Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Duh!!!! Kweli mmenikomalia! Yani kila Mahali Ntuzu Teh Teh Teh Teh Teh

Chelsea tuna tisha! Yani mpk tuwe nusu ndio tufumgwe??!

Naona mmefurahi sn!

Leo mko na game nyie msiongee sn! Tuongee usiku baada ya game!
Mbona Man City jana hiyohiyo walishinda wakiwa nusu kwa dakika 80?...

Kubali kushindwa Nkwingwa...
 
Duh!!!! Kweli mmenikomalia! Yani kila Mahali Ntuzu Teh Teh Teh Teh Teh

Chelsea tuna tisha! Yani mpk tuwe nusu ndio tufumgwe??!

Naona mmefurahi sn!

Leo mko na game nyie msiongee sn! Tuongee usiku baada ya game!

pole rafiki.
 
Last edited by a moderator:
''I asked the referee to speak to him for 5 seconds .... ... . he refused'' ... ... ... .... ''After that you go home ..... ..... ..... I don't want to put the game in disrepute ..... ..''

khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
jose_mourinho__mana_210478c.jpg

Romano anahaha anashughulikia mambo ya Crimea maana waingereza wamewashitukia wanataka kuwatimua ...... ... .. alichelewa kupeleka ngawira khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Duh!!!! Kweli mmenikomalia! Yani kila Mahali Ntuzu Teh Teh Teh Teh Teh

Chelsea tuna tisha! Yani mpk tuwe nusu ndio tufumgwe??!

Naona mmefurahi sn!

Leo mko na game nyie msiongee sn! Tuongee usiku baada ya game!

Muwe nusu ndio mfungwe!? We huoni aibu wanatolewa wachezaji wawili na kocha wao katika mechi ya Aston Villa!!?
By the way jion ilifika na sasa ni asubuhi watu wamechukua point zao 3 muhimu.
 
Last edited by a moderator:
Muwe nusu ndio mfungwe!? We huoni aibu wanatolewa wachezaji wawili na kocha wao katika mechi ya Aston Villa!!?
By the way jion ilifika na sasa ni asubuhi watu wamechukua point zao 3 muhimu.

Hongera sn nakukaribusha darajani wikend ijayo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom