Wamchukue bure aisee, halafu sisi ndio tuwape wao hela.Arsenal wanamtaka Noni Madueke
Baada ya kusikia kuwa Chelsea wanamuuza Noni Madueke, Arsenal wamejitokeza wanmtaka.
Tuwapige dola ngapi jamani.
View attachment 3376168
Kwa maoni yangu Mimi madueke ni mchezaji mzuri ana nguvu, Kasi na anajua kulazimisha mashambulizi sema shida yake ipo kwenye final product ( decision) akiimprove kwenye hili eneo atakuwa ni mchezaji hatariArsenal wanamtaka Noni Madueke [@Matt_Law_DT]
Baada ya kusikia kuwa Chelsea wanamuuza Noni Madueke, Arsenal wamejitokeza wanmtaka.
Tuwapige dola ngapi jamani.
View attachment 3376189
Kwenye ishu ya mchezaji wa mpira wa miguu kua shoga haijawahi kua verified news. Kwenye hii ishu wote tutatumia rumours kama wewe una verified info lete.Naona unajaribu kuforce james awe kundi moja na akina Ode! basi sawa.
Madueke anawekwa benchi timu ya taifa na Saka.Arsenal wanamtaka Noni Madueke [@Matt_Law_DT]
Baada ya kusikia kuwa Chelsea wanamuuza Noni Madueke, Arsenal wamejitokeza wanmtaka.
Tuwapige dola ngapi jamani.
View attachment 3376189
Huyo hataimarika, anapenda sana kumaliza kila kitu yeye hata kama anao wenzake kwenye position nzuriKwa maoni yangu Mimi madueke ni mchezaji mzuri ana nguvu, Kasi na anajua kulazimisha mashambulizi sema shida yake ipo kwenye final product ( decision) akiimprove kwenye hili eneo atakuwa ni mchezaji hatari
Usajili wa Kepa umefikia wapi kwanza acha kudengua kama manziMadueke anawekwa benchi timu ya taifa na Saka.
Halafu aende Arsenal awekwe benchi na klabu? Uwe unafikiria siyo kila unachosoma unakibeba tu.
Huyu abaki hapo kwakua timu ya taifa anamuweka benchi Cole so ana angalau nafasi ya kupata game time
Usajili wa Kepa umefikia wapi kwanza acha kudengua kama manzi
Arsenal ni dampo la Chelsea siku zote wewe unaringa wala huna cha kuringisha
Arsenal kila wakati ipo foleni ya kula makapi ya Chelsea
Arteta anammind sana Madueke kama alivyommind sana KepaJibu swali acha kuruka ruka we chura wa kihansi.
Anawekwa benchi timu ya taifa ataenda na klabu akawekwe benchi na huko?
Unamchukulia Madueke mjinga mjinga kama wewe na kubeba kila taarifa? Aliyekwambia Arsenal inanunua Kepa nani?
Hadi nyinyi msiojua mpira na kocha wenu mnamuona Madueke kiazi itakua Arteta?Arteta anammind sana Madueke kama alivyommind sana Kepa
Madueke ana miaka 23 bado ana room ya kujifunza inabidi avumiliwe trust me Madueke akiimprove kwenye eneo la decision making hata huyo Estevao hamfikiiHuyo hataimarika, anapenda sana kumaliza kila kitu yeye hata kama anao wenzake kwenye position nzuri
Mfumo wa Maresca unataka wachezaji wanajua kuwachezesha wenzao
Jana alisema kwa kurudia tena
Anapendelea wachezaji wanne wenye kufunga magoli 10 kila mmoaj kuliko mchezaji mmoaj mwenye kufunga magoli 40. Kasema anapenda kuona kila mshambuliaji anatengeneza nafasi, anatoa assist na anafunga. Kwa sifa hizo Madueke hana, kwa sababu haoni wenzake akiwa na mpira, halafu hakabi, akipoteza mpira anawaachia wengine wafukuze mpira. Ujio wa Estevao Willian na usajili wa winga mwingine, uwepo wa Nicolas Jackson unatosha kabis akuwa sababu ya Madueke kuuzwa
Flano njoo kuna screen shot inahitajika.Kwenye ishu ya mchezaji wa mpira wa miguu kua shoga haijawahi kua verified news. Kwenye hii ishu wote tutatumia rumours kama wewe una verified info lete.
Tabia ya kuplay victim ni janga
Mchezaji anayehitaji mechi 150 kuimarika sio standard ya timu inayofikiria ubingwaMadueke ana miaka 23 bado ana room ya kujifunza inabidi avumiliwe trust me Madueke akiimprove kwenye eneo la decision making hata huyo Estevao hamfikii
Madueke ana magoli 7 na assists 3 kwenye mechi 32. Ukiondoa ile hatrick Madueke ni winga wa goli 3 hadi 5 kwa mwakaMchezaji anayehitaji mechi 150 kuimarika sio standard ya timu inayofikiria ubingwa
Huyo Madueke kapewa nafasi ya kutosha lakini badala graph ipande ndio kwanza inashuka
Tatizo sio umri Tatizo huwa ni matumizi ya nafasi mchezaji mwenye zaidi ya mechi 50 EPL alitakiwa awe na improvement angalau ya 60% ya kipaji chake lakini Madueke wa PSV ndio huyuhyu wa leo
Na ubishoo uliopitiliza, unamuharibia. Yeye mwenyewe anajiona bonge moja la winga duniani hakuna.Mchezaji anayehitaji mechi 150 kuimarika sio standard ya timu inayofikiria ubingwa
Huyo Madueke kapewa nafasi ya kutosha lakini badala graph ipande ndio kwanza inashuka
Tatizo sio umri Tatizo huwa ni matumizi ya nafasi mchezaji mwenye zaidi ya mechi 50 EPL alitakiwa awe na improvement angalau ya 60% ya kipaji chake lakini Madueke wa PSV ndio huyuhyu wa leo
But recently amekuwa akichezeshwa nafasi si yake kwa namna hiyo hatawezaje kuimproveMchezaji anayehitaji mechi 150 kuimarika sio standard ya timu inayofikiria ubingwa
Huyo Madueke kapewa nafasi ya kutosha lakini badala graph ipande ndio kwanza inashuka
Tatizo sio umri Tatizo huwa ni matumizi ya nafasi mchezaji mwenye zaidi ya mechi 50 EPL alitakiwa awe na improvement angalau ya 60% ya kipaji chake lakini Madueke wa PSV ndio huyuhyu wa leo