chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,241
- 3,939
Huyu diego kama atakuwa na moto kama alioonyesha jana kwenye lig kuu atafikisha zaidi ya goli 25 ambapo chelse atakuwa na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa
matumbo yanawauma wapinzani.
cc. pierre fm, mbu, nzi, rrondo, mosdef,viol,wise,ntuzu,mentor,:clap2::clap2::clap2::clap2:
mkuu nimekupata ingawa kwa maoni yangu nilitaka torrres auzwe hata kwa hasara maana nilisikia at.madrid sasa dau likawa kubwa ambalo chelse wanataka ili lukaku apate nafasi ya kucheza
Chel$ki$ level zenu ni Arsenal na Everton..
Hivyo husinijuimishe katika ligi ya mchangani...
Huyu diego kama atakuwa na moto kama alioonyesha jana kwenye lig kuu atafikisha zaidi ya goli 25 ambapo chelse atakuwa na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa
mkuu agosti 8 bado kidogo goma la epl lianze! Na safari hii wataijua chelsea kua ni baba yao!
Mkuu agosti 8 bado kidogo goma la EPL lianze! Na safari hii wataijua Chelsea Kua ni baba Yao!
mkuu nimekupata ingawa kwa maoni yangu nilitaka torrres auzwe hata kwa hasara maana nilisikia at.madrid sasa dau likawa kubwa ambalo chelse wanataka ili lukaku apate nafasi ya kucheza
Tumewazoea nyie ni washindi wa kabla ya Mechi na ni mabingwa kabla lig haijaisha lakini ikifika ukingoni mnaanza kuyakana Maneno yenu.
mechi huchezwa kwa program kwanza c muliona wajeruman?