Palmer akiwa winger ni very ineffective, huodari wake ni akiwa nyuma ya CF hivyo huyo kipara asianze vuruga wachezaji ambao wamesettle kwenye number zaoKwenye mfumo mpya am,bao kocha ameshasema juzi tulipocheza na E. Tunis kuwa Palmer atakuwa RW na Enzo no 10
So mfumo utakuwa hivi
Lineup ni 3-2-4-1
-----------------------Delap/Jackson-----------------------
Gittens/George-----Joao/Santos----Enzo/Estevao------Palmer/Neto
-----Lavia/Cucurella------------------Caicedo/Esugo--------
Anselmino/Colwill/Badiashile---Sarr/Fofana/Tosin----James/Gusto/Josh
-------------------Sanchez/Jorgensen/Penders----------------------
Njia ya Chelsea kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la Klabu sasa ni safi kuliko hapo awali.FT.
Al-Hilal 4
Man City 3
Koulibaly bonge la beki, wakitajwa mabeki bora watatu duniani yeye yumo
Sijui kwa nini Chelsea mambo hajamuendea vizuri. Ila nadhani hakupewa muda wa kuadapt
Al-Hilal wameleta suprise kubwa sana ya kwanza na ya kipekee wa CWC ya FIFA ya 2025. Walitoka sare na Real Madrid, na tulidhani RM ni wabovu na sasa wameiondoa Manchester City na usajili wote ule alioufanya PEP. Nadhani kiwango cha uchezaji cha Man City kilikuwa cha juu, lakini Isaghi ana mbinu nyingi sanaHuyu INZAGHI ni bonge la kocha aisee
Sana huyu jamaa tangu aondoke Inter milan,Inter sasa imeshajifia kabisa,natamani huyu jamaa siku moja aifundishe ChelseaAl-Hilal wameleta suprise kubwa sana ya kwanza na ya kipekee wa CWC ya FIFA ya 2025. Walitoka sare na Real Madrid, na tulidhani RM ni wabovu na sasa wameiondoa Manchester City na usajili wote ule alioufanya PEP. Nadhani kiwango cha uchezaji cha Man City kilikuwa cha juu, lakini Isaghi ana mbinu nyingi sana
Yeah angepewa muda km ambavyo hatukuwakatia tamaa caicedo n cucurella huenda sahv tungekuwa n beki kiongoziFT.
Al-Hilal 4
Man City 3
Koulibaly bonge la beki, wakitajwa mabeki bora watatu duniani yeye yumo
Sijui kwa nini Chelsea mambo hajamuendea vizuri. Ila nadhani hakupewa muda wa kuadapt
Hakuna kocha humo, kisa kamtoa city??!!Sana huyu jamaa tangu aondoke Inter milan,Inter sasa imeshajifia kabisa,natamani huyu jamaa siku moja aifundishe Chelsea
Hapana nimemfatilia tangu akiwa Inter Milani. Inter chini yake ilikuwa inakimbiza mbaya sio kwenye ligi ya ndani hadi mashindano ya njeHakuna kocha humo, kisa kamtoa city??!!
Cv yake kama kocha kweli sio ya kutiliwa shaka ila mechi ya Jana ni uwezo binafsi wa kipa ndio umewavusha Hilal wangekuwa na pazia la hekalu Sanchez wangeokota mpira kwenye nyavu si chini ya mara 5Hapana nimemfatilia tangu akiwa Inter Milani. Inter chini yake ilikuwa inakimbiza mbaya sio kwenye ligi ya ndani hadi mashindano ya nje
😂Wazee wa Mifumo ya kupaki basi mambo ya 5-4-1 kama kina chollo ...kwa epl hauwezi toboaHakuna kocha humo, kisa kamtoa city??!!
Aliyecheza vizuri sana wala sio kipaCv yake kama kocha kweli sio ya kutiliwa shaka ila mechi ya Jana ni uwezo binafsi wa kipa ndio umewavusha Hilal wangekuwa na pazia la hekalu Sanchez wangeokota mpira kwenye nyavu si chini ya mara 5
Nachopenda mpira wake mbele ya goli la mpinzani analeta madhara sanaCv yake kama kocha kweli sio ya kutiliwa shaka ila mechi ya Jana ni uwezo binafsi wa kipa ndio umewavusha Hilal wangekuwa na pazia la hekalu Sanchez wangeokota mpira kwenye nyavu si chini ya mara 5
Kafanyaje mkuu,winga wetu machachari kabisa huyoMadueke japo sio kwa umuhimu
Sanchez kwenye kudaka Yuko vizuri sana hapa unamuonea shida yake ni individual errors onlyCv yake kama kocha kweli sio ya kutiliwa shaka ila mechi ya Jana ni uwezo binafsi wa kipa ndio umewavusha Hilal wangekuwa na pazia la hekalu Sanchez wangeokota mpira kwenye nyavu si chini ya mara 5
Huwa anaangalia na mechi na mpinzani anayecheza nae mbona kwa Barca hakupack bus😂Wazee wa Mifumo ya kupaki basi mambo ya 5-4-1 kama kina chollo ...kwa epl hauwezi toboa
Mkuu hivi vipi kuhusu Joao Pedro kama amejoin na wenzie Marekani au la!!?🚨 BREAKING:
Liverpool 🔴, Man City 🔵, Man United 🔴, na Arsenal 🔴 wametaja vikosi vyao watakavyosafiri kwenda Marekani kuangalia Chelsea 🔵 katika Kombe la Dunia la Vilabu QF dhidi ya Palmeiras Ijumaa usiku🌍⚽.
Mtanage huo utafanyika katika katika uwanja wa Lincoln Financial Field ulioko kwenye mji wa Philadelphia, Pennsylvania
Karibuni Majirani wetu