Mkuu kutakua na shida kidogo Kati ya Hazard na Jose na Hii inatokana na makosa aliyofanya Hazard ktk machine ya ATM! Na pia nahisi Hazard anataka kuondoka Chelsea Ndio maana anaamua kua ktk Hali ya kupishana na Manager wake!
Kwa mfano Baada ya game ya Chelsea na Man City ambayo Chelsea alishinda, Hazard alikaliliwa na akisema kua analizika na kucheza ktk mazingira hayo ya kukaba na kushambulia! Kwahiyo haya yanayotokea ni kwamba Hazard anajitetea kutokana na makosa au anataka kuondoka. Na Jose yeye anajibu kile Hazard anachosema!
Nafikiri tusubiri tuone nini kitatokea!

sisi wapinzani hatuna shida kadri kunavyokuwa na misunderstanding ndo faida kwetu so waache waendelee kujibizana tu.Mkuu kutakua na shida kidogo Kati ya Hazard na Jose na Hii inatokana na makosa aliyofanya Hazard ktk machine ya ATM! Na pia nahisi Hazard anataka kuondoka Chelsea Ndio maana anaamua kua ktk Hali ya kupishana na Manager wake!
Kwa mfano Baada ya game ya Chelsea na Man City ambayo Chelsea alishinda, Hazard alikaliliwa na akisema kua analizika na kucheza ktk mazingira hayo ya kukaba na kushambulia! Kwahiyo haya yanayotokea ni kwamba Hazard anajitetea kutokana na makosa au anataka kuondoka. Na Jose yeye anajibu kile Hazard anachosema!
Nafikiri tusubiri tuone nini kitatokea!
hawezi kutupiwa virago kwa sasa hivi atleast kwa mwakani ila itategemea na aina ya soka atakayoamua kucheza nayo mwakaniMkuu uyu mtu alichafua hewa ktk chumba cha kubadilishia nguo alipokua R.Madrid nadhani sasa soon Chelsea anachafua tena, Kuna harufu ya yeye kupewa virago vyake hapa
Tatizo Morinyo siku hizi amekuwa muongeaji sana public,I think some issue ni bora asiziongee mbele ya media azi-handle internal .Alianza kujibizana na Lukaku,akampiga madongo Etoo ingawa hii ilisaidia now Hazard na Luiz
Tatizo Mou naye hana ustaharabu, umeona upuuzi aliofanya Gerrard game ya Chelsea, ulicheki kesho yake BR alimzungumziaje.
Ustaarabu amekosa kwanza Hazard! Kuna kitu Hazard amekusudia! Kwasababu Hazard ameongea sn karibu Mara mbili kwanza ameongea kua Chelsea haijajengwa kucheza mpira na pia amesema hawezi fanya kila kitu yeye!
Hizo kauli zake lazima Manager km manager ajibu! Kwasababu siku ile Baada ya game ya ATM Jose aliwasifu wachezaji wake wote na kuisifu ATM! Baada ya hapo vyombo vya Habari na wachambuzi Wa soka Ndio wakamchokoza Hazard na yeye Ndio akaropoka! Sasa Sijui alisema kwa nia nzuri au la! Lkn nakumbuka Jose alikua anampenda sn Hazard mpk akasema wazi kua Future ya Hazard itakuaje Km ya Kina Messi na Ronaldo!
Tusubiri tuone!
Mou
"I'm guilty of being judged by higher
standards, and I'm proud to be
guilty of that."
Hilo lipo wazi mkuu hakuna teamwork pale but angalia wachezaji wa Atretico ni wachezaji wasiokuwa na majina makubwa lakini wana teamwork ya maana we angalia ktk 1st eleven yao kuna watu kama Raul Garcia hakuwepo, Dieogo Rabas hakucheza kabisa bila kumsahau the Old Man David Villa lakin jamaa walitakata na siyo siri wana mpira flani wa kipekee.
hawezi kutupiwa virago kwa sasa hivi atleast kwa mwakani ila itategemea na aina ya soka atakayoamua kucheza nayo mwakani
Hata CHL wana mpira wa kipekee. Mpira una matokeo matatu--kushinda, kufungwa, na sare. Msimu huu umekuwa mbaya! Usisahau ni timu hiyo hiyo iliyochukua UEFA na Europa Cup! Give them credits!
Nani alitarajia Man U kushika nafasi ya saba kwenye ligi kuu?
Ustaarabu amekosa kwanza Hazard! Kuna kitu Hazard amekusudia! Kwasababu Hazard ameongea sn karibu Mara mbili kwanza ameongea kua Chelsea haijajengwa kucheza mpira na pia amesema hawezi fanya kila kitu yeye!
Hizo kauli zake lazima Manager km manager ajibu! Kwasababu siku ile Baada ya game ya ATM Jose aliwasifu wachezaji wake wote na kuisifu ATM! Baada ya hapo vyombo vya Habari na wachambuzi Wa soka Ndio wakamchokoza Hazard na yeye Ndio akaropoka! Sasa Sijui alisema kwa nia nzuri au la! Lkn nakumbuka Jose alikua anampenda sn Hazard mpk akasema wazi kua Future ya Hazard itakuaje Km ya Kina Messi na Ronaldo!
Tusubiri tuone!
Mkuu Ntuzu Mourinho kakupa nin wewe!? Mpaka unamuona Mungu mtu kwamba hakosei!? To be honest licha ya kwamba Hazard inawezekana anataka kuondoka lakini ni ukwel kuwa alichokiongea ni sahihi kwamb hakuna mpira unaochezwa pale na kwa hili hii sidhani kama yule Mrusia anaweza kumvumilia Mouthrinho kwa Miaka mitatu.
Sababu ya Mourinho kushinwana na Abramovich mara ya kwanza ni aina ya mpira ambao Chelsea walikuwa wanaucheza ingawa mafanikio waliyapata. Sasa hivi naona wanarudi kule kule Mourinho hawezi kuleta sexy football Stamford Bridge akishindwa anaanza kulaumu watu wengine kuanzia wachezaji hadi management.
Ustaarabu amekosa kwanza Hazard! Kuna kitu Hazard amekusudia! Kwasababu Hazard ameongea sn karibu Mara mbili kwanza ameongea kua Chelsea haijajengwa kucheza mpira na pia amesema hawezi fanya kila kitu yeye!
Hizo kauli zake lazima Manager km manager ajibu! Kwasababu siku ile Baada ya game ya ATM Jose aliwasifu wachezaji wake wote na kuisifu ATM! Baada ya hapo vyombo vya Habari na wachambuzi Wa soka Ndio wakamchokoza Hazard na yeye Ndio akaropoka! Sasa Sijui alisema kwa nia nzuri au la! Lkn nakumbuka Jose alikua anampenda sn Hazard mpk akasema wazi kua Future ya Hazard itakuaje Km ya Kina Messi na Ronaldo!
Tusubiri tuone!
... Nzi na Belo, na kama wanabisha hawakutegemea hilo waje wakanushe hapa,
mie Mbu, Wacha1, piere.fm, Balantanda, Mentor na wengineo wengi kwa #MwendoKasi ule
tulijua watashuka daraja aisee!