Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Biashara asubuhi, tumapiga mahesabu jioni.
Ni kukandamija kwenda mbele mwanawane, asietaka asage chupa abwie, asukumizie na maji bariidi ya uhai!!!
 
Wadau vp tuandae thread mpya kwa ajili ya msimu huu hii naona kama ipo full sana.Leo kama kawaida tumeuwa majirani zetu 2-mtungi! Drogba na Anelka wauwaji!
 
Biashara asubuhi, tumapiga mahesabu jioni.
Ni kukandamija kwenda mbele mwanawane, asietaka asage chupa abwie, asukumizie na maji bariidi ya uhai!!!

Nicolas-Anelka-Didier-Drogba-celeb-Fulham-v-C_2351662.jpg
 
Hongereni Bluz...u have killled the game.
Mmetuulia kale kajamaa kalikotudhalilisha
....
 
Si unajua mwana, ngoma ya kitoto haikeshi. Nyinyi mliwachelewesha wale madogo, matokeo yake wakawaumbua.

BTW; Mtatoka kwa Mr. Bean leo???
 
Chelsea are real good mate! it was an entertaining game, matokeo hayaonyeshi uhalisia wa game...ilibidi dogo hawa wapigwe 8-0! Jensen is a good keeper
 
Maveterani naona safari hii mmeanza kwa kasi mno but tutawakamata tu
 
Sheva kaenda Dinamo Kiev.
Watani naona season hii hamtaki mchezo mnatoa dozi tu.
 
Si unajua mwana, ngoma ya kitoto haikeshi. Nyinyi mliwachelewesha wale madogo, matokeo yake wakawaumbua.

BTW; Mtatoka kwa Mr. Bean leo???

Man U walicheza na mtoto na matokeo yakawa walipakwa kinyesi.
We were not gonna have that on our day!
 
Chelsea are real good mate! it was an entertaining game, matokeo hayaonyeshi uhalisia wa game...ilibidi dogo hawa wapigwe 8-0! Jensen is a good keeper

Mkuu,

heshima mbele. Unajua tungefunga mabao kama hao kuna wangeanza kulalama
eti sijui tunacheza mpira wa netboli....Biashara tumeanza asubuhi!
 
Mkuu,

heshima mbele. Unajua tungefunga mabao kama hao kuna wangeanza kulalama
eti sijui tunacheza mpira wa netboli
....Biashara tumeanza asubuhi!

Heheh veterans mna visa sana lol!! Lakini msije kuishia kuwa kama Liverpool season iliyopita tuu. Bado dakika 15 tukipute na Gunners.
 
Tuko gado mtani wangu labda injury zituongea lakini wa are in it till the end.
Mwenzio nimeketi mbele ya runinga nasubiri hio ngoma kwa hamu na ghamu.
Leo hapatoshi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom