Jibu hoja !Duh mamluki at work
Em tuanze na HalandLini tuanze kumjadili Cole palmer kwamba ni flop?? Ule msimu ilikuwa ngekewa ! Yetu macho!!!!
Jibu hoja acha ushambenga,,, ! Unadhani nalingana na wewe ? Ama mpira nimeanza kufatilia jana ?Hao ni wototo wa Facebook wamevamia jukwaa. We uliona wapi comments za mwanaume zimejaa viemoji vya kujichekeshachekesha
Kiujumla city hawako poa season hii, sio ishu ya haaland tu ! Majeruhi kwa key players pia imechangia pakubwa,,,, ! Kama Chelsea na utd msimu jana !"Em tuanze na Haland
Unatania naonaSijui kwanini mashabiki wengi wana mbeza madueke, huyu kijana ni bonge la mchezaji hizo nafasi anazo tengeneza wachache ndo wanaziweza, huyu na saka tofauti ni uzoefu akikaa misimu mi wili epl atakua mzuri kuliko saka Madueke anakupa vitu vingi uwajani.
1. Anaweza kupenye kwenye box ya 16 haraka
2. 1v1 madueke ni muzuri anaweke defenders wa timu kinzani kwenye panic mood au tension.
3. Madueke anarudi nyuma kukaba haraka na matokeo yanaonekana.
4. Counter attack ni mzuri anakasi nzuri sanaa
5. Madueke anatoa pass za cross wakati mgine ambazo huleta kona za haraka.
Joa ferex, sacho, modriki hawawezi kukupa hayo yote.
Kwahi kocha iko sahihi kumpanga madueke kuliko hao wengine.......kama alivo kua sahihi kumpanga Jackson kuliko Nkunku Jackson amekua bonge la striker Nkunku hawezi kujiposition hana mbio mipira ya juu inampa shida sana passing yake haiko accurate 100% bado Jackson ni mzuri tu.
Enzo udhaifu wa kuzuia umemfanya awe sio bora kwa Coicedo au Lavia tatatizo la chelsea sio kufunga ni kufungwa kwasbabu kufunga kila mtu anaweza kwa mfumo wa kacha wa sasa Enzo ni mzito kurudi nyuma af tena yeyebanachexea kati kati ya uwanja ambao ndo fasi nzuri concedo ku fistribute mpira pasi za Enzo hazifiki pembeni ya wachezaji winger huo ni udhaifu mgine.
Mkuu leta hoja zako wewe unavo ona hao wachezaji.Unatania naona
Hangover hizi, kwa hiyo saka kwako ni bonge la mchezaji?!Sijui kwanini mashabiki wengi wana mbeza madueke, huyu kijana ni bonge la mchezaji hizo nafasi anazo tengeneza wachache ndo wanaziweza, huyu na saka tofauti ni uzoefu akikaa misimu mi wili epl atakua mzuri kuliko saka Madueke anakupa vitu vingi uwajani.
1. Anaweza kupenye kwenye box ya 16 haraka
2. 1v1 madueke ni muzuri anaweke defenders wa timu kinzani kwenye panic mood au tension.
3. Madueke anarudi nyuma kukaba haraka na matokeo yanaonekana.
4. Counter attack ni mzuri anakasi nzuri sanaa
5. Madueke anatoa pass za cross wakati mgine ambazo huleta kona za haraka.
Joa ferex, sacho, modriki hawawezi kukupa hayo yote.
Kwahi kocha iko sahihi kumpanga madueke kuliko hao wengine.......kama alivo kua sahihi kumpanga Jackson kuliko Nkunku Jackson amekua bonge la striker Nkunku hawezi kujiposition hana mbio mipira ya juu inampa shida sana passing yake haiko accurate 100% bado Jackson ni mzuri tu.
Enzo udhaifu wa kuzuia umemfanya awe sio bora kwa Coicedo au Lavia tatatizo la chelsea sio kufunga ni kufungwa kwasbabu kufunga kila mtu anaweza kwa mfumo wa kacha wa sasa Enzo ni mzito kurudi nyuma af tena yeyebanachexea kati kati ya uwanja ambao ndo fasi nzuri concedo ku fistribute mpira pasi za Enzo hazifiki pembeni ya wachezaji winger huo ni udhaifu mgine.
Jibu hoja zangu kwa maelezo sio kuniuliza suali kama sio mchezaji leta analysis ya madhaifu yake kwa kulinganisha na mchezaji mgine hili sio jukwa la Yanga na simba la mihemuko tu na hisia bila kutumia akili.Hangover hizi, kwa hiyo saka kwako ni bonge la mchezaji?!
Uko sahihi sana sachezi sio wakutegemea sana anapoteza umakini wakati wowote, hata ile peneti isinge fungwa angekua makini zaidi.Nadhan Priority ya msim ujao tufanye tufanyavyo Tutafute kipa anaeweza amua mechi anaeweza dhibit wapinzani wasirudi mchezoni
Sanchez ni liability haijalishi tunaongoza ngapi ila Akiendelea kuwepo golini ataendelea kutuweka roho juu
Palmer ni complete player ni vile tu team pinzani zinamkamia hata Jana alicheza vizuri na goal lake alibaniwa na Madueke but overall kacheza vizuriNikasema ENZO + PALMER angetakiwa awe mchezaji mmoja nitakosea?
NIkasema CESC FABRIGAS = ENZO + PALMER nakosea?
Mi nachokiona THE BLUES tuna viungo na washambuliaji wengi wenye sifa au uwezo pungufu hatuna complete players waliobeba sifa mbalimbali.
PALMER angetakiwa awe ndani ya ENZO au ENZO angetakiwa awe ndani ya PALMER.
Apatikane mchezaji aina ya FABRIGAS wenye uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi na kufunga magoli mengi. Mchezaji wenye uwezo wa kubeba sifa zaidi ya wachezaji wawili.
Kwangu NETO na CAICEDO kwa sasa naweza sema ndio wachezaji waliokamilika. Hawaitaji wachezaji 2 kumbeba Neto au Caicedo mmoja.
Oya umemjibu jibu la kiwandamiziKabla ya kujadili tuambie mchezaji flop kwako unampima kwa takwimu zipi ili tusije tukawa tunajadili hoja na kitoto cha first year
Kocha asipozinduka huyu kipa atamuharibia kaziNadhan Priority ya msim ujao tufanye tufanyavyo Tutafute kipa anaeweza amua mechi anaeweza dhibit wapinzani wasirudi mchezoni
Sanchez ni liability haijalishi tunaongoza ngapi ila Akiendelea kuwepo golini ataendelea kutuweka roho juu
Wewe inaonekana unaipiga sana hiyo nyeto ndio maana unaifahamu vizuri. Ebu tuachie kijana wetu afanye kazi tuliyomtuma. Atawakandamiza sana na msimu huuPalmer vimguu vyepesi,nyeto mbaya Sana🤣
Umemchambua Noni Madueke vizuri sana. Hata mimi nina mawazo kama hayo.Sijui kwanini mashabiki wengi wana mbeza madueke, huyu kijana ni bonge la mchezaji hizo nafasi anazo tengeneza wachache ndo wanaziweza, huyu na saka tofauti ni uzoefu akikaa misimu mi wili epl atakua mzuri kuliko saka Madueke anakupa vitu vingi uwajani.
1. Anaweza kupenye kwenye box ya 16 haraka
2. 1v1 madueke ni muzuri anaweke defenders wa timu kinzani kwenye panic mood au tension.
3. Madueke anarudi nyuma kukaba haraka na matokeo yanaonekana.
4. Counter attack ni mzuri anakasi nzuri sanaa
5. Madueke anatoa pass za cross wakati mgine ambazo huleta kona za haraka.
Joa ferex, sacho, modriki hawawezi kukupa hayo yote.
Kwahi kocha iko sahihi kumpanga madueke kuliko hao wengine.......kama alivo kua sahihi kumpanga Jackson kuliko Nkunku Jackson amekua bonge la striker Nkunku hawezi kujiposition hana mbio mipira ya juu inampa shida sana passing yake haiko accurate 100% bado Jackson ni mzuri tu.
Enzo udhaifu wa kuzuia umemfanya awe sio bora kwa Coicedo au Lavia tatatizo la chelsea sio kufunga ni kufungwa kwasbabu kufunga kila mtu anaweza kwa mfumo wa kacha wa sasa Enzo ni mzito kurudi nyuma af tena yeyebanachexea kati kati ya uwanja ambao ndo fasi nzuri concedo ku fistribute mpira pasi za Enzo hazifiki pembeni ya wachezaji winger huo ni udhaifu mgine.
Tutahitaji pia defender anayejua kuthibiti eneo la penalti kama alivyokuwa Silva. Chelsea ipo kwenye orodha ya timu zinazofukuzia saini ya Jonathan Tah wa Leverkusen. Msimu ujao wa kiangazi atakuwa free agent na tukimpata huyo anaweza kutufaa sana.. Barcelona na Real Madrid pia wanamtaka.Nadhan Priority ya msim ujao tufanye tufanyavyo Tutafute kipa anaeweza amua mechi anaeweza dhibit wapinzani wasirudi mchezoni
Sanchez ni liability haijalishi tunaongoza ngapi ila Akiendelea kuwepo golini ataendelea kutuweka roho juu
Sasa umri wake uko je?Tutahitaji pia defender anayejua kuthibiti eneo la penalti kama alivyokuwa Silva. Chelsea ipo kwenye orodha ya timu zinazofukuzia saini ya Jonathan Tah wa Leverkusen. Msimu ujao wa kiangazi atakuwa free agent na tukimpata huyo anaweza kutufaa sana.. Barcelona na Real Madrid pia wanamtaka.
View attachment 3160465
Saka ni baba lao, Wala usifurahie sana kumfananisha na wengine.Aina gani hiyo ya uchezaji wa Madueke ambao ni Rare? Compared na Saka, Neto, Salah?