Ishu inayochalkenge ni kwamba Enzo anaoffer kitu cha kipekee kwenye kupiga pass. Yule kijana pasi zake zina macho na zinabreak lines kadhaa kwenye pitch kitu ambacho Caisedo siyo mzuri sana labda Lavia tatizo la Enzo ni kuwa siyo mzuri defensively. Hata pale Argentina kuna majitu yanamrahisishia kazi akina De PaulHili tatizo lilionekana toka kipindi cha Pochettino. Enzo alipopata injury akawa hachezi timu ikabalanse kiasi kwenye midfield. Nadhani Caicedo anacheza vizuri na Lavia kwa kuzingatia mechi dhidi ya Man City walicheza vizuri sana mpaka alipotoka ndio Kova anapita katikati ya wachezaji na kufunga kirahisi.
Sera tangu zamani academy anaingizwa kwenye timu kama anafit in. Kama haiwezekani anauzwa. Kumtumia mchezaji au kumuuza is part of footbal businessNgoja tusubiri maajabu yake maana sio kwa fagio hilo.
Hivi sera ya Chelsea inasema nini juu ya vijana wanaozalishwa kwenye academy. Tutaanza kupoteza potential nzuri baadaye
Kama leo kacheza vizuri sana ukiachilia mbali possesion alisokuwa anapoteza. Mfano ile kichwa iliyoenda kwa Caicedo naye akapiga kichwa kwa Palmer ambey alitoa assits kwa MaduekeIshu inayochalkenge ni kwamba Enzo anaoffer kitu cha kipekee kwenye kupiga pass. Yule kijana pasi zake zina macho na zinabreak lines kadhaa kwenye pitch kitu ambacho Caisedo siyo mzuri sana labda Lavia tatizo la Enzo ni kuwa siyo mzuri defensively. Hata pale Argentina kuna majitu yanamrahisishia kazi akina De Paul
Kuna muda anaamua kubehave anavyojisikia sio kwa sababu hana maarifa husika ila ni negative attitude tu.Attitude inakuwaje tatizo kwa Noni?
Au ppale leo alivyoamua tu kumsukuma mchezaji wa Wolves kwenye eneo la hatari na kusababishga tufungweKuna muda anaamua kubehave anavyojisikia sio kwa sababu hana maarifa husika ila ni negative attitude tu.
Mfano kuna muda anaona timu inashambuliwa na anatakiwa arudi nyuma kuongeza numbers ila anaamua kutembea/kuwa mtazamaji sio kwamba kazidiwa/hana pace ni ile kujiona kwa hadhi yake si ya kukaba
Madueke akiwa kwenye dfense ni very risk, labda aimproveYeah, bila shaka ataimprove defensively na pia aanze kuwa anasogea kwenye box kama akina Lampard ili aweze kuwa anatoa assists na kufunga inapobidi
Pamoja kuwa Petrovic ni shot stopper mzuri, hana footworkLabda damu yake Kipa Petrovick haijaivana na damu ya Kocha Mkuu, kama zile enzi za Shevchenko na Drogber, nani ajuaye?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kibaya zaidi ni kwamba price tag yake inakukodolea macho ukimpiga benchIshu inayochalkenge ni kwamba Enzo anaoffer kitu cha kipekee kwenye kupiga pass. Yule kijana pasi zake zina macho na zinabreak lines kadhaa kwenye pitch kitu ambacho Caisedo siyo mzuri sana labda Lavia tatizo la Enzo ni kuwa siyo mzuri defensively. Hata pale Argentina kuna majitu yanamrahisishia kazi akina De Paul
Goli la pili la Madueke nampa sifa nyingi Caicedo, aliweza kuucheza mpira wa kichwa kwenye mazingira magumu na kumpasia Palmer
Kwenye goli la tatau la Madueke namapa sifa nyingi sana Enzo aliweza kuupokonya mpira na kumpa fundi Palmer na mambo mengine akamalizia Madueke
Cole Palmer na Noni Madueke kila mmoja amehusika kwenye magoli manne leo na ndio leo waliocheza vizuri zaidi
Unachozungumza nakielewa. Mantiki yangu ipo ki financial zaidi, kuna wakati unaweza fanya spending wakati kuna mchezaji unaye ana quality kuzidi yule unayemsaka.Sera tangu zamani academy anaingizwa kwenye timu kama anafit in. Kama haiwezekani anauzwa. Kumtumia mchezaji au kumuuza is part of footbal business
Nimekuelewa mkuu. Watu wengi wanaalalamikia Profitability and Sustainability Rules (PSR). Sio tu Chelsea timu nyingi sasa hivi zinatumia njia mbadala kuhakikisha wanakwepa panga la PSR mojawapo ikiwa ni kuuza wachezaji wanaoleta pure profit ili kuwa na sifa ya kufanya usajili wa kuimarisha timu. Labda hizo PSR waziboreshe ili kuzia huo utamaduni wa kuwauza wachezaji wa academy wafidie huo udhaifu ukomeUnachozungumza nakielewa. Mantiki yangu ipo ki financial zaidi, kuna wakati unaweza fanya spending wakati kuna mchezaji unaye ana quality kuzidi yule unayemsaka.
Tatizo lake ni nini?Bado kocha ni tatizo
Madueke namuona kwenye mechi nyingi kwasababu upande wake ule sioni ushindani labda kama atakuwa anachezesha wachezaji out of their positionBinafsi nadhani wafungaji watakuwa wengi hivyo itakuwa ni vigumu kwa mchezaji mmoja kufikisha 20+ goals maana Mudueke, Palmer, Neto, Felix, Nkunku, Jackson, Mudryk watagawana dk za kucheza. Pale mbele ni Palmer tu ana uhakika wa kucheza almost kila mechi
Fs
Hili linawezekana ikiwa uchezaji kama huu wa leo utaendelea na akija Osimhen au striker wa kiwango chakeBinafsi nadhani wafungaji watakuwa wengi hivyo itakuwa ni vigumu kwa mchezaji mmoja kufikisha 20+ goals maana Mudueke, Palmer, Neto, Felix, Nkunku, Jackson, Mudryk watagawana dk za kucheza. Pale mbele ni Palmer tu ana uhakika wa kucheza almost kila mechi
Fs
Sioni sababu za msingi kumsajili SanchoKuna taarifa za leo kuwa Chelsea wanajitahidi kumsajili Jadon Sacho huku Chilwell na Raheem Sterling wakiwekwa kwenye hilo dili.
Hao mashetani wakikubali usishangae kumuona Sacho darajani msimu huu
View attachment 3079242View attachment 3079243
Obvious sababu inaweza kusababisha asajiliwe ni kama akipatikana kwa price tag ndogo may be £30 - 45M with the prospect ya kumuuza for £48M - 66MSioni sababu za msingi kumsajili Sancho