Cha ajabu yule kipa wetu no 3 anabaki alafu Petrovic eti aondokeKatika wachezaji walioorodheshwa hapo wa kuondoka sijaelewa yule dogo Petrovic anashida gani mpaka naye aondoke. Alifanya vizuri sana msimu uliopita kipindi Sanchez kaumia sasa naona kocha naye hamuhitaji.
Attitude ni tabia while kipaji au talent ni umezo asilia wa mtu binafsi.Naomba ofauti kati ya attitude na kipaji Mzee Baba.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kiukweli ni jambo linanishangaza na kuniumiza. Huyu dogo ni potential kubwa hii timu sijui imekuajeCha ajabu yule kipa wetu no 3 anabaki alafu Petrovic eti aondoke
Labda damu yake Kipa Petrovick haijaivana na damu ya Kocha Mkuu, kama zile enzi za Shevchenko na Drogber, nani ajuaye?Katika wachezaji walioorodheshwa hapo wa kuondoka sijaelewa yule dogo Petrovic anashida gani mpaka naye aondoke. Alifanya vizuri sana msimu uliopita kipindi Sanchez kaumia sasa naona kocha naye hamuhitaji.
Umenikumbusha Bonge la Kipa la Mwantesa Utd "Van Der Sir" alivyostaafu soka kwa sababu ya inshu za kifamilia ilihali alikuwa bora sana kiuwezo.Kiukweli ni jambo linanishangaza na kuniumiza. Huyu dogo ni potential kubwa hii timu sijui imekuaje
Attitude inakuwaje tatizo kwa Noni?Tatizo la Madueke ni attitude sio kipaji
Maresca alisema tangu mwanzoni kuwa Petrovic haingii kwenye mfumo wake. Hatakuwepo kwenye squad. Kwa hiyo naye atauzwa au kutolewa mkopoKatika wachezaji walioorodheshwa hapo wa kuondoka sijaelewa yule dogo Petrovic anashida gani mpaka naye aondoke. Alifanya vizuri sana msimu uliopita kipindi Sanchez kaumia sasa naona kocha naye hamuhitaji.
Djordje Petrovic anaondoka kwa sababu kwa umri wake (24yrs) na kwa profile aliyonayo hatakubali kuwa namba 3Kiukweli ni jambo linanishangaza na kuniumiza. Huyu dogo ni potential kubwa hii timu sijui imekuaje
Hapana, Perovic hawezi kuucheza mpira, foot-work yake haifikii standard anayotaka MarescaLabda damu yake Kipa Petrovick haijaivana na damu ya Kocha Mkuu, kama zile enzi za Shevchenko na Drogber, nani ajuaye?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Tukisema akili ya mpira ndio hiyo sasa, world class assist and world class finish. Mchezaji anapick mfungaji. Sio mbugila lenu hapo angepiga tu golini mara paap! yanakua magoli mnamsifia. Magoli ya papatu papatu.Ebu angalia jinsi Neto anavyokimbia kutafuta nafasi, world class
Ebu pia fuatili mtangazaji wa kiarabu, wa bongo haoni ndani
View attachment 3079056
Umemaliza kila kitu chief tena kwa lugha rahisi na clearAttitude ni tabia while kipaji au talent ni umezo asilia wa mtu binafsi.
Tabia inaweza kuwa shaped au kubadilishwa lakini kipaji ni majaliwa ambayo mtu anazaliwa nayo.
Kwa uchache nimemsaidia jamaa japo hajaniaomba.
Unachosema Mhoti ni sawa, kwa standard Neto amemuacha mbali Madueke ila kumbuka pia uchezaji unatofautiana sana mchezaji kwa mchezaji na hii ndio asset kubwa itakayofanya Chelsea ishinde mechi nyingi msimu huuTukisema akili ya mpira ndio hiyo sasa, world class assist and world class finish. Mchezaji anapick mfungaji. Sio mbugila lenu hapo angepiga tu golini mara paap! yanakua magoli mnamsifia. Magoli ya papatu papatu.
Chelsea wanaendelea kuimarika japo defence bado hatupo vizuri, kuna timu zisipokuja kwa kutuheshimu watakula si chini ya goli 10. Na pia defence ikiendelea hivi kuna mechi tutaoga mvua y magoli.
Majibu ya Southern Highland naimani yamekupa mwangaNaomba tofauti kati ya attitude na kipaji Mzee Baba.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
FsMaoni ya ajabu: Ikiwa Noni Madueke atapata dakika za kutosha msimu huu chini ya Maresca na aina hii ya uchezaji, atafunga mabao 20+. Nini maoni yako
Hafikii kwamba hafundishiki au anaweza kidogo? Unadhani kuna Kipa ambaye ana compliment sets zote katika ubora bila mapungufu yoyote?Hapana, Perovic hawezi kuucheza mpira, foot-work yake haifikii standard anayotaka Maresca
Ngoja tusubiri maajabu yake maana sio kwa fagio hilo.Maresca alisema tangu mwanzoni kuwa Petrovic haingii kwenye mfumo wake. Hatakuwepo kwenye squad. Kwa hiyo naye atauzwa au kutolewa mkopo
Huyu Bettineli anakula tu mshahara wa bure. Sanchez kwa upuuzi wake anafaa sana kuwa namba 3 basi tuDjordje Petrovic anaondoka kwa sababu kwa umri wake (24yrs) na kwa profile aliyonayo hatakubali kuwa namba 3
Marseca chaguo lake la kwanza ni Robert Sanchez wa pili ni Filip Jorgensen na Marcus. Bettinelli anakuwa backup GK
Kipa wa umri mdogo hawezi kukaa benchi mkuu. Timu zote huwatumia makipa wazee kama backup. Sachez akifanywa namba tatu atatafuta timu ataondoka, This is football mkuuHuyu Bettineli anakula tu mshahara wa bure. Sanchez kwa upuuzi wake anafaa sana kuwa namba 3 basi tu