Nilisema huko nyuma kinachotuokoa na kuoneka tunajilinda vizuri ni jinsi tunavyoshambulia. Chelsea inapeleka mashambulizi balaa hadi sasa hivi Brentford wote wana defend. Tosin anaonekan mzuri kwa sababu sehemu kubw aya game anacheza kwa uhuru japo kusema ukweli leo tosin anaoneka kucheza kwa uzoefu na tahadhari kubwa tofauti na kule nyumaMimi inshu ya uchovu nakataa kata kata, wachezaji wanadekezwa sana.
Ni kuwapelekea moto bila kutulia ili wasipate muda wa kuanza kupiga zile pass ndefu na mbioHivi ndivyo timu aina ya Breford wanatakiwa wachezewe mpira bila kutulia...hadi sasa bahati ipo kwa kipa wao.
Huyo jamaa ni mashine ya kazi ila pancha kila maraJames siwezi msema vibaya amekuwa hapo toka akiwa na miaka 6 pekee, huyo ata kama anakula mshahara wa bure ni sawa kabisa.
Kaulimbiu yetu ni ile ile bado tunajenga timu,japokuwa uwezekano upo wa kubeba kombe la ligi.Hili kombe letu mamaeee, cha muhimu ni kukaza hivi hivi ,hata liverpool kuku kishingo sio kwamba yuko vizuri sana kushinda sisi .
Dah ! Ila Cucurella amejipata sio siri ,huyu jamaa alikuwa anazingua sana kipindi cha PochetinoHii mentality ya hawa wachezaji wa Chelsea ni ya ubingwa, kocha anatudanganya tu hapa. Yaani sasa hivi Chelsea inavutia mno ikiwa na mpira na hata ikipoteza mpira. Mtu ambaye nimem uona anazubaa akipoteza mpira ni Noni Madueke tu, wengine wote wakipoteza mpira tu wanacharuka na kuuendea m,pira kama mwendawazimu
Hata Mimi napenda hiyo combinationHv haiwezekani kucheza 4-3-1-2 afu Nkunku akacheza pamoja na Jackson, yn kwa ufupi hakuna uwezekano wa Nkunku kucheza pamoja na Jackson?
Binafsi namkubali sana Nkunku kuliko Jackson.
Tulitaka kumtoa Cucurella mkopo na kumuuza kabisa, Asante Mungui kwa kulizuia hiloWayaaaaa Cucurella
Sio tu game ya leo tu mechi zote alizocheza amekuwa wa Moto sanaCucurela amekuwa na performance nzuri kwenye hili game kuanzia nafasi yake ya ulinzi mpaka kwenye kufunga.
🔵 1 - 🍯 0
Hii haiwezekani kwa sababu inabidi kuua winga wote wawili ili uchezeshe striker wawili na viungo watatuHv haiwezekani kucheza 4-3-1-2 afu Nkunku akacheza pamoja na Jackson, yn kwa ufupi hakuna uwezekano wa Nkunku kucheza pamoja na Jackson?
Binafsi namkubali sana Nkunku kuliko Jackson.
Hii mentality ya hawa wachezaji wa Chelsea ni ya ubingwa, kocha anatudanganya tu hapa. Yaani sasa hivi Chelsea inavutia mno ikiwa na mpira na hata ikipoteza mpira. Mtu ambaye nimemuona anazubaa akipoteza mpira ni Noni Madueke tu, wengine wote wakipoteza mpira tu wanacharuka na kuuendea m,pira kama mwendawazimu
Ishu ya ubingwa tushaimaliza kuielezea naomba tusirudishane nyuma, msimu huu ni wa kujenga timu tuu, hatutaki ubingwa.Hili kombe letu mamaeee, cha muhimu ni kukaza hivi hivi ,hata liverpool kuku kishingo sio kwamba yuko vizuri sana kushinda sisi .