Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

shindana na SPURS.

CHELSEA FC si saizi yako:

hakika Chelsick siyo saizi yangu. timu iliyoibuka tu miaka ya 2005 na kupata mafanikio kutokana na pesa ya mtu mmoja huwezi kuifananisha na arsenal or any other timu ambayo mafanikio yake yapo toka kitambo kabla dirty money haijaingia katika soccer. So Chelsick ni genge tu la watu wenye interest 1 walijikusanya wakaibuka 2005 baada ya dirty money kuingia katika soccer.
BTW mwaka ujao Roman anabadili matumizi ya mradi wake sasa sijui utashabikia nini tehtehtehtehtehtehtehtehtehtehte!
 
ubora wa timu za UEFA 2007-2008:

1. CHELSEA FC
2. AC MILAN
2. LIVERPOOL
4. FC BARCELONA.
5. ARSENAL FC.

MANCHESTER UNITED WoN THE ECL TITLE THAT SEASON[2007/08] BEATING CHELSEA 6-5 ON PENS.....AND STILL DID NOT MAKE THE TOP FIVE????!!!!! SURELY THESE RANKINGS ARE MEANINGLESS.........

2007/08

WinnerManchester United FC

Season overview

2007/08: Fate favours triumphant United

Fifty years on from the Munich air crash, and 40 years since Manchester United FC were first crowned European champions, they won their second UEFA Champions League, beating Chelsea FC on penalties at the Luzhniki Stadium.

Matches

Quarter-finals

21

[TD="class: his-mat-team scorew"] Man. United [/TD]

[TD="class: scorew"]3[/TD]

[TD="class: his-mat-team"] Roma [/TD]

[TD="class: scorew"]0[/TD]

11

[TD="class: his-mat-team scorew"] Barcelona [/TD]

[TD="class: scorew"]2[/TD]

[TD="class: his-mat-team"] Schalke [/TD]

[TD="class: scorew"]0[/TD]

12
2

[TD="class: his-mat-team scorew"] Chelsea [/TD]

[TD="class: scorew"]3[/TD]

[TD="class: his-mat-team"] Fenerbahçe [/TD]

[TD="class: scorew"]2[/TD]

14
12

[TD="class: his-mat-team scorew"] Liverpool [/TD]

[TD="class: scorew"]5[/TD]

[TD="class: his-mat-team"] Arsenal [/TD]

[TD="class: scorew"]3[/TD]

Semi-finals

1

[TD="class: scorew"]1[/TD]

[TD="class: his-mat-team"] Barcelona [/TD]

[TD="class: scorew"]0[/TD]

13

[TD="class: scorew"]4[/TD]

[TD="class: his-mat-team"] Liverpool [/TD]

[TD="class: scorew"]3[/TD]
Chelsea win after extra time

Final

[TD="class: scorew"] 1 [/TD]

[TD="class: his-mat-team"] Chelsea [/TD]

[TD="class: scorew"] 1 [/TD]
Man. United win 6-5 on penalties
 
1897971_1042737769099772_8863850072001368977_n.jpg
 
Hivi youth cup Chelsick waliifunga timu gani?

BTW tangu JF izaliwe hatukuwa tunaweweseka weweseka na Youth cup ... ... ... .. losers wamebaki kuuza unga tu khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tutawaongezea double decker buses mwaka ujao.
 
unajua huwa sielewi unachoandika ndugu yangu,this is for sure,naonaga sometimes kama maua maua hivi!
 
inategemea mwaka uliotangulia ilikuwa ya ngapi?

usiwe mvivu ndugu RRONDO si utembelee UEFA.COM ili ujisomee?

si kila kitu unabisha tu: Hata Chelsea ilipokuwa bingwa 2012 haikuwa #1.
jifunze kwanza alaf ndo uje tuzungumze..:smile:
 
wapi nimeitaja chelsick ndugu? Kwani hiyo timu pia ni cupbuyer?

i'm a thinker..naweza kusoma mawazo yako kutegemea na hoja zako.
huwezi kusema hutabishana na cup buyer, katika jukwaa la CHELSEA FC alaf useme ulikuwa unamaanisha MAN CITY.

au?🙂
 
Youth Cup inawakilisha timu gani?
this is CHELSEA FC THREAD, chochote kinachohusu CHELSEA.

au wewe ndo mwenye boriti kwenye jicho?🙂
Hivi youth cup Chelsick waliifunga timu gani?

