Mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa
Mwenzio akinyolewa......................
mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa
Mwenzio akinyolewa.wewe kimbia ukitia maji nawe utanyolewa.....................
Mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa
mkuu,mimi ni man utd lakini nilishasema timu inayoshinda game 10 mfululizo kipindi hiki cha january-may ndio huwa bingwa...hivyo ndio man utd alikuwa anafanya...sio chelsea unamfunga arsenal 6-0 mechi inayofuata unafungwa na c.palace unashinda kiajajbuajabu mechi inayofuata halafu unafungwa tena na washukao daraja!!!! halafu kuna watu wanapiga kelele hapa eti wana timu ya ubingwa!!!! Liverpool wako on fire,mwaka wao huu.....na kesho wanacheza na norwich ambao mechi tatu zilizopita wamewafunga si chini ya tano kila mechi!!!!
Mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa
Mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa
Teh teh teh teh teh teh Dada Jose Moureen amepoteza Virginity yake pale Darajani sasa sijui itakuwaje huko mbeleni teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeh!!
Wapi Ntuzu
Kweli mkuu maana uyu Jose alishakufa dhidi ya WBA akapewa tuta la utata dk94 record yake isivunjwe!!Mwamuzi leo Ramires alikua anacheza boxing ye kamuacha badala ya kumtoa!!Game ya LFC Web akameza tuta Etoo anavaa mwili wa Suarez badala ya kukaba mpira etc. Ha ha ha ha ha ha kweli maamuzi mabovu tu