Yaan mpk Arsenal wamejipgia mkono, aisee sisi tuna kocha kiazi kupita maelezo.Narudia kusema game yetu na City ilikuwa ndio game pekee ya kuisambaratisha City ila Mareaca akajifanya mjuaji
Yaan mpk Arsenal wamejipgia mkono, aisee sisi tuna kocha kiazi kupita maelezo.Narudia kusema game yetu na City ilikuwa ndio game pekee ya kuisambaratisha City ila Mareaca akajifanya mjuaji
Last born aende tu maana anadeka sana huyuJoao Felix to AC Milan
Atamalizia loan spot iliyobaki kwa hiy hatutakuwa na wachezaji tena watakaoenda mkopo msimu huu wa Januari. wakiwemo akina
- Nkunku kwenda Bayern au Manchester United
- Disasi kwenda Aston Villa
- Anselmino kwenda Marseille
View attachment 3223694
Hii timu ndio tunawaza ishindanie makombe?Chelsea na St Etienne wanakaribia kumsajili kiungo wa miaka 19 Mathis Amougou huku mkataba ukikamilishwa.
Ada ni karibu €15m, maelezo ya mwisho yanashughulikiwa.
x.com
x.com
@FabrizioRomano
View attachment 3223726
Halafu hawapewi muda wa kucheza ili wapande beiNi Rasmi sasa. Tuna SD wahovyo kuwah kutokea.
Nilisema usajil wa felix ulikuwa hauna haja haya leo hii mchezaj wa 57M unamtoa kwa mkopo ndani ya miez 6 .
Tunazid kuongeza rundo la wachezaj tu hapa.
Siku Clearlake na Boehly wakija kushtuka basi tuko pabaya sana
Mkuuu mwalimu nae hakuna kituNarudia kusema game yetu na City ilikuwa ndio game pekee ya kuisambaratisha City ila Mareaca akajifanya mjuaji
Tukubali wakuu Nkukuu formation imemshinda au hana bahati kwa Chelsea, kila akipewa nafasi ndiyo anazidi kujificha kiasi kwamba uoni impact yale uwanjani.Halafu hawapewi muda wa kucheza ili wapande bei
Nkunku kakosa bei kwa sababu hachezi, walikuwa wako tayari kutoa mil 40 tu
Hakuna plan, kujilimbikizia wachezaji ambao hawatacheza kwa hiyo hakuna hata matumaini kule mbele
Mbona hata nyinyi tumewapiga mkonoYaan mpk Arsenal wamejipgia mkono, aisee sisi tuna kocha kiazi kupita maelezo.
Nkunku kocha ndie ametuaminisha kuwa Nkunku haendani jna mfumo wake na wewe ukawa miongoni mwa waliomuamini. Preseason Nkunku ndiye alikuwa miongoni mwa waliofanya vizuri kwa taarifa yakoTukubali wakuu Nkukuu formation imemshinda au hana bahati kwa Chelsea, kila akipewa nafasi ndiyo anazidi kujificha kiasi kwamba uoni impact yale uwanjani.
Nkukuu, Falcao, Gonzalo Higuani, Alvaro Morata walipofika Chelsea walikuwa kama wamerogwa vile...wanatangatanga tu uwanjani bila faida.
Mtu pekee anaeweza kuichalange nafasi ya Jackson pale Chelsea ni mtu anaetumia nafasi kwa ajili ya kufunga tofauti na hapo bora Jackson abaki aendelee kubahatisha japo anawapa mabeki kashikashi.
Japo sijaelewa sababu ya kuwatoa wote Ugonchuku na Chukuemeka alafu unamtela tena vijana wa miaka 19.
Uwezi kuchukua kombe na watoto chini ya miaka 25 na wala zaidi ya miaka 33...