Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

"In the 2011–12 La Liga season, Real Madrid won the league, a record 32nd time in La Liga history and finished the season with a number of records including 100 points in a single season, a record 121 goals scored & goal difference of +89, and a record 16 away wins and 32 overall wins.[SUP][42][/SUP] In the same season, Cristiano Ronaldo become the fastest player to reach 100 goals in Spanish league history. In reaching 101 goals in 92 games, Ronaldo surpassed Real Madrid legend Ferenc Puskás, who scored 100 goals in 105 games. Ronaldo set a new club mark for individual goals scored in one year (60), and became the first player ever to score against all 19 opposition teams in a single season"

the special one at real madrid: wewe aleyn unamjua MOURINHO yupi?

Kesho ni siku moja ambayo itakuwa ni tamu sana, Jose Mourinho huwa anasifika kwa kupiga soka la mdomoni kabla ya uwanjani, na hii ilipelekea mpaka kuwakimbia mabingwa wa Spain FC BARCELONA maana wao hawana soka la mdomoni kwahiyo hayo maneno yake aliyasema ili kuwatia moyo mashabiki wake tuu ila yeye mwenyewe matokeo anayajua siku ya kesho kuwa SAFARI NDO INAIVIA RASMI. Kesho utashuhudia jinsi Mourinho atakavyokuwa anamkalia na Refa.
 
Mpira huu wa maandishi katika mitandao ya kijamii kila mtu anauweza.

Lakini hauna ukaribu na uhalisia kabisa.

Huu mchezo utakua mguu sana.

PSG siyo wale vijana wa kutoka Staffordshire mliowapiga 3 kwa mshtuko mwishoni mwa wiki
 
waambie hao.
 
waambie hao.

Hawa PSG msimu uliopita walimkomalia Barca kwenye mtoano kama huu.

Pia wadau wanasahau kuwa hawa jamaa wanawachezaji wanaolipwa vizuri kama the bluz.

Kingine ni wachezaji nyota na wenye uzoefu mkubwa toka vilabu mbalimbali vya ulaya.

Pia wengi wao wanawakilisha timu zao za taifa.

Tukumbuke hii siyo Galatasaray ambao wanaonunua wachezaji waliokwisha muda wao kama enzi zile za Portsmouth.

PSG ingekua England basi ingekua level ya Man city katika uwekezaji
 
tajiri wao kashawaahidi EURO 400,000 kila mmoja iwapo wataitoa chelsea iwe kwa draw,kufungwa 1-0 vyovyote vile, yangu macho hio kesho!!! hivi Abramovich kaahidi nini vile???
 
Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe

Leo ndio J4! Sitakia kuongea sn! Ila saa 6 tutakua wote hapa tunapiga story! Na nyie kutoa hongera! Maana nimeongea sn hamtaki kuelewa!
 
tajiri wao kashawaahidi EURO 400,000 kila mmoja iwapo wataitoa chelsea iwe kwa draw,kufungwa 1-0 vyovyote vile, yangu macho hio kesho!!! hivi Abramovich kaahidi nini vile???

Kwi Kwi Kwi Kwi Kwi Kwi

Hiyo Pesa wameikosa! Lazima wapigwe!
 
Mpira huu wa maandishi katika mitandao ya kijamii kila mtu anauweza.

Lakini hauna ukaribu na uhalisia kabisa.

Huu mchezo utakua mguu sana.

PSG siyo wale vijana wa kutoka Staffordshire mliowapiga 3 kwa mshtuko mwishoni mwa wiki

Mpira wa maandishi hapa ndo mahala pake; unataka nifanyeje?

Unataka niseme tutafungwa?
Unataka niseme PSG nzuri kuliko CHELSEA?

ni sawa na kusema baba wa jirani ni mzuri kuliko baba yako? Believe in what you believe.
 
Hawa PSG msimu uliopita walimkomalia Barca kwenye mtoano kama huu.

Pia wadau wanasahau kuwa hawa jamaa wanawachezaji wanaolipwa vizuri kama the bluz.

Kingine ni wachezaji nyota na wenye uzoefu mkubwa toka vilabu mbalimbali vya ulaya.

Pia wengi wao wanawakilisha timu zao za taifa.

Tukumbuke hii siyo Galatasaray ambao wanaonunua wachezaji waliokwisha muda wao kama enzi zile za Portsmouth.

PSG ingekua England basi ingekua level ya Man city katika uwekezaji

lakini walitolewa? leo pia PSG watatolewa tu; kama vile MAN CITY walivyotolewa ingawa wana hela nyingi sanaa.
 
Msijipige ban leo usiku naona jana mmepiga sana kelele,tunaomba msikimbie baadae
 
sawa; wewe pia usikimbie nitakutafuta majukwaa yote kesho asubuhi.

wewe gemu yako kesho..uzuri wako umepima maji umeamua kutulia.

maana kesho unabalaa kubwa..

karibu jirani tusherehekee ushindi wetu dhidi ya PSG.

tutakuwa kwa MENTOR,

cc; Ntuzu, Gustavo, Kalou, all chelsea fans.
 
Mtakuwepo hapo badae kutoa hongera au na Hiyo itakua kz ???

Teh Teh Teh Teh

Leo mwanangu mapema tu ntakua kwenye tv! Na ningependa na Wewe Belo uwepo!

Ila game yako ya kasho kule Germany umejiaandaje?
 
Last edited by a moderator:
sawa; wewe pia usikimbie nitakutafuta majukwaa yote kesho asubuhi.

wewe gemu yako kesho..uzuri wako umepima maji umeamua kutulia.

maana kesho unabalaa kubwa..

karibu jirani tusherehekee ushindi wetu dhidi ya PSG.

tutakuwa kwa MENTOR,

cc; Ntuzu, Gustavo, Kalou, all chelsea fans.

Mkuu agosti 8 Mimi kuanzia sasaivi nime log in Ktk jf na niko Ktk hili jukwaa letu mpk baada ya game!

Wambie hao kina Belo wasikimbie tu!

Chelsea Hiyo NUSU FAINAL
 
Last edited by a moderator:
tajiri wao kashawaahidi EURO 400,000 kila mmoja iwapo wataitoa chelsea iwe kwa draw,kufungwa 1-0 vyovyote vile, yangu macho hio kesho!!! hivi Abramovich kaahidi nini vile???

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!
 
Hawa PSG msimu uliopita walimkomalia Barca kwenye mtoano kama huu.

Pia wadau wanasahau kuwa hawa jamaa wanawachezaji wanaolipwa vizuri kama the bluz.

Kingine ni wachezaji nyota na wenye uzoefu mkubwa toka vilabu mbalimbali vya ulaya.

Pia wengi wao wanawakilisha timu zao za taifa.

Tukumbuke hii siyo Galatasaray ambao wanaonunua wachezaji waliokwisha muda wao kama enzi zile za Portsmouth.

PSG ingekua England basi ingekua level ya Man city katika uwekezaji

Nakumbuka mwaka jana pale Nou Camp bila Messi kuingia kipindi cha pili na kusababisha goli, Barca ndo ingekuwa safari imeishia pale.
 
sawa; wewe pia usikimbie nitakutafuta majukwaa yote kesho asubuhi.

wewe gemu yako kesho..uzuri wako umepima maji umeamua kutulia.

maana kesho unabalaa kubwa..

karibu jirani tusherehekee ushindi wetu dhidi ya PSG.

tutakuwa kwa MENTOR,

cc; Ntuzu, Gustavo, Kalou, all chelsea fans.

Last game kule Paris kabla ya mechi mlipiga kelele sana wakati wa mechi wote mkakimbia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom