Too low mkuu, unashabikia Timu with facts sio propaganda kama za siasa.
Usishabikie kiasi ukaonekana juha kwenye mpira kuna tricks nyingi sana nyingine hata hazikubaliki ila isipoonekana inasaidia timu. Ticks kama Skertel alipoupangua mpira kwa mkono ndani ya kumi na nane liver vs man city na sio ile ya Ramirez kumpiga mtu usoni ule ni uhuni usio na added value
Naamini kabisa ninyi wanazi ambao amuongelea mpira ki uhalisia ligi ikiisha mkitoka mikono mtupu ndio mtalia sana.
Okay hizo hija zako sasa Waambie FIFA wabadili sheria za soccer iwe mto akinawa makusudi kwenye boksi sio penalt, Hizi ulitazama mpira wa LFC na W.Ham???LFC ali deserve penalt zaidi ya tatu, beki zilikua zinapunguza mashambulizi kwa kunawa, mbaya zaidi wakazawadiwa goli la foul lilozua mjadala. Haya judge kwa kushuhudia na kusoma
Andy Carroll pushed Mignolet Clear Foul But Goal GIven For West Ham Awful Refree 06/04/2014 HD - YouTube
GRAHAM POLL: Referee was wrong to let Andy Carroll's blatant foul on Simon Mignolet ride but Anthony Taylor did get both penalties spot on | Mail Online
Crazy pictures: West Ham big screen shows Carroll foul on Mignolet, ref refuses to look!
Vine: Andy Carroll clearly fouls Mignolet in lead up to West Ham equaliser | JOE.ieView attachment 152806
View attachment 152807View attachment 152809
Nimeona unakomaa kua W.Ham walionewa, hawakuonewa tena ilibidi wabaki 10 game nzima.
Ha ha ha muulize hizo Hujuma alifunga goli ngapi mwamuzi akazikataa???nilimpa FACT : Chelsea ni team isiyoweza kufunga magoli msimu huu, ilo ndio lina wa cost, Hawana striker ambae ni mechi Winner, we midakika yote unashambulia ufungi kha, kila mechi
kweli lakini ndio timu yenye beki bora epl wakiwa wamefungwa mogori machache kam 26 kama sikosei.....
biased;
we jamaa vidole vitapata sugu kubishana na agost8 mtu umemwekea picha, link na maelezo bado anabisha, amesahau kuwa walishamfunga spurs goli ambalo halikuvuka mstari na refa akaweka kati hao jamaa wamevulugwa achana nao
Hivi nikuulize Suarez alivyodaka vs Ghana kilitokea kitu gani? Alizuia goli lisiingie akapewa red card kipa akacheza penalty. Hii ilikuwa ni kosa lenye ku add value kwenye timu.
Martin Skertel aliupanch mpira kwa mkono bila ya hivyo ulikuwa uguswe kwa kichwa ndani na Liver wangedroo bahati hakuonekana na akaisave team. Hii pia ni kosa lenye manufaa kwenye timu.
Turudi kwako kile kitendo cha kumpa mtu nakoz katikati ya uwanja kilichofanywa na Ramirez kina faida gani kwa timu?
Umeridhika na #7 huna jipya..😕
Umeridhika na #7 huna jipya..😕
Ni kweli Man u wapo 7 lakini ulichokijibu hapa ni zaidi ya unazi mkuu, Belo kaongea hoja ya msingi hapo juu but ulichokifanya hapo ni kuikwepa hoja yake na kukimbilia kuanzisha hoja tofauti kabisa. Jibu hoja mkuu punguza mahaba na timu sehemu yenye uhalisia.
SUAREZ alipomng'ata IVANOVIC alipewa adhabu gani?
Tungekuwa hatushambuliii tusingewafunga: 3-1 tena magoli yetu yote siku hiyo tulifungia karibu kabisa ya box lenu.
Tungekuwa hatushambuli hatungewafunga Arsenal 6-0.
Tungekuwa hatushambulii tusingewafunga PSG 2-0.
Tungekuwa hatushambulii tusingekuwa na GD = 41.
Kama Mata ni mshambuliji mzuri Man Utd wasingebaki pale pale #7 kama alivyowakuta. Na jana wakachapwa 2-0. Nashangaa watu wa Manure badala ya kujadili namna ya kushiriki UCL msimu ujao mnashangilia CHELSEA FC kufungwa; ama kweli bendera hufuata upepo.:israel:
this is CHELSEA FC thread; for the Chelsea FC fans; unataka niseme nini?
If you come here and post rubbish don't expect me support you.
Otherwise mmepotea njia; ctrl + Z
punguza povu mzee nani aliyepost rubbish humu ndani mkuu!?
this is CHELSEA FC thread; for the Chelsea FC fans; unataka niseme nini?
If you come here and post rubbish don't expect me support you.
Otherwise mmepotea njia; ctrl + Z
this is CHELSEA FC thread; for the Chelsea FC fans; unataka niseme nini?
If you come here and post rubbish don't expect me support you.
Otherwise mmepotea njia; ctrl + Z
Sisi tulifungwa 3 tukakubali sababu tulizidiwa sawa penati moja haikuwa sahihi but kuna incident nyingine Carrick alimchezea rafu Sturidge ilikuwa clear penati refa akapeta
Liverpool wanapata penati nyingi sababu wanashambulia kwa kasi nyie mtapataje penati while most of time mnadefend badala ya kushambulia
Ten match ban kwababu ule ulikuwa ni ushenzi katika soka sawa na alioufanya Ramirez
kifupi timu na penalty za msimu
1:liverpool 13
2:arsenal 16
3;chelsea 13
4:man city 10
sasa sijui nani aliyeenda sana golini......!?