kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,176
- 21,814
Ninyi mngeajiriwa na Chelsea mtakuwa bonge la SD, mnajua sana kandanda na uskauti wa wachezaji π π π
Mechi 5 za ufunguzi ligi kuu ya Uingereza msimu ujao 2026/27 kwa big 6
View attachment 3611223
Si umeona tumewekwa hapo bro auHivi na nyie ni Big 6 ?
Naomba unieleweshe kwa upole, hivi Enzo uzuri wake upogo kwenye kitu gani??Real Madrid wanataka kumasajili Enzo Fernandez haraka sana
Mourinho anamtaka Yeye tu an ameshiambia bodi
Kwa sasa Enzo ni mlengwa namba moja wa Real Madrid na wanataka dili liende haraka kama la Cucurella.
Kwaheri Enzo Fernandez
@MARCA
View attachment 3610013
Mfuatilie kwanza, hasa sasa anacheza kombe la dunia na timu yake ya Argentina. Halafu waulize walioweka dau la pauni 120m halafu ndio uje kwetu akina kalaghabao wa Manzese uzuri au wale wa Mabagala kibaoni ua sisi wa Arusha Uswahili mnara wa voda. tutabonga sanaNaomba unieleweshe kwa upole, hivi Enzo uzuri wake upogo kwenye kitu gani??
Chelsea sio big six kwenye ile orodha yako. Kila mtu ana orodha yake, ni demokrasia tuHivi na nyie ni Big 6 ?
Kwa hiyo mchezaji akishawekewa dau 120m au zaid, kwako ni mchezaji mzuri?? Unafikiri pale Argentina yeye ndio anaiendesha timu?? au yupo kwenye kichaka cha wanaojua. Unajibu kama umekatwa kichwa.Mfuatilie kwanza, hasa sasa anacheza kombe la dunia na timu yake ya Argentina. Halafu waulize walioweka dau la pauni 120m halafu ndio uje kwetu akina kalaghabao wa Manzese uzuri au wale wa Mabagala kibaoni ua sisi wa Arusha Uswahili mnara wa voda. tutabonga sana
Kama unamfuatilia jibu nio YES, Enzo Fernandez anacheza Deep tofauti na huku Chelsea. Anashirikiana na Kimnugno wa Liverpool Alexis Mac Allister na amekiri kuwa anajisikia vizuri akicheza Deep kwani anajishughiulisha na mpira zaidi kuliko akicheza mbele. Enzo amekuwa na touches nyingi na passi zenye uhakika akicheza deep midfield. Enzo akiondoka Chelsea kwenda Real Madrid ndipo mtajua kuwa alikuwa mzuri. Nabii haeshimiwi nyumbani kwakeKwa hiyo mchezaji akishawekewa dau 120m au zaid, kwako ni mchezaji mzuri?? Unafikiri pale Argentina yeye ndio anaiendesha timu?? au yupo kwenye kichaka cha wanaojua. Unajibu kama umekatwa kichwa.
Amini nakwambia Enzo alikua mfanyakazi hewa kama walivyo wafanyakazi hewa wengine, kuondoka kwake ndio tutakua vizuri kuliko alivyokwepo, alikua anatukaba sana. Sahizi ndio anasingizia alikua hafurahii alivyokua anachezeshwa chelsea!! alishachezeshwa hiyo nafasi alifanya nini? Tapeli yule.Kama unamfuatilia jibu nio YES, Enzo Fernandez anacheza Deep tofauti na huku Chelsea. Anashirikiana na Kimnugno wa Liverpool Alexis Mac Allister na amekiri kuwa anajisikia vizuri akicheza Deep kwani anajishughiulisha na mpira zaidi kuliko akicheza mbele. Enzo amekuwa na touches nyingi na passi zenye uhakika akicheza deep midfield. Enzo akiondoka Chelsea kwenda Real Madrid ndipo mtajua kuwa alikuwa mzuri. Nabii haeshimiwi nyumbani kwake
Wewe una makengeza kwenye vitu vingi. Ukishamchukia mchezaji hata acheze vizuri namna gani, hauko tayari kuangalia mazuri yake, ni mabaya tu unafukua. Enzo anayo madhaifu kwa sabab hakuna mchezaji aliyekamilika.Amini nakwambia Enzo alikua mfanyakazi hewa kama walivyo wafanyakazi hewa wengine, kuondoka kwake ndio tutakua vizuri kuliko alivyokwepo, alikua anatukaba sana. Sahizi ndio anasingizia alikua hafurahii alivyokua anachezeshwa chelsea!! alishachezeshwa hiyo nafasi alifanya nini? Tapeli yule.
Makocha gani wamemtaka? si ni yeye ndio ameitaka madrid?!Wewe una makengeza kwenye vitu vingi. Ukishamchukia mchezaji hata acheze vizuri namna gani, hauko tayari kuangalia mazuri yake, ni mabaya tu unafukua. Enzo anayo madhaifu kwa sabab hakuna mchezaji aliyekamilika.
Madhaifu yake mengi zaidi Chelsea ni kwa sabbau kwa muda mrefu tangu ahamie kutoka Bnfica kaja kuwekwa kapu moja na matakataka na ndio maan akicheza na wenzake wa Argentina anacheza vizuri zaidi akicheza Chelsea.
Enzo anacheza na Garnacho na Gitten. ANchez ana Moise Caic edo mwenye profile ambayo haina comlimentary yeyoto na Enzo na ndio maana alipopelekwa mbele na Marseca ndipo alipofanya vizuri.
Sasa dhamani ya Enzo Fernandez ni Β£160m na makocha wanajua mpira kjuliko wewe wanamtaka kwa udi na uvumba
Weka akiba ya manene, cha msingi tunapewa Euro 130M hadi 150M penda usipendeMakocha gani wamemtaka? si ni yeye ndio ameitaka madrid?!
Enzo ni tapeli, mchezaji mzuri hata akiwa kapu moja na matakataka kama ni mchezaji mzuri utamuona tu. Unamuona Bruno pale Nyumbu.
Uachage kufatilia mpira kwa kufuata mkumbo, eti kisa mchezaji ni Β£200 basi ni mchezaji mzuri! Mawakala wa mchezaji wanachezaga na akili za watu ili wapige pesa.
Mchambue mchezaji kwa jinsi unavyomuona ww, sio ukiingia mitandao ya wazungu huko ukiona wanavyomchambua mchezaji hujui wana mahaba gani na mchezaji, na ww kichwa kichwa unacopy na kupaste. ndio mana umekua ukitofautiana na watu hapa jukwaani na umeishia kuumbuka.
Tukipata hata hiyo ni bora, na tutakua tumewatapeli.Weka akiba ya manene, cha msingi tunapewa Euro 130M hadi 150M penda usipende
Ila utapeli wa madueke na Kai harvertz haujawalipa majirani zenu arsenal kny ubingwa Epl 2026??Tukipata hata hiyo ni bora, na tutakua tumewatapeli.
Mtumishi hewa mwingine huyu hapa, kashaumia huko!! tupate timu nyingine nayo tuitapeli.
View attachment 3617041