Hela ndogo sana hiiChelsea wanafikiria kumuuza Reece James, na wanaweza kumwachilia kwa chini ya pauni milioni 20 pamoja na addons ambazo zitajilimbikiza katika gharama za kihalisia, kulingana na kiasi cha muda anachocheza. Hivi ndivyo Real Madrid wanavyotaka na waje tu.
View attachment 3163745
--------------------Guiu--------------------------Timu zin azocheza leo, Marc Guiu ana dhamani kubwa kuliko timu nzima ya Heidenheim
View attachment 3164542
Filip sio mzuri kwenye distributions, un amuona hata na timu ndogo kama hii ya Heidenheim bado alikuwa na kigugumizi kwenye kuanzisha mpira langoni. Uzuri wake upo tu kwenye kujiposition kama kipa na kuzuia mashuti. Ila bado hata mimi ningempendekeza Filip zaidi ya SanchezHivi Sanchez huwa anaanzaje kwa Jergensen. Jamaa ni bonge la gollie
Timu hiyo inacheza bundasliga ..siyo lelemana kihivyoNyie waupuuzi kumbe mnacheza kombe la mapinduzi na timu za malindi Zanzibar 🤣🤣🤣
Anatakiwa isiwe chini ya 60 Kama sio hivyo asiuzweLabda 20M + mchezaji
Anatakiwa isiwe chini ya 60 Kama sio hivyo asiuzwe
Kama tumeweza kutoa 60 kwa Lavia tunashindwa vipi kuuza kwa JamesTimu gani itatoa hiyo hela kwa James?
Kuna wakati huko nyuma nilisema hovyo kuhusu James na kudai kuwa Chelsea sio wodi ya wagonjwa nikashambuliwa sana hapa. Ila sasa baada ya hii injury ya juzi mashabiki wengi wa Chelsea wameshamkatia tamaa James na wengi wanamsema vibaya. Huyu Jamaa angeachana na mpira tu na aende akawe Pundit au ajifunze ukocha. Mpira wa miguu hauna future tena kwake. Mwili wake haukuumbwa kwa ajili ya mpiraLabda waarabu wa Saudia league wanaweza kutoa. Na James akubali Kwenda Saudia akasomewe Albadiri
High line ni ukabaji wa kipuuzi sana, Nakumkbuka Spurs walitufanyia hivyo tukawashindilia magoli na Jackson akafunga hat-trickYule shabiki wa Hans Flick anaona vile ana struggle huko na high defensive line,
Watu wameshamsoma Imagine ingekuwa England ndio wangemvua nguo
Kuna watu wanamchukulia poa Enzo kisa hana high profile ila kwa anachotupa sasa sidhani kama kuna kocha angekifanya ambae alikuwa sokoni last summer
🤣🤣🤣🤣🤣hahaaaa kmamae Una chuki binafsi na Chelsea ' ,ila leo kaa ukijua Aston villa tunamywa supuPalmer ndio anategemewa na hili timu la kengez
Palmer mpiga nyeto🤣
Jackson muimba kwaya wa Matias mulumba 🤣🤣
Badiashile bichwa la kipemba🤣🤣 zito
Kuna lile beki lenu linautege km wema sepetu🤣🤣🤣
Kenge nyie mpigwe na villa
bange zitakuua wewePalmer ndio anategemewa na hili timu la kengez
Palmer mpiga nyeto🤣
Jackson muimba kwaya wa Matias mulumba 🤣🤣
Badiashile bichwa la kipemba🤣🤣 zito
Kuna lile beki lenu linautege km wema sepetu🤣🤣🤣
Kenge nyie mpigwe na villa