Giro
JF-Expert Member
- Feb 9, 2009
- 359
- 24
Tuko pamoja mkuu, wamebana wameachia. tunaongoza 2-1 na tumetawala mpira muda wote.
La pili kafunga nani,mtuwangu.
Tuko pamoja mkuu, wamebana wameachia. tunaongoza 2-1 na tumetawala mpira muda wote.
Ooops! Drogba was very very close with a diving header, it looks like he was pushed a bit though!
Pair leo ipo kama kawa. Drogba+Anelka
Goooooooooooooooooooaaaal 1-3, Deco with a nice shot that took a skinny deflection off Droga.....Deco's goal
Chelsea wanatakiwa wajirekebishe haya mambo ya go a goal down then come back and fight again sio mwake.But hiyo good spirit itawasaidia sana,nafikiri wanakuwa sio makini dakika za mwazo.Malouda anaingia badala ya Kalou dk 75
Well said mkuuChelsea wanatakiwa wajirekebishe haya mambo ya go a goal down then come back and fight again sio mwake.But hiyo good spirit itawasaidia sana,nafikiri wanakuwa sio makini dakika za mwazo.
Shevchenko anaingia badala ya Deco dakika ya 85
Time of Possession 26% 74% madogo naona walikuwa wanakimbia kimbia tu ili mradi mpira uishe.powa and shukran kwa kutuhabarisha.Match stats
Shots (on Goal) 4(1) 25(5)
Fouls 15 11
Corner Kicks 1 14
Offsides 2 1
Time of Possession 26% 74%
Yellow Cards 2 2
Red Cards 0 0
Saves 2 0
Blue for Chelsea
Jamaa bado yupo tu,maybe atakuwa fiti akiwa na kocha wake wa zamani,wampe nafasi kama hizo bado 15dk wakiwa wanaongoza he can do something.Chelsea watakuwa tishio na diamond formation.Hopefully is going to work.
Time of Possession 26% 74% madogo naona walikuwa wanakimbia kimbia tu ili mradi mpira uishe.powa and shukran kwa kutuhabarisha.
Just have a good time see u til then.Point 3 mkobani,washika bunduki nao Celtic 0 - 2 Arsenal,hongera kwao nafikri tuwasubiri CPL.Tumemiliki mechi yote kwa ufupi, madogo hawakuwa na nyimbo. Poa mkuu, have a nice time.