Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maoni yangu; Chelsea imbakishe Jackson pia atafutwe mbadala wa Cucurella, namba sita ambaye atakuwa regular kupatikana ili wawe watatu.
Msimu ujao itakuwa wa moto sana kwa timu za epl make kila timu inajiandaa vyema, hautakiwi majerui mmoja tu tunaanza kuchezesha wachezaji out of position.
 
Tujikumbushe comment ya shabiki wa Arsenal siku walipomsajiri Jorginho kwamba ameenda kuchukua EPL 😂😂
 
Yaani hata Jorginho na uzuri wake wakati wa Sarriball bado hawezi kufikia hata chembe ya Enzo Fernandez, Moises Caicedo, Andrey Santos na Romeo Lavia. Yaani Chelsea tumetoka mbali sana
Kuna siku tutasimulia eti tulikuwa na striker anaitwa Nicolas Jackson ndie alikuwa tegemea kuiongoza Chelsea ikamaliza top 6 na msimu wa pili top 4. Itafurahisha zaidi tukijikumbusha na misses zake kwenye YouTube
 
Kwenye upande wa kiungo Chelsea imejitosheleza tuna Essugo ambaye amesajiliwa dirisha hili anacheza nafasi ya Caicedo kumbuka pia Kuna Lavia hapo, tuna Santos ambaye anaweza kucheza 6 na 8 na tuna Enzo Fernandez. Nafasi pekee ambayo hatuna mbadala ni ya Cucurella
 
Hans Flick na timu yake hawakuwepo kwenye hayo mashindano.
Msimu wake wa Kwanza tu huu wa Enzo Maresca tumeingia big 4 baada ya kustruggle kwa miaka miwili kwa makocha tofauti Lamps, potter na pochentino, kabeba conference cup na mwisho kashinda kombe la club bingwa kwa kutoa dozi Nene Real Betis kala 4 vizuri, PSG kala 3 takatifu hivi uoni Kama tumepiga hatua kubwa? Anakuaje ni takataka?
 
Nasikia pia wachezaji wamepewa Dola 350000 kila mmoja
 
Yaani hata Jorginho na uzuri wake wakati wa Sarriball bado hawezi kufikia hata chembe ya Enzo Fernandez, Moises Caicedo, Andrey Santos na Romeo Lavia. Yaani Chelsea tumetoka mbali sana
Tushukuru hata kwa hapa tulipo. Haikua kazi ndogo, kutoka kuwa kwa kina Fabregas mpaka tukaja kwa kina Bakayoko, mara Drinkwater mara Zakaria mmiliki halali wa wodi za wagonjwa wa Cobham japo alikua kwa mkopo.
 
UEFA wameitahadharisha Chelsea na Aston Villa kuwa swap yeyote itakayoambatana na inflated price za wachezaji watapewa adhabu stahiki. Chelsea na Aston Villa wanaweza kufanya swap deal ya wachezaji nahisi ni Morgan Rodgers na Jackson au Nkunku
 
Viungo
  1. Enzo Fernandez
  2. Moises Caicedo
  3. Romeo Lavia
  4. Andrey Santos
  5. Dário Essugo
  6. Kiernan Dewsbury-Hall
  7. Reece James
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…