kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,028
- 21,387
Mamadou Sarr ni beki mzuri sana, kwa maoni yangu ni Colwill tu ndie anamfikmia kwa mabeki tulionao Chelsea. Bahati mbaya kaja kipindi Chelsea imekumbwa na outbreak ya uharo 🤣
Mmechanganyikiwa , mnatia huruma ! Kocha nae mchanga, hana uzoefu, hawezi ku-manage timu kubwa (Big egos), hajawahi shinda makombe makubwa ! Sasa mtu kama Enzo mwenye world cup, Rosemary atamuambia nn ambaye kechazea huko Hull City kwenye career yake ?
Huyu pamoja na wote walioshiriki kumsajili ni matapeli€65 millioni na tunaishia kupata haya
Majeruhi dresisng room hata hajaingia uwanjani kucheza
View attachment 3568155
Alipiga Jorrel Hato akitokea midfieldKuna ule mpasi aliopenyezewa Granacho uliozaa goli la mwisho, ameupga nani? Enzo alishawahi kupga kama hizo ngapi?
Next game Man City atufunge, Sema Tawire.Hamna timu hapa
Next game Man City atufunge, Sema Tawire.
Tawire .....Kwa matokeo haya mazuri ya Arsenyembo, naiombea chelkenge tupigwe Kesho 😂
Tukishinda nitaumia sana.Mimi binafsi nataka tushinde cha umuhimu tuingie big 4 ila tukifungwa pia haina shida mechi ya kesho naangalia nikiwa Sina pressure kabisa kwa Raha zangu
top 4 sio big 4Mimi binafsi nataka tushinde cha umuhimu tuingie big 4 ila tukifungwa pia haina shida mechi ya kesho naangalia nikiwa Sina pressure kabisa kwa Raha zangu
Kwa hiyo mnamfunga City? Na kina delap na Garnacho? Mnachekesha sana ..... tutakuwepoHii mechi ya kesho dhidi ya Man City ni muhimu sana kwa sababu tunatakiwa tushinde au tufungwe. Droo sio nzuri kwa mahsabiki wa Chelsea
Hakuna anaetaka kushinda, ni kuwa hujamuelewa umedandia tu bila kuelewa, ni hivi ombi la kwanza tufungwe ni furaha kwetu, ila ikitokea wakashindwa kutufunga wasidroo aisee ni maumivu makali sana, bora kushinda haitauma sana. Kwa lugha rahisi ni either tufungwe au tushinde ila sio droo.Kwa hiyo mnamfunga City? Na kina delap na Garnacho? Mnachekesha sana ..... tutakuwepo
Tuko pamoja mkuuKwa matokeo haya mazuri ya Arsenyembo, naiombea chelkenge tupigwe Kesho 😂