Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

5-0, Drogba afunga kwa kwicha baada ya kona kutoka kwa Lamps
 
...mchekea hao,

..hata sisi tuliwapiga mengi hao...sita tu!
 
Hahahah subiri Masanilo na Mvino waje mie simo....!!

Kuna pombe hapa nilikuwa namalizia ila nipo hapa kama nilivyosema 24/7.
Ushindi kwetu ndo kitu ambacho tumekizoea...Peasant pamoja sana.
 
Chelsea wanipa raha sana, Jukwaa la siasa balaa kuna ujinga kule ......!
 
Chelsea wanipa raha sana, Jukwaa la siasa balaa kuna ujinga kule ......![/QUO

Bado tu ulikuwa haujajua kuwa hapa ndo mahala pa release stress na huu ushindi wa 4 na kuendelea lazima wekundu waingiwe na mcheche..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…