want to win trophies. We didn't do that last season but this season we are all hoping we can have a good season and win some trophies.' - john obi mikel # 12.
 
Mkuu kijana Thomas Kalas mwenye umri wa miaka 21 kwa sasa anacheza kwa mkopo kwenye ligi ya Bundesliga[Ujerumani] anachezea timu inaitwa FC Koln, anavaa jezi # 3, lakini tumempeleka hapo kwa mkopo ili acheze mechi nyingi apate uzoefu. Akiiva atarudi nyumbani...kama alivyorudi kipa wetu Thibaut Courtois...

chelsea fc - forever blue.

Wakuu @agost 8, Ntuzu amani kwenu!

Msimu huo unakuja naamini kabsa kwa kikosi tulichonacho ubingwa ni LAZIMA!

Jiandae tuu kwa sherehe!

Naomba kuuliza huyu kijana aliyesimama kati siku tunamnyoa Liverpool (Thomas Kalas) yupo au ameenda kwa mkopo somewhere?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom