Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,361
- 16,438
Sometimes uwezo binafsi wa Wachezaji huwafichia madhaifu ya uwezo makocha, hususani ktk vilabu vikubwa kama Chelsea FC.Lakini hapa amepata matokeo mazuri hadi sasa
Achana nae huyo, c unaona watu wamempuuza hapo hawajamjibu kituLakini hapa amepata matokeo mazuri hadi sasa
Uzi umevamiwa na nyumbu nnMaombi yenu Wakuu Chelsea SC anaenda kupata aibu kubwa fainali ya world club cup 2025 tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Fire Maresca The Chelsea FC Coach.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
inasikitisha sanaAchana nae huyo, c unaona watu wamempuuza hapo hawajamjibu kitu
Kwa akili za Msimamizi mkuu wa mazoezi ya Chelsea FC "Maresca" unadhani hao uliowataja kama Kipaji Sanchez si kipaumbele chake kuwapanga kikosi cha kwanza?Striker anatakiwa kuwa hivyo yaani mpira ukijaa mguuni ni shuti zito sio kama kale ka shuti mtoto alikopiga Nkunku
Matakataka kwenye first eleven yanazidi kupungua amebaki Sanchez
Nkunku, Madueke, Jackson, Sanchez wakitokea wanunuzi ni kuchukua hela
Jackson asipopata mshauri wa kumtuliza mapepe anaishia kucheza carabao na FA
Ila Sasa hatuna mbadala wakeCucurella Kawa mwamba kweli kweli siku hizi ,hili jamaa ni nguzo sana kwenye beki yetu , nikikumbuka ilivyobaki kidogo jamaa auzwe unyumbuni
Mi ni Mshabiki kitambo sana wa Chelsea FC ila huwa sipendi unafki, penye ukweli sipepesi kama maji na mafuta yanavyojitengaga.Uzi umevamiwa na nyumbu nn
Team imeimarika usisahau msimu ulioshida tulikutana team inayocheza defensive game huwa hatushindi nafikiri Sasa kocha kapata key formulaBora hata ya Palmeiras walitupa challenge
Kichaa chako cha ujumbe mmoja cha "Inasikitisha sana" kwenye nyuzi za siasa kimeshapona Mkuu?Achana nae huyo, c unaona watu wamempuuza hapo hawajamjibu kitu
Kwanini unaamini hivyoNdio mimi naitaka hiyo. Japo najua kwenye ligi tutaanza vibaya sana
Kocha apewe muda angalau kwa timu zinazocheza defensively kama 5 tunaweza kuwa na uhakika wa hiki unenacho ila si kwa mechi 1 tu Mkuu.Team imeimarika usisahau msimu ulioshida tulikutana team inayocheza defensive game huwa hatushindi nafikiri Sasa kocha kapata key formula
Tunachotakiwa tusajiri mbadala wa CucurellaAisee epl Msimu ujao..Bado Kuna estevao, Bado gittens 🔥
Unafeli mkuuMi ni Mshabiki kitambo sana wa Chelsea FC ila huwa sipendi unafki, penye ukweli sipepesi kama maji na mafuta yanavyojitengaga.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mpaka kusema hivyo nimeona kuanzia ile team tulicheza nayo robo fainal lakini aina ya uchezaji wanacheza Chelsea umenifanya niamini hivyoKocha apewe muda angalau kwa timu zinazocheza defensively kama 5 tunaweza kuwa na uhakika wa hiki unenacho ila si kwa mechi 1 tu Mkuu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
OllaChuga hujanisoma tu miaka yote nipo Chelsea FC, mbona akina Cash Money Forever, Lembu, E Hazard, Hziyech, Mkohoti, Enzo, Jose, Carleen na wengine wengi huwa tunaenda nao sawa tu humu?Unafeli mkuu
Naheshimu mawazo yako ila mimi bado nasubiri kwa mechi zingine maana timu zinaweza kucheza kiulinzi zaidi ila zikatofautiana mbinu na hapo ndipo penye changamoto kubwa kwa Kocha mzuri kuwa na plan B kuvunja ukuta na kupata matokeo mazuri kisokaMpaka kusema hivyo nimeona kuanzia ile team tulicheza nayo robo fainal lakini aina ya uchezaji wanacheza Chelsea umenifanya niamini hivyo
Acha negativity mkuu itakuua wewe mwenyewe, huu ni ushabiki tu wa mpira lengo kuu ni kufurahi, Timu inafanya vizuri na kocha anaenda vizuri. Hakuna kocha asiye na mapungufu na huyu ni mchanga. Anaweza kuja kuwa bonge la kocha kupitia hii timu akiwa na chemistry nzuri nayoOllachuga hujanisoma tu miaka yote nipo Chelsea FC, mbona akina Cash money forever, Lembu, Hazard, Hziyech, Mkohoti, Enzo, Jose, Carleen na wengine wengi huwa tunaenda nao sawa tu humu?
Tuangalie kesho zaidi si tu kisa tumeshinda hizi mechi chache basi tusiangalie madhaifu ya timu kwa upande wa pili.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Atoe brichi kwenye kichwaCaseido ameanza kuwa takataka.