BTW tangu JF izaliwe hatukuwa tunaweweseka weweseka na Youth cup ... ... ... .. losers wamebaki kuuza unga tu khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tutawaongezea double decker buses mwaka ujao.
 
Division 5 imeanza kazi naona!
hakika Chelsick siyo saizi yangu. timu iliyoibuka tu miaka ya 2005 na kupata mafanikio kutokana na pesa ya mtu mmoja huwezi kuifananisha na arsenal or any other timu ambayo mafanikio yake yapo toka kitambo kabla dirty money haijaingia katika soccer. So Chelsick ni genge tu la watu wenye interest 1 walijikusanya wakaibuka 2005 baada ya dirty money kuingia katika soccer.
BTW mwaka ujao Roman anabadili matumizi ya mradi wake sasa sijui utashabikia nini tehtehtehtehtehtehtehtehtehtehte!
 
1.kuna miaka ya 2005 mingapi?
2.timu iliibukaje mwaka 2005?
3. ikiwa CHELSEA wana dirty money and Arsenal?
4. je, soccer inachezwa Uingereza au Marekani? FYI. Soccer = Marekani.; Football=Uingereza.

unaumia na pesa ya mtu mmoja?
mafanikio ya uwanjani vipi mbona husemi? nimekuwekea timu bora kwa miaka 10 unatoa mapovu tu!

Man Utd 8- 2Arsenal fc.
Man City 6 - 3 Arsenal fc.
Chelsea fc 6 - 0 Arsenal fc.

rekodi zenu hizooo!🙂
hakika Chelsick siyo saizi yangu. timu iliyoibuka tu miaka ya 2005 na kupata mafanikio kutokana na pesa ya mtu mmoja huwezi kuifananisha na arsenal or any other timu ambayo mafanikio yake yapo toka kitambo kabla dirty money haijaingia katika soccer. So Chelsick ni genge tu la watu wenye interest 1 walijikusanya wakaibuka 2005 baada ya dirty money kuingia katika soccer.
BTW mwaka ujao Roman anabadili matumizi ya mradi wake sasa sijui utashabikia nini tehtehtehtehtehtehtehtehtehtehte!
 
1.enzi hizo JF haijazaliwa ulikuwa unashabikia mchezo gani?
2. kitu gani kilikuwa kinakufanya 'unaweweseke weweseka' enzi hizo; maana tangu 2004 hadi leo ni muda mrefu sana; kweli lazima uweweseke.
3. nilifikiri utatununulia double decker,kumbe unatuongezea kwa sababu hata wewe unalo, sema la kwako ni bovu sana. maana huwezi kufungwa 8 kwenye mechi moja.
4. timu inayopaki basi inapokufunga magoli 6-0 inamaanisha wewe ni kilaza kupindukia.:shock:
Hivi youth cup Chelsick waliifunga timu gani?

BTW tangu JF izaliwe
hatukuwa tunaweweseka weweseka na Youth cup ... ... ... .. losers wamebaki kuuza unga tu khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tutawaongezea double decker buses mwaka ujao.
 
inategemea mwaka uliotangulia ilikuwa ya ngapi?

usiwe mvivu ndugu RRONDO si utembelee UEFA.COM ili ujisomee?

si kila kitu unabisha tu: Hata Chelsea ilipokuwa bingwa 2012 haikuwa #1.
jifunze kwanza alaf ndo uje tuzungumze..:smile:

tatizo lako u think u know everything. mvivu wewe hata kusoma hapo umeshindwa. hio copy and paste niliyoweka link ya uefa.com unapotaka nikasome. kama 2007/8 man utd ni bingwa and then chelsea ni no. 1 man utd hata top five haipo then hio ranking ni useless kwasababu bingwa ndio namba moja sasa kama haimtambui its either the ranking or the championship is useless to me the former is useless.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom