Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mwanangu habari Ni nzuri tu! Nipo nimejaa tele!

Mwanangu Nafikiri ubora Wa jeshi langu mnauona!

Yani natamani sn ifike Hiyo siku haraka Yule Mzee aanguke tena!

Mtautafuta mpira kwa tochi siku Hiyo!

mapengo ya wakata umeme wilian na ramires yatazibwa na nan? Au mnatuwekea ngome kongwe lampad?
 
mapengo ya wakata umeme wilian na ramires yatazibwa na nan? Au mnatuwekea ngome kongwe lampad?

Willian si 'mkata umeme' ... dogo anacheza kwenye jukumu la #10 jana uliangalia tulivyowafanya Gala?

Matic hakucheza: Lampard na Ramires walicheza:

Ikitokea hayupo Willian; anacheza Shurrle au Salah:
Kama Ramires hayupo: John Obi Mikel yupo tayari wakati wowote.

Timu pekee iliyoingia robo fainali ya UCL kutoka Uingereza msimu huu: CHELSEA FC :first:
 
sasa game ya jana si mlikua mnakamilisha tu. We ulitegemea drogba jana angekaza? Mlikua tayari mmemuua kisaikolojia na mabango yenu ya kumsifu.. Angekua mzungu sawa ila mwafrika ukimtukuza hakufungi.
 
sasa game ya jana si mlikua mnakamilisha tu. We ulitegemea drogba jana angekaza? Mlikua tayari mmemuua kisaikolojia na mabango yenu ya kumsifu.. Angekua mzungu sawa ila mwafrika ukimtukuza hakufungi.

Mpira akili;

tumebaki peke yetu UCL; chelsea kiboko yao:first:
 
[h=1]Jose Mourinho: Chelsea back where they belong[/h]
Chelsea boss Jose Mourinho said his team returned to their rightful place in Europe after reaching the Champions League quarter-finals.
 
didier-drogba-scarf-scarves-chelsea-galatasaray-champions-league_3103620.jpg

Didier Drogba scarves for sale outside Stamford Bridge ahead of Chelsea's Champions League clash with Galatasaray.

isaac-drogba-didier-ron-gourlay-chelsea-stamford-award-champions-league_3103640.jpg

Chelsea show their appreciation for Drogba before kick-off. The former Blues ace is flanked by his son Isaac, and Blues chief executive Ron Gourlay.

samuel-etoo-goal-chelsea-stamford-bridge-champions-league-galatasaray_3103651.jpg

Chelsea's Samuel Eto'o scores his team's opening goal of the night, after just four minutes.

samuel-etoo-etoo-chelsea-goal-celeb-galatasaray-champions-league_3103645.jpg

Eto'o celebrates his strike which gives the Blues a 2-1 aggregate lead over Gala...

Etooceleb1_3103664.jpg

Eto'o has the Blues well on course for a quarter-final berth.
 
jose-mourinho-chelsea-galatasaray-champions-league-stamford-bridge_3103666.jpg

Chelsea manager Jose Mourinho watches on at the Bridge.

roberto-mancini-galatasaray-chelsea-champions-league-stamford-bridge_3103668.jpg

Galatasaray manager Roberto Mancini is in the opposite dugout.
 
Cahill-goal_3103676.jpg

On 42 minutes, Gary Cahill pounces after poor Galatasaray defending to extend Chelsea's advantage to 2-0 on the night and 3-1 on aggregate.

chelsea-gary-cahill-goal-celeb-galatasaray-champions-league_3103696.jpg

Cahill celebrates with his team-mates after scoring Chelsea's second goal of the game.

didier-drogba-galatasaray-players-woe-dejected-chelsea_3103697.jpg

Drogba and his Gala colleagues show their disappointment after Cahill's goal goes in. Chelsea win 2-0 on the night and 3-1 on aggregate.
 
Willian si 'mkata umeme' ... dogo anacheza kwenye jukumu la #10 jana uliangalia tulivyowafanya Gala?

Matic hakucheza: Lampard na Ramires walicheza:

Ikitokea hayupo Willian; anacheza Shurrle au Salah:
Kama Ramires hayupo: John Obi Mikel yupo tayari wakati wowote.

Timu pekee iliyoingia robo fainali ya UCL kutoka Uingereza msimu huu: CHELSEA FC :first:

ushabiki kweli mbaya....hebu edit basi
 
anaebaki peke yake ni bingwa tu,kwani UCL imeisha??last time i checked ilikuwa ni robo fainali,timu nane zimebaki

Ulipaswa kujibu siku niliyoposti; hii inaonyesha hujiamini kabisa:

sasa unafikiri Mwanitesa watafika wapi?
 
CHELSEA PROVISIONAL SQUAD FOR CHELSEA vs ARSENAL CLASH (subs in square brackets):

Cech;

Ivanovic, Cahill, Terry (C), Azpilicueta [A. Cole];

D. Luiz, Lampard [Mikel];

Hazard, Oscar, Schurrle [M. Salah];

Torres [Ba].
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom