Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,050
- 27,455
Ila ww jamaa kigeugeu sana aisee πNa hata ya PSG haikuwa ngumu fainali
Mimi naona timu yeyote ikifungwa fungwa kidogo tu, mashabiki wanapoteana na akili inahama na kusahau mema yote ya nchi. Ni kawaida ya mwanadamu
Chelsea shida zake za msingi zinajulikana
Cole Palmer ni achitech wa mashambulizi hawa wengine wanaigiza tu
Difensi yetu is still "UNDER CONSTRUCTION"
Winga wetu is still "UNDER DEVELOPMENT"
Striker wetu bado wako "UNDER TEST"
Muwe na subiri na aminini PROCESS bado hatujafika nchi ya ahadi, Confernece league na FIFA WC ilikuwa tu ni asali na maziwa njiani
Ukigeugeu wangu uko wapi. Ninajaribu tu kama binadamu nisichukuliwe na upepo unavuma ambao saa nyingine hautabiriki. Niliwahi kumchukia Maresca kipindi Cha Dec 2024 hadi March 2025 kwa ajili ya zile press conference zake mbovu na mnazijua. March alibadilika akawa positive na kuwaingizia wachezaji energy na positive mentality ambayo ilionekana kwenye performnace nzuri kwenye mechi 24 mfululiza walishinda 20, dro 2 na defeat 2.Ila ww jamaa kigeugeu sana aisee π
Haya nmaamuzi ni typical ya PEP, kajifunza huko. The only diference ni wkamba Chelsea bado haina kikosi kilichoshiba.Watu wanasema tunajisahau eti kwakua timu inafanya vibaya saivi ndio tunatoa lawama kwa kocha. Hapana, mimi nimeanza kuonya kuhusu maamuzi na vitendo vya kocha toka msimu uliopita kuna mechi tunashinda kuna mechi tunatoa sare na kuna mechi tunafungwa kihalali kwa kuzidiwa kimbinu.
Mfano mechi na Bayern tunafungwa goli tatu walituzidi kiasi unaona timu imejitahidi ila ubora umeamua. Sasa mechi na Atalanta ni mawenge ya kocha mwenyewe. Kuanzia kupanga kikosi mpaka sub zake, huwezi kuweka mabeki watano na wakati una Santos anaweza kaba pia akasaidia kushambulia.
Yan sisi kila siku ni watu wa kuomba kocha aamke vizuri apange kikosi vizuri na asipate bipolar hapa katikati. Maisha gani haya
Jana issues sio sharpness, goli la Chelsea lilipatikana kwa sharpnessNilimwambia lembu kuwa team yetu haina sharpness kwenye kushambulia tupo slow sana ndio maana tunashindwa kumudu hizi team za kawaida tunashida kwenye ubunifu ndio maana sometime forward wetu Kama Jaoa Pedro anaonekana kawaida kwa sababu chances hazitenezwi za kutosha inamfanya muda mwingine ashuke chini achukue mipira, Enzo ni mpambanaji lakini hakuna anachooffer mbele uongozi ulizingua kutomsajili Xavi Simons yule jamaa angetusaidia wameenda kumsajili unproven player focundo ambaye hafiti aina ya uchezaji unatakiwa Kama no 10.Mpira ule wa msimu uliopita mpaka tukashika nafasi ya 2 ndio mzuri si huu wa Sasa ambayo tunapata shida kutengeneza nafasi kwa sababu tunawapa muda mpinzani kujipanga kwenye kujilinda
Sio kwamba tunazidiwa na mpinzani ni vile aina ya uchezaji wetu, upangajiwa kikosi , sub na makosa binafsi ya wachezaji ndio huwa inatucost ni team chache ndio walituzidi kimbinu we fikiria Tosin ametucost sana na unahitaji ushindi alafu unaenda kumuingiza alafu utegemee matokeo?Haya nmaamuzi ni typical ya PEP, kajifunza huko. The only diference ni wkamba Chelsea bado haina kikosi kilichoshiba.
Hizi tactics ndizo zilizotumika kumtwanga Barcelona na PSG 3-0. Saa nyingine tactics zinafanya kazi na saa nyingine zinabuma. Hii ni kawaida kwenye football.
Kila kocha duniani anayetegemea tactics saa nyingine anapatia na saa nyingine anafeli. Akipatia anaonekana GENIOUS na akifeli anaoneka kocha wa HOVYO kabisa
Wanaomtetea Maresca nikiwemo mimi bado ninaamini Maresca hana wachezaji wanaoendana na mfumo wake. Huyu ni paste and copy ya PEP. Hii ni pamoja na wachezaji walioko Majeruhi kama Cole Palmer na Colwill. Unamuona PEP anapoangaika kama akiwakosa wachezaji wanaoendana na mfumo wakeSio kwamba tunazidiwa na mpinzani ni vile aina ya uchezaji wetu, upangajiwa kikosi , sub na makosa binafsi ya wachezaji ndio huwa inatucost ni team chache ndio walituzidi kimbinu we fikiria Tosin ametucost sana na unahitaji ushindi alafu unaenda kumuingiza alafu utegemee matokeo?
Mbona Estevao hamchezeshi Sasa maana ni winga mwenye sifa zote zinazohitajikaWanaomtetea Maresca nikiwemo mimi bado ninaamini Maresca hana wachezaji wanaoendana na mfumo wake. Huyu ni paste and copy ya PEP. Hii ni pamoja na wachezaji walioko Majeruhi kama Cole Palmer na Colwill. Unamuona PEP anapoangaika kama akiwakosa wachezaji wanaoendana na mfumo wake
Mfano Maresca anapenda mawinga wawe na uwezo wa kufanya dribling na kukaa na mpira kama ile style ya Bernado Silva na kuwa mbunifu akiwa na mpira. Hao Chelsea hawapo, Neto hawezi kufanya dribling Garanacho hawezi ni mbio tu ndizo wanazofa.
Mfumo wake unahitaki no. 10 mbunifu na mwenye na uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi. Hiyo anayo Cole Palmer tu, Enzo Fernandez anafuatilia kwa mbali
Mfumo wake unahitaji kiungo au CM playmaker na mkabaji mzuri, tunaye Moises Caicedo anajitahidi ila kwenye playmaking sio mzuri sana. Andrey Santos naye bado anahitaji muda kukua
So cut short the story, Waqchezaji wengi tulionao sio profile kamili ya Maresca. Hapa alipofika amejitahidi na tumpe maua yake
Maresca anataka kumuweka Estevao Willian kwenye low profileMbona Estevao hamchezeshi Sasa maana ni winga mwenye sifa zote zinazohitajika
Hey hey, give me a breakKuijadili hii THE BLUES chini ya Maresca ni kupoteza muda. Mjinga sana huyu kocha
Maresca sio Mungu, ni binadamu anakosea na hakuna anayepinga,Kuijadili hii THE BLUES chini ya Maresca ni kupoteza muda. Mjinga sana huyu kocha
Huyu kocha mechi nyingi sana katupoteza ambazo za ushindi kila shabiki unayejua soka kaliona HiloKuijadili hii THE BLUES chini ya Maresca ni kupoteza muda. Mjinga sana huyu kocha
Sasa kama kocha hana wachezaji anaowahitaji waachane nae walete kocha atakaeweza kufit kimfumo na wachezaji waliopoWanaomtetea Maresca nikiwemo mimi bado ninaamini Maresca hana wachezaji wanaoendana na mfumo wake. Huyu ni paste and copy ya PEP. Hii ni pamoja na wachezaji walioko Majeruhi kama Cole Palmer na Colwill. Unamuona PEP anapoangaika kama akiwakosa wachezaji wanaoendana na mfumo wake
Mfano Maresca anapenda mawinga wawe na uwezo wa kufanya dribling na kukaa na mpira kama ile style ya Bernado Silva na kuwa mbunifu akiwa na mpira. Hao Chelsea hawapo, Neto hawezi kufanya dribling Garanacho hawezi ni mbio tu ndizo wanazofa.
Mfumo wake unahitaki no. 10 mbunifu na mwenye na uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi. Hiyo anayo Cole Palmer tu, Enzo Fernandez anafuatilia kwa mbali
Mfumo wake unahitaji kiungo au CM playmaker na mkabaji mzuri, tunaye Moises Caicedo anajitahidi ila kwenye playmaking sio mzuri sana. Andrey Santos naye bado anahitaji muda kukua
So cut short the story, Waqchezaji wengi tulionao sio profile kamili ya Maresca. Hapa alipofika amejitahidi na tumpe maua yake
Ni ngumu kumpata kocha atakayefit in kwa wachezaji wa makocha wengine. Na best and cheap way ni kuwaondoa wachezaji wasioendana na yeye ambayo kazi hiyo ilishaanza kitambo ila bado haijamaliziwaSasa kama kocha hana wachezaji anaowahitaji waachane nae walete kocha atakaeweza kufit kimfumo na wachezaji waliopo
Jana kanikera sana,Ujuaji mwingi mbele kiza
Ujuaji mwingi mbele kiza