Huu Champions
Member
- Jun 27, 2024
- 54
- 71
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa ivi unakaa banda umiza na soda yako fanta orange unakunywa taratibu mpka mechi inaishaHONGERENI THE BLUES KWA USHINDI MNONO.
THE BLUES ikicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani kibabe bingwa wa dunia ameshinda mechi
Neto hachezi mechi ijayo ya EPLHaya mabonanza yanamfaa mudrick neto angepumzishwa
Sasa hv hakuna kuangalia mechi getto au kwenye simu, unaenda bandani ukiwa na jezi full mpaka njumu na soksi juu ya magoti ili kila mtu ajue ww n shabiki wa club bingwa la dunia 🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa ivi unakaa banda umiza na soda yako fanta orange unakunywa taratibu mpka mechi inaisha
Sahihi kabisaKuna yule dogo aliyecheza pale katikati Rak sakyi yupo vizuri sana Ni calmness, anapiga pass nzuri sana na anajua kucontrol game badala ya kumchezesha Enzo kwenye hii michuano kocha amtumie huyu dogo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nakubali mwana. Ila nina wasiwasi n wale Brendford wanatuoteaga sana majamaa na uchezaji wao duuSasa hv hakuna kuangalia mechi getto au kwenye simu, unaenda bandani ukiwa na jezi full mpaka njumu na soksi juu ya magoti ili kila mtu ajue ww n shabiki wa club bingwa la dunia 🔥
Sisi tulamba kila anayekuja kwenye njia yetu hata akiwa yatima tunalamba tuu.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nakubali mwana. Ila nina wasiwasi n wale Brendford wanatuoteaga sana majamaa na uchezaji wao duu
Kabisa mkuu ningependekeza pia tuanze na midfielders wetu wote watatu Enzo, Caicedo na Lavia alafu tuue winga mmoja tuwe na Sancho na Palmer katikati Enzo ili Gusto aanze badala ya Caicedo kutumika Kama false full back ili ule upande usiwe kichochoro Kama ilivyokuwa kwa spursGame ya Brentford naona hii ndio itakuwa game yetu ngumu sana kwa sasq kwa aina ya uchezaji wa vijana wa Thomas Frank. Tutahitaj kutumia chance zetu vizuri
Mimi naamini Sanchez atatugharimu sana .. imagine mechi Ile ya Tottenham tupo 2 nill down then comeback ikaja ...Sasa uwe 2 nill down kwa timu Kama nothinghamIssue ya defence na goalkeeper ni eneo muhimu sana kwa title contender na hapo ndio tunamapungufu makubwa
Mpira ni mchezo wa makosa lakini huko nyuma tunafanya makosa mepesi sana karibu kila baada ya mechi mbili
Resilience issue bado hatujawa nayo ya kuaminika hatuna uwezo wa kuhimili msako mkali bila kuruhusu goli ambao nayo ni character ya bingwa huwezi dominated game zote kuna mechi unasurvive kwa kuzuia/kutofungwa
Issue ya injury ni common factor kwa timu zote mafano licha ya kuwa na kikosi kipana lakini hakuna mbadala wa palmer na Caseido in term of quality
Mwisho ni gap kubwa na anae ongoza ligi wakati tukiwa kwenye good runs, ukiwa kwenye winning streak kama hizi hutakiwi kuwa nyuma ya mshindani wako kwa zaidi ya point 4
Mechi yetu ijayo dhidi ya Asengema inabidi tuwape ht point moja mana tutakuwa tumekamilisha malengo yetu ya kuwa top four mana ubingwa sisi hatuutaki.Mashabiki wengi wa Arsenal walisema Maresca atakuwa ameshatimuliwa kazi kabla ya January 2025. Badala yake ndio leo wameanza kampeni ya ARTETA OUT!. Tuwaonee huruma majirani zetu wa London