2012/2013
umepoteaaa..ndo ulikuwa unatafuta jibu?
Karibu Piere.Fm
hapa vipi?
2012/2013
Ntuzu yupo bize kidogo anafuatilia usajili wa DIEGO COSTA na CESC FABREGAS;..ukikamilika utamwona jukwaani..🙂
Hehehehe nafurahia Nikiwasikia hawa vijana wawili agosti 8 na Ntuzu watu wangu wapinzani wangu wenyewe tunataniana mwisho wasiku tunafurahi ila wabishi Kama Firauni pia mambo yakiwaendea kushoto unajiuliza watarudi lini au watarudi na Jesus pamoja?agosti 8 ni shabiki wa ukweli, mwenye mapenzi ya dhati na unayejua each and everything kuhusiana na Club yako, huwa napita sana hapa jukwaani kwenu kusoma nondo zako, kudos sana Mkuu
We all speak one language...........SOCCER
agosti 8 Ntuzu Mentor, inakuwaje tena, mnamtoa Tomas Kalas kwa mkopo jamani?..dogo ni beki mzuuri sana aisee, alinivutia sana kwenye Game yetu ile pale Anfield, April 27..
Na sidhani kama ni mimi peke yangu, alienivutia, coz nimeona watu wengi sana wanasikitika kwenye mitandao mbali mbali kuhusu hiyo loan move ya dogo!!!
Kiukweli, dogo ni mzuri sana aisee!!!
Hehehehe nafurahia Nikiwasikia hawa vijana wawili agosti 8 na Ntuzu watu wangu wapinzani wangu wenyewe tunataniana mwisho wasiku tunafurahi ila wabishi Kama Firauni pia mambo yakiwaendea kushoto unajiuliza watarudi lini au watarudi na Jesus pamoja?
ni kweli Mie napenda mnakuwa wa kweli hata kusema Tupo chini yenu hehehe hapo ndipo napowapendea mnasimamia ukweli ila bado nawapenda njoo huku kwenye mataifa ya watu Usajili waachie ma Manager na Wenye timu sie kazi yetu kushangilia na unazi hehehe. Njoo huku tuone utachagua timu gani ukiwaacha za Africa Thred za WorldCup.Teh Teh Teh Teh
Mdudu Pazi Umeanza mambo yako! Sisi sio wabishi! Bali tunasimamia ukweli NA Kwasababu timu yetu inaweza basi Ndio hivyo tena! Maana tunayosema au kusimamia yanatokea! Chelsea Ni kiboko!
ni kweli Mie napenda mnakuwa wa kweli hata kusema Tupo chini yenu hehehe hapo ndipo napowapendea mnasimamia ukweli ila bado nawapenda njoo huku kwenye mataifa ya watu Usajili waachie ma Manager na Wenye timu sie kazi yetu kushangilia na unazi hehehe. Njoo huku tuone utachagua timu gani ukiwaacha za Africa Thred za WorldCup.
agosti 8 ni shabiki wa ukweli, mwenye mapenzi ya dhati na unayejua each and everything kuhusiana na Club yako, huwa napita sana hapa jukwaani kwenu kusoma nondo zako, kudos sana Mkuu
We all speak one language...........SOCCER
agosti 8 Ntuzu Mentor, inakuwaje tena, mnamtoa Tomas Kalas kwa mkopo jamani?..dogo ni beki mzuuri sana aisee, alinivutia sana kwenye Game yetu ile pale Anfield, April 27..
Na sidhani kama ni mimi peke yangu, alienivutia, coz nimeona watu wengi sana wanasikitika kwenye mitandao mbali mbali kuhusu hiyo loan move ya dogo!!!
Kiukweli, dogo ni mzuri sana aisee!!!
Thomas Kalas ni mchezaji mzuri kaka. Sote tunatambua hilo. Lakini kwa uzoefu wangu; wanahitaji kulinda maslahi ya Waingereza kwanza. Garry Cahill na John Terry, hata sasa wanahitaji kuongeza angalau Waingereza wawili ili timu ukubalike nyumbani pia. hiyo inaitwa Diplomacy mkuu wangu Mosdef. Hata nyinyi siku hizi mnapendwa na media kwa sababu ya Waingereza wengi; tena mnazidi kuwaongeza. Hongereni kwa kumsajili Lambert.🙂
JT, umri unakimbia saaana!!
JT, umri unakimbia saaana!!
Unajua kwa nini tunampenda JT?
![]()
Jamaa anaweza kufia uwanjani.
Hapa unakumbuka alipokosa penati, jamaa si kama wachezaji wengine.
Wengine wakifanya makosa wanachukulia poa. Jamaa analilia timu yake.
JT LEGEND.