Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamani Mungu na watu aisee! Naona Gerad kaagiza kombora linambabatiza mtu hapa.
 
Teh teh teh teh teh teh watu walitupigia kelelf asubuhi sa hivi hawaonekani wanasubiri matokeo ndio waibuke duuh haya bhana si yetu macho.
 
Nadhani kuna umuhimu wa kupunguza ukubwa wa uwanja inabidi goli la Magnolet lisogee karibia na katikati.
 
Haya zimeongezwa dakika 3 za kipindi cha kwanza na bado wenyeji hawaonekani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom