habari hzi zimenisikitisha sana. ni mara mia angeuzwa Matic. kwangu mimi nilipenda D. luiz akicheza kati kuliko beki..ila ndo hivyo tena.
mimi naona sawa jose kumtoa luiz,kwani kwetu beki sioshida sana tatizo lipo kwa playmeker na forward.
Off the pitch: Trophyless Chelsick are worth £298million as a brand
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nilijua tu mtalileta hili...!
Off the pitch: Trophyless Chelsick are worth £298million as a brand
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Playmaker alikuwa naye Mata akamuuza
mimi naona sawa jose kumtoa luiz,kwani kwetu beki sioshida sana tatizo lipo kwa playmeker na forward.
Fact ni D. Luiz was far better than baadhi ya waliobaki.
Hata Man Utd ilikuwa na Christiano Ronaldo na ikamuuza Real Madrid. so it's a normal thing!
🙂
Morinho makes mistakes,our team was better before he started his sellings
Ronaldo alinunuliwa kwa paundi mil 12 akacheza misimu 6 akashinda kila kombe kwenye klabu level na akauzwa kwa pauni mil 80.Kumbuka Cristiano Ronaldo mwenyewe alitaka kuondoka
Juan Mata
Chelsea walimnunua pauni mil 23 akacheza misimu 2 na nusu akauzwa pauni mil 37 Mata hakutaka kuhama Chelsea but Morinyo alimlazimisha kuhama.Nafikiri now utakuwa umeona tofauti ya scenario ya CR7 na Mata
Then kuna case ya Luiz,De Bruyne na huenda Lukaku na Cortous wakaambukia kwenye huo mkumbo
Uzuri wa Luiz alikuwa anaweza kucheza nafasi zaidi ya moja,hii FFP imemfanya Mourinho anauza wachezaji kama Wenger.De Bruyne+Mata+Luiz=Paundi mil 94
Fact ni D. Luiz was far better than baadhi ya waliobaki.
Kwani hiyo misimu 2 alikuwa anacheza wapi? Kwa umri wake na uwezo wake wa kucheza zaidi ya nafasi moja alikuwa ana msaada sana kwa Chelsea.Kumbuka Terry umri ushasogea siku akiumia ndio utamkumbuka Luizangalia uwezo wa luiz alaf angalia wapi atacheza kwenye Chelsea Fc.
Striker mnae Lukaku lakini Morinyo hamtaki pia,i hope ulimuona jana alivyotupia hat-trickKumbuka tunatafuta mfungaji stadi wa magoli
unapouza unauza mchezaji mzuri ..anayeuzika ili upate pesa nzuri.
nani dhaifu anayebaki?
Kwani hiyo misimu 2 alikuwa anacheza wapi? Kwa umri wake na uwezo wake wa kucheza zaidi ya nafasi moja alikuwa ana msaada sana kwa Chelsea.Kumbuka Terry umri ushasogea siku akiumia ndio utamkumbuka Luiz
Striker mnae Lukaku lakini Morinyo hamtaki pia,i hope ulimuona jana alivyotupia hat-trick
Kuuza wachezaji sio shida but tatizo unawauza wakati gani,Nakumbuka Wenger amelaumiwa sana kuwauza kina Nasri,RVP,Song na wengineo.Mourinho wa miaka 4 iliyopita alikuwa hawezi kuuza wachezaji wake ovyo ovyo.