Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,061
- 27,474
Mkuu sasa tunaanza kuelewana. Kocha ana nafasi kubwa kubadili tempo ya mchezo na mchezaji husika wa mechi. Tuombe tufike fainali tuone namna Enzo atakavyo uaproach mchezo husika naamini kama mashabiki na timu kwa ujumla tutapata la kujifunza kuelekea msimu ujao.Mechi na Bayern Munich hawakucheza na intesity kama waliyocheza na Intermilan kwenye fainali za UCL. Naona kuna drop kidogo ya intensity na kwa upande mwingine Chelsea tangu washinde fainali ya UECL mentality ya kocha na wachezaji imebadilika sana kitu ambacho Chelsea walikuwa hawana huko nyuma. Mimi naona Kocha kwa sasa yuko makini sio kama huko nyuma. hizi timu zikikutana sio ubora ndio utasababisha timu moja ishinde bali ni mentality na approach ya mpira. Chelsea tunao wachezaji wengi bora kuliko PSG. Nakubali wao wana kocha bora kuliko Chelsea na hapo ndio tofauti kubwa
π€Hii ni hadithi za kufikirika, ngoja tutakutana na PSG au Real Madri kama tukimalizna na Fluminense hivi karibuni tusiandikie mate wino upo
NI kweli kabisa tatizo kubwa la Maresca ana maamuzi kama ya Sanchez hasa kwenye kukabiliana na timu kubwa. Na pia kwa sababu hakupewa malengo makubwa na wamiliki anapenda kujaribu jambo jipya la la hovyo hata kwenye mechi muhimu. Mwisho Maresca tangu mwanzo kaichukulia FIFA CWC kama preseason ya kujaribu mifumo yake mipya na hajali. Ni kwa vile tu wachezaji wako na mentality ya kushinda hata zaidi ya kochaUnachosema ni kweli kabisa. Naumia sana tunapobadili badili makocha inakua ni kama tunaanza upya. Tulikosea sana kwa Tuchel tukaja kufanya makosa makubwa zaidi kwa Poch. Maresca anaonekana kuaminiwa ila asipojiangalia atajiponza hana maamuzi, mbinu zake game ikimuelemea sio nzuri ana stick na plan ya mwanzo.
Labda tusubiri muda utasema
Ataanza nyuma na Badiashile katikati atamuweka Gusto ili kutest mitambo πMkuu sasa tunaanza kuelewana. Kocha ana nafasi kubwa kubadili tempo ya mchezo na mchezaji husika wa mechi. Tuombe tufike fainali tuone namna Enzo atakavyo uaproach mchezo husika naamini kama mashabiki na timu kwa ujumla tutapata la kujifunza kuelekea msimu ujao.
Hakika naona hii ni kweli kabisa naamini Enzo yuko pre season kuelekea msimu ujao. Ndio majaribio mengi kweliNI kweli kabisa tatizo kubwa la Maresca ana maamuzi kama ya Sanchez hasa kwenye kukabiliana na timu kubwa. Na pia kwa sababu hakupewa malengo makubwa na wamiliki anapenda kujaribu jambo jipya la la hovyo hata kwenye mechi muhimu. Mwisho Maresca tangu mwanzo kaichukulia FIFA CWC kama preseason ya kujaribu mifumo yake mipya na hajali. Ni kwa vile tu wachezaji wako na mentality ya kushinda hata zaidi ya kocha
Daah kwakweli ni kati ya vinaumiza sanaAtaanza nyuma na Badiashile katikati atamuweka Gusto ili kutest mitambo π
Yaani kwa mfano next tunacheza na nani na ni Saa ngap wazee ili nijue kaa ntaangalia hiyo gemu πππHahahah sasa unaipenda hata mechi inazocheza huangalii mzee
Mkuu aUwezo wa kumpa wakati mgumu PSG tunao ila sio kushinda sababu bado kocha hajapass vipimo vya kucheza big match
Sasa hivi tunawachezaji wengi wazuri kuliko hata Bayern tukiamua kula nao sahani moja na kuacha uoga tutaoa upinzani mzuri kwa PSG
ila wasiwasi wangu bado ni kwa kocha bado hatajupatia aina ya uchezaji inayoendana na ukubwa wa uwekezaji
Kikubwa tucheze na PSG ili kupima progress ya project kama ipo kwenye muelekeo sahihi
Bayern ni nyepesi sema wewe unatishwa na majina, uchezaji wao Wanaacha magape makubwa uwanjani na ndio maana wanaruhusu magoal mengi team yetu tishio ni PSG ni kwasababu wanapress vibaya mno hawakupi muda wakufanya maamuzi team za namna hii huwa zinatusumbua sana ndio huwa wanasababisha defense yetu ifanye makosa pamoja na yule kipa wetu.Nasemea Chelsea kucheza na giants, hizo timu ulizotaja kuwafunga timu kubwa na Chelsea kuja kuwafunga sio sababu ya kusema Chelsea amepitia magumu, kwanza tunabahati hatukucheza na Bayern
Kiukweli kabisa team imebadilika mno huwezi kuifananisha na kipindi cha nyuma hasa upande wa defensive tulikuwa tunafungwa magoal ya kijingajinga ila now day mpinzani akitufunga huwa lazima amefanya kazi kwa jitihada, team inacheza kwa ushirikiano pattern ya team unaiona, wachezaji wanajituma sana, individuals mistake imepungua mno.Sasa hivi tunacheza kwa mamlaka ni vile tu watu wamekariri lakini ukiangalia timu yetu kiufundi unaona kabisa unaona improve kwa kiasi kikubwa bila kusahau tuna midfielders strong sana kiungo cha Lavia na Caicedo pale Kati kinauwezo kusambaratisha team yoyote ileNilichogundua hapa ni kwamba kuna mashabiki watamkosoa na kumpinga Enzo Maresca hata akishinda Treble.
Wapinzani ndani ya Chelsea, kama Chelsea mmeichoka si muende Arsenal au Westham? Comment yako inaonyesha hata hufuatilii hizi mechi za hivi karibuni za Chelsea
Hakuna Kocha Chelsea FC, hatuna tofauti na Ole Sendeka aliyekuwaga Mwantesa Utd πKiukweli kwa sasa tuna wachezaji wazuri kwa asilimia kubwa wenye nguvu na stamina. Kinachotufelisha tuna kocha wa kawaida sana labda itokee abadilike.
Kwenye hili Chelsea amepigwa faini tu ya paundi 21M
Na iwe hivyo aiseeKwe
Kwenye hili Chelsea amepigwa faini tu ya paundi 21M
Emiry tena?!Kwa jinsi navyoiona PSG inacheza itoshe kusema timu ni kocha. Psg ilishakuwa na mastaa kibao lakini hawakufikia mafanikio ya PSG hii ya Emery. THE BLUES tuna wachezaji wazuri ila hatuna kocha
Kapigwa fine yote hiyo kwa kosa gani, maana nilipokutana nalo tu nikalitupia hapa chap chap.Kwe
Kwenye hili Chelsea amepigwa faini tu ya paundi 21M
Emery tenaKwa jinsi navyoiona PSG inacheza itoshe kusema timu ni kocha. Psg ilishakuwa na mastaa kibao lakini hawakufikia mafanikio ya PSG hii ya Emery. THE BLUES tuna wachezaji wazuri ila hatuna kocha