Namtafuta Peas of ants khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Jamani ndugu yangu Ntuzu yupo kweli? Ana hali gani?
Jamani ndugu yangu Ntuzu yupo kweli? Ana hali gani?
hakutaka aonekane Kama ametukana kwenye kioo cha jamii kwahiyo katumia akili ya kuandika kwenye karatasi baadae ndio kuonyeshwa magazetini kwamba hawakuwa na ujasiri na hapa kidogo ndio inamfanya Morinho anajuwa ku deal na wachezaji anapenda Yule mjasiri kwenye game mtu ukiweka mguu unauwezo wa kuweka kichwa au uso upigwe na njumu sio unaogopa nywele kuchafuka Kama Ntuzu.Waandishi wetu makanjanja wamefasiri Mourihno alipohojiwa kuwa Chelsea walipungikiwa na nini kwenye mechi ya jana na akajibu"balls"ikafasiriwa na makanjanja wetu kuwa alikuwa na maana mipira. Kwa wanaojua kiingereza balls hapo ina maana mapumbu kwa maana ya ujasiri.Ndiyo iliyosababisha Mourihno kutotamka bali kuandika kwenye karatasi.
hakutaka aonekane Kama ametukana kwenye kioo cha jamii kwahiyo katumia akili ya kuandika kwenye karatasi baadae ndio kuonyeshwa magazetini kwamba hawakuwa na ujasiri na hapa kidogo ndio inamfanya Morinho anajuwa ku deal na wachezaji anapenda Yule mjasiri kwenye game mtu ukiweka mguu unauwezo wa kuweka kichwa au uso upigwe na njumu sio unaogopa nywele kuchafuka Kama Ntuzu.
jumamosi ya leo 29/03/2014 au jumamosi ijayo???