Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Kwakweli hizi thread 3 yani ya Chelsea na Liverpool na Arsenal, zimechangamka sn sn!
Wapi wakuu juve2012 EMT Mourinho na wengine woooote wapenzi Wa soccer! Kwa kweli EPL Na sports threads zimechangamka sn!
Shukrani kwa wote Jamani mnaopita Ktk threads hizi!
Kz kwenu Man Utd na Man City kuziamsha threads zenu!
Mentor na agosti 8 na chelsea fans wote! NAWAPENDA SN! Leo baada ya game wale wote watatishwa na kiwango chetu cha Mpira na kuanza Kua wapole
KTBFFH

Last edited by a moderator: