daaaah nimeumi sana leo.
Pole sana Kigogo,ndo ukubwa huo
yaani nilitamani kipasue TV bosingwa anacheza upuou tupu ndo kasababisha magoli yote ma 2.lampard naye sijui kakesha pub jana yaani kufungwa magoli ya kona ni poor marking ya mabeki...ndo maana abromovic anafukuzaga makocha
Ancelloti siku zake zitaanza kuhesabika muda si mrefu
Poleni sana Drogba alifunga goli kali sana,nakumbuka hawa Aston Villa walichangia kuondoa kibarua cha Mourinho,
...tehe hee...Ancelotti naye keshasoma alama za nyakati...
mtu akishaanza kuomba maji ujue roho inakaribia kuacha mwili!!! πSo unadhani nae carlo ataondoka kwa kipigo cha juzi au ndio unatuombea njaa maadui zako mtani wetu???
...huenda hukunisoma awali mkuu. Carlo Ancelotti keshazisoma alama za nyakati, fikiria Peter Kenyon alivyotendwa... Mbaya zaidi key players wenu (Drogba, Kalou na Essien) January haoooo Africa Cup of Nations...
Hii ni mtake msitake itakuwa. 1st EPL Manager kufungashiwa virago/ kutimuliwa nilidhani atakuwa Rednapp mwezi huu wa October, lakini upepo umemgeukia Ancelotti sasa, no wonder mwenyewe tayari keshasema anatamani kuifundisha Roma...π