Mimi niliamua kunyamaza tu. Madueke leo kacheza kama ndio mstaafu wa soka, hana haraka, hapasi kwa wakati. Ni bahati nzuri tu second half Palmer, Enzo, James walikiamshaMadueke??! Hivi umeangalia mpira kweli??
Ndugu timu iko kwenye ujenzi, vikombe kama hivi ndio zitatupa nguvu ya kushinda makombe makubwa. Mimi nimefurahia sana sio kwa vile ni kombe lenye hadhi ila inawapa kitu cha kujifuvunia na kutamani makubwa zaidi. Next season itaendelea kuwa nzuri kwa Chelsea. Naamini tukisajili wachezaji waliopungua has astriker na CB na LB wa kusaidiana na Cucurella. Chelsea itakuwa hatari ndani na nje ya EPLHongera kwa chama langu, japo hili kombe sio hadhi yetu.
Labda ukubwa wa kikosi mpaka training inafanyika viwanja viwiliMKuu wewe umepata nini msimu huu. Chelsea timu kubwa kubwa kuliko arsenal.
Kenge kabisa ninyi nani kakuambia bilioni mbili zimetumika, wachezaji wengi pesa zinalipwa kwa inatsllament na sio ya mara moja. Hadi hiyo bilioni moja ilipwe yote tutakuwa tumebeba hado UCL kabla yenu kenge nyie, hi audacity ya kuja kwenye hili jukwaa umelitoa wapi wewe ngayoni hamjatairiwaBilioni mbili kwenye misimu miwili inakupa conference league na nafasi ya kwenda CL unatishia watu timu yako ni kubwa
Ww unataka kukazwa hapa, sio bure hii.Bilioni mbili kwenye misimu miwili inakupa conference league na nafasi ya kwenda CL unatishia watu timu yako ni kubwa
Chura kabisaKenge kabisa ninyi nani kakuambia bilioni mbili zimetumika, wachezaji wengi pesa zinalipwa kwa inatsllament na sio ya mara moja. Hadi hiyo bilioni moja ilipwe yote tutakuwa tumebeba hado UCL kabla yenu kenge nyie, hi audacity ya kuja kwenye hili jukwaa umelitoa wapi wewe ngayoni hamjatairiwa
View attachment 3349308
Itabidi unipe training eneo hilo. Umekubuhu mpaka umekua malkia wa mipashoWw unataka kukazwa hapa, sio bure hii.
Sisi bado tupo fasi 7 tukifika fesi 10 tutabeba zoteGuess what?
Kuna kenge hapo London hata kikombe cha mbuzi hana
Palace wa 12 kwenye ligi wamebeba FA Cup
Spurs wa mwisho kwenye ligi wamebeba Europa League
Chelsea na kocha mgeni, wachezaji wachanga wamebeba Conference league
View attachment 3349307
Wazee wa fesi 4. Mmefika fesi ngapi? The senior runner.....naona jinsi mnavyoangaika sasaBilioni mbili kwenye misimu miwili inakupa conference league na nafasi ya kwenda CL unatishia watu timu yako ni kubwa
Nililala ubao ukiwa moja bila naamka nakuta 4-1 machozi yakanilenga all in allBora hata ungelala. Ungeota unakota makopo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umechukua Nini?Bilioni mbili kwenye misimu miwili inakupa conference league na nafasi ya kwenda CL unatishia watu timu yako ni kubwa
Ninachohofia tunaweza tukamsajili Sancho akalizika baada ya kusajiliwa ni mchezaji mzuri Kama akiamua kujituma kila mechiKwa maelezo ya Maresca inaonekana kuan uwezekano mkubwa Jadon Sancho akabaki kama mchezaji kamili wa Chelsea msimu uijao.
View attachment 3349309
Chura wewe huna akili hata mahesabu ulifeli darasani weweChura kabisa
Ukichukua simu ya mkopo ya laki moja hata kama hujamaliza bado simu inakua siyo laki moja?
Kiazi kabisa
Arsenal ni Netflix drama, wazee wa next seasonWazee wa fesi 4. Mmefika fesi ngapi? The senior runner.....naona jinsi mnavyoangaika sasa
Kwani kiongozi huyo ni mchezaji wa maana?Ninachohofia tunaweza tukamsajili Sancho akalizika baada ya kusajiliwa ni mchezaji mzuri Kama akiamua kujituma kila mechi
Kwakua tunaenda kuwa na wachezaji wachanga wengi Sancho atatufaa sana pamoja na hivyo Sancho sio average playerKwani kiongozi huyo ni mchezaji wa maana?
Huyo ni average player ila anafaa kwa sub na cup competition so suala la kuangalia ni kama atakubali structure ya timu kuhusu mishahara then 25£ mil sio mbaya kwa soko la sasa