Palmer anamuweka wewe hujui mpira nyamazaChelsea hakuna Narudia hakuna mchezaji wa kumuweka benchi NKUNKU.
Bado ni everage player tu ingawa hawezi kulinganishwa na Mdebwedo Jackson ila bado hakuna ule ushapu na umakini kama waliokuwa nao akina Didie Drogber na Diego Costa. Mechi zingine ataanza Nkunku ila msije kumkataa maana nimeshamwangalia mechi nyingi tu hajawa na ule undava sawa wa kujirski na kuwa na maamuzi binafsi kuinusuru timu penye ugumu kwa consistency ile ile.Chelsea hakuna Narudia hakuna mchezaji wa kumuweka benchi NKUNKU.
Mahabuba wako Felix kafanya nini haswa leo hii dhidi ya Boner mouth FC kama si kuzurura tu uwanjani kama kuku mtetea?Watakwambia Madueke
Nkunku ni everage player na kuna Mawatu yatakuja kumkataa ngoja ligi ichanganye maana Mashabiki Maandazi kumtathmini Mchezaji kiubora kwa mechi 1 tu wapo kila timu duniani.Palmer anamuweka wewe hujui mpira nyamaza
Mchezaji akiandamwa na majeruhi ya mara kwa mara au ya muda mrefu confidence ya kupambana na kurisk inashuka sio level za kina Costa, Drogba ila akiwa injury free ni above average akili na kipaji cha mpira anacho tatizo ni utayari wa mwili (bado ni mzito)Nkunku ni everage player na kuna Mawatu yatakuja kumkataa ngoja ligi ichanganye maana Mashabiki Maandazi kumtathmini Mchezaji kiubora kwa mechi 1 tu wapo kila timu duniani.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Nkuku ni mchezaji wa daraja la juu ameonesha performance dhidi ya very best team kipindi yupo RB leipzig kwenye mechi za uefa pamoja na ligi ya ujerumani na stats zake ni nzuri labda kama ulikuwa umfuatilii shida yake moja ni injury proneNkunku ni everage player na kuna Mawatu yatakuja kumkataa ngoja ligi ichanganye maana Mashabiki Maandazi kumtathmini Mchezaji kiubora kwa mechi 1 tu wapo kila timu duniani.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuna pass zilikua zinapgwa katikati y msitu kama rula, napenda hizo pasi aisee dah!Tossin bonge la beki anakaba kwa akili na kupiga pass za uhakika fupi na ndefu.
Jackson comedy zimetosha.
Mechi haikua poa kwake ila sio mchezaji mbaya, natamani timu iliyomaliza game ya Bonermouth, kuiona tena kukiwa na neto ndani yake. Felix aanzie nje.Mahabuba wako Felix kafanya nini haswa leo hii dhidi ya Boner mouth FC kama si kuzurura tu uwanjani kama kuku mtetea?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Anajionaga bonge moja la mchezaji, yaani bonge moja la mchezaji. Kumbe mimavi.Madueke kwanza ni mtu mwenye majivuno anaona anaweza kumbe kiaz
Hakuna kitu hapoWale wanaomchukia Sachez, mpeni maua yake basi
Mimi nilikuwa namchukia ila leo nimempa maua yake
Robert Sanchez vs AFC Bournemouth:
What a golie
- 90 minutes played
- 7 saves
- 5 saves from inside box
- 1 penalty save
- 1 high claim
- 1 punch
- 62 touches
- 74% pass accuracy
- 1 clearance
View attachment 3095980
Kweli Mkuu. Kile kikosi kilichomaliza mechi ndio kinatakiwa kiwe kinaanza 1st eleven.Kuna pass zilikua zinapgwa katikati y msitu kama rula, napenda hizo pasi aisee dah!
Viega nae pia ni mtu na nusu.
Utashangaa mechi zijazo wanaanza akina Disas na Badiashile. Manina
Agusto na Reece ni wagonjwa ndio maana hakuwa jinsi kumpanga Dissasi but kizuri cha huyu kocha ukiharibu hajui kukulemba na ndio maana akaabua baadae amchezeshe Fofana kwenye nafasi ya DissasiKweli Mkuu. Kile kikosi kilichomaliza mechi ndio kinatakiwa kiwe kinaanza 1st eleven.
Disasi kondoo wa Merino, Madueke na Jackson ziwe sub.
Vipi kuhusu Renato Veiga umemuonajeTofauti ya Felix na Sancho
Wote ni wazuri kwenye 1V1
Sacho ana stamina huku Felix hana stamina
Sancho anaweza kucheza kwenye vurugu na traffic kubwa huku Felix anafaa kwenye open play