Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,361
- 16,433
Kocha ana mbwembwe sana hadi zinapitiliza maarifa, afanye mambo kimya kimya kama Wakurya wanaofukuza wezi kwenye anga zao.Mapema mno, mechi yake ya pili yenye ushindani
Tumpe hadi desemba
Tumepigwa kuhusu Kocha, ni muda tu utaamua na nimekaa pale 🙎
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuna makocha wanawatetea wachezaji wao publicly ila kwenye mazoezi na dressing room kunachimbika.Maresca ni tofauti kabisa na Pochettino. Huwezi kukuta Pochettino akiwapa changamoto kama hii hapa chini wachezaji!
Maresca atuma onyo kwa kikosi chake :
"Ninahukumu timu inayoanza kulingana na jinsi wanavyofanya kazi kila siku, usipofanya mazoezi kwa nguvu, hutacheza, na kama wanadhani hawachezi Jumapili basi watacheza Alhamisi lakini Jumapili hadi Jumapili. Alhamisi hawafanyi mazoezi vizuri, hawatacheza Ligi Kuu Jumapili na hawatacheza Alhamisi”
"Chelsea ni klabu yenye mahitaji mengi, unahitajika kufanya kazi kwa bidii, kupambana hadi mwisho ili kupata nafasi yako na kutoa 100%"
View attachment 3077241
Umechambua mpira kisomi zaidi, ngoja niwe mpole kwa heshima yako Chifu.Mimi kwa sababu zangu binafsi na za kimpira nilipenda Pochetino aendelee kubaki kwa sababu kuna mambo mengi alionyesha kuyamudu.
Nina uhakika wengi hamjasahau mechi ya kwanza ya ligi ilikuwa ni Liverpool vs Chelsea. Mpira ulitembea na mechi iliisha kwa sare, tulipata point kwa city na kumchapa Man U na tangu Januari tulipata matokeo mazuri mpaka msimu unaisha tulikuwa nafasi ya sita.
Wachezaji waliimpove mfan Palmer, Jackson, Caisedo, Mudueke, Galagher, Chalobah, Cucurella, Gusto nk.
Timu ilicheza mpira direct
Tulimaliza nafasi ya 6 huku tukiwa na injuries za James, Fofana, Nkunku, Chilwel, Levi Colwil na hata wachezaji waliokuwa wanacheza wengi walikuwa wamenunuliwa kutoka Belgium, Spain, Portugal etc . Hivyo hawakuwa na uzoefu wa ligi kuu wala kucheza pamoja kama timu.
Lakini lazima tukubali kuwa Poch siyo sehemu ya Chelsea ya sasa. Kocha ni Maresca na inabidi tumback up kwa kumpa muda angalau hata mechi 10.
Pamoja na kuwa hana uzoefu ktk kazi ya ukocha ila anaonyesha uwezo na authority ya kufanya hivyo.
Tumpe muda ili tumhukumu kwa haki. Ila kumhumu baada ya mechi 2 siyo fair.
Umechambua vizuri sanaKuna makocha wanawatetea wachezaji wao publicly ila kwenye mazoezi na dressing room kunachimbika.
Kuna wengine wanawacritisize hadharani wachezaji wao.
Sioni ubaya katika choice of means. Cha msingi ni kuangalia umri na maturity level. Naamini kama Jackson asingetetewa na kocha tungempoteza mapema sana. Lakini tazama ana magoli mengi kuliko Hujlund, Gabriel Jesus, Nunuz, Rushford, Kai Herverz, Martinel,..
Kuna vitu hata siyo indicator kuwa kocha atafanikiwa.
Mimi kuna vitu naona navyo Maresca ila bado nampa muda. Baada ya