Hiyo takataka ni nzuri kwa sababu inacheza vizuri kuliko hizo takataka zingineHii ni takataka.
Tunazungumzia hawa wafanyakazi wa ndani ambao hata mkataba tu hawana?, unaenda kumchukua tu kwao kwa ruhusa ya wazazi na mda wowote ukijisikia unamrudisha?Ni ww sasa umepata House girl mchapa kazi, umekaa nae mwaka mzima kila siku yeye nikuumwa, ukipiga hesabu siku alizifanya kazi ni kama mwezi mmoja miezi yote yupo kitandani, utaendelea kukaa nae? Kuumwa kupo ila kukizidi sana pia ni tatizo.
Kama nilivyosema Christopher Nkunku hatakuwepo kesho kwenye mafunzo. Uongozi umesogeza mbele muda wake wa kurudi. Wanasema ni monor injury lakini hii ni excuse tu, Maresca hatataka wachezaji ambao hawatakuwepo kwenye kikosi chake cha msimu ujao waje kujaza nafasi tu. Hii ni dhahiri kabisa kuwa Xavi Simons atasajiliwa kuja kuziba nafasi yake.Wachezaji wengi wako wapi, au ninyi hamfuatilii Chelsea nini. Kocha atawachagua wachezaji wasiozidi 25-27 sasa wingi wa wachezajiw ako wapi hapo
Kikosi cha Chelsea 2025/26 hii hapa, wachezaji wanaokosekana aidha watauzwa au watatolewa mkopo
Ebu sema kikosi kikubwa kiko wapi hapa
Goalkeepers
Defenders
- Robert Sánchez – Goalkeeper
- Filip Jørgensen – Goalkeeper
Midfielders
- Malo Gusto – Right Back
- Reece James – Right Back / Defensive Midfielder
- Tosin Adarabioyo – Centre Back
- Trevoh Chalobah – Centre Back
- Wesley Fofana – Centre Back
- Benoît Badiashile – Centre Back
- Levi Colwill – Centre Back
- Marc Cucurella – Left Back
- Jorel Hato – Left Back
Wingers / Playmakers
- Moisés Caicedo – Defensive Midfielder / Right Back
- Romeo Lavia – Defensive Midfielder
- Dário Essugo – Central Midfielder
- Andrey Santos – Central / Attacking Midfielder
- Enzo Fernández – Central Midfielder / CAM
- Kiernan Dewsbury-Hall – Central Midfielder
- Xavi Simons – Central Attacking Midfielder (CAM)
- Cole Palmer –Central Attacking Midfielder (CAM)/ Right Winger
Strikers
- Jamie Gittens – Left Winger
- Alejandro Garnacho – Left Winger
- Pedro Neto – Right / Left Winger
- Estevão Willian – Right Winger / No. 10
- Liam Delap – Striker
- João Pedro – Striker / No. 10 / Left Winger
- Nicolas Jackson – Striker
Huyo Lavia ndio alifanya mpaka Kuna muda tuone team yetu inataka kuchukua ubingwa wa EPL ila baada ya kuumia ndio team ikaanza kupoteza direction. Kwa namna tulivyosajili Lavia anaumuhimu kwasababu nafasi yake Kuna watu watacheza na yeye atakuwa sehemu ya msaada kwahiyo hapaswi kuuzwaNdio mana wote ni wa kuuza hawana faida kwnye timu, wanajaza tu nafasi wanazuia wachezaji wenye uwezo kununuliwa.
Yeye na Fofana ila wanavyomponda utadhani ni BakayokoHuyo Lavia ndio alifanya mpaka Kuna muda tuone team yetu inataka kuchukua ubingwa wa EPL ila baada ya kuumia ndio team ikaanza kupoteza direction. Kwa namna tulivyosajili Lavia anaumuhimu kwasababu nafasi yake Kuna watu watacheza na yeye atakuwa sehemu ya msaada kwahiyo hapaswi kuuzwa
Kuna mtu kauliza hivi mashabiki wa Chelsea walitaka Tyrique George ndie awe winga wetu msimu ujao?Tarq George huyo anataka kuondoka
Nkunku nilikuwa namkubali Sana, cjui imekuwaje yn DahKama nilivyosema Christopher Nkunku hatakuwepo kesho kwenye mafunzo. Uongozi umesogeza mbele muda wake wa kurudi. Wanasema ni monor injury lakini hii ni excuse tu, Maresca hatataka wachezaji ambao hawatakuwepo kwenye kikosi chake cha msimu ujao waje kujaza nafasi tu. Hii ni dhahiri kabisa kuwa Xavi Simons atasajiliwa kuja kuziba nafasi yake.
View attachment 3429966
Nimekupa mfano mrahis tu, hata kama ni mfanyakaz ana contract hakuna ambae ataruhusu hayo mambo, ni either apunguze mshahara au asepe. Anawategea wenzake.Tunazungumzia hawa wafanyakazi wa ndani ambao hata mkataba tu hawana?, unaenda kumchukua tu kwao kwa ruhusa ya wazazi na mda wowote ukijisikia unamrudisha?
Ligi ipi hiyo wewe nzi wa buluu 😂 endelea kuota!Usipochukua hatua ya kucheza vizuri unauzwa haraka sana
Hii sera ya usajili ya Chelsea ni katili sana na itatuletea timu bora itakayomiliki ligi kuu na ligi ya mabingwa wa ulaya kwa miaka mingi subirini muone tu.
View attachment 3430020
Ulivyomtaja bakayoko umenikumba mbali kweli dah team ilipitia kuwa na matakataka mengiYeye na Fofana ila wanavyomponda utadhani ni Bakayoko
Mwamba mbona una uchungu kwani mshahara unalipa wewe? Kama wamiliki wamerizika nae wewe ni Nani upingeNimekupa mfano mrahis tu, hata kama ni mfanyakaz ana contract hakuna ambae ataruhusu hayo mambo, ni either apunguze mshahara au asepe. Anawategea wenzake.
Hata kama ni ww una kampuni yako mfanyakaz hafanyi kazi muda wote yupo kitandani. utakaa nae tu unamlipa mshahara wa bure kisa ni mfanyakaz hodari.
Sasa hivi kutakuwa na rotation Hilo pia litamsaidia kuepuka kumtumia sanaNini maana ya injury isiyoisha? Miguu inakuwa na shida gani? Kwamba haponi vizuri anarudi uwanjani kujitonesha? Hiyo injury itaisha lini? Lipi solution ya kudumu? Asipocheza msimu mzima atapona kabisa?
Hapo hapo tulipopoteza direction ndio penye shida, akatuleta tena wakati tunataka kuchukua ubingwa wa Dunia akaumia tena, sasa mchezaji gani huyo mpuuzi tu. tunapotaka kufika kwnye mafanikio ndio anategea. Sasa si bora auzwe tupate pesa nzuri anunuliwe ambae hategi.Huyo Lavia ndio alifanya mpaka Kuna muda tuone team yetu inataka kuchukua ubingwa wa EPL ila baada ya kuumia ndio team ikaanza kupoteza direction. Kwa namna tulivyosajili Lavia anaumuhimu kwasababu nafasi yake Kuna watu watacheza na yeye atakuwa sehemu ya msaada kwahiyo hapaswi kuuzwa
Kumbe mtu kaajiliwa serikalini mfano afu ikatokea ameugua ndani kalala hata mwaka anafutwa kazi eeeeh au kupunguza mshahara si ndio!!?Nimekupa mfano mrahis tu, hata kama ni mfanyakaz ana contract hakuna ambae ataruhusu hayo mambo, ni either apunguze mshahara au asepe. Anawategea wenzake.
Hata kama ni ww una kampuni yako mfanyakaz hafanyi kazi muda wote yupo kitandani. utakaa nae tu unamlipa mshahara wa bure kisa ni mfanyakaz hodari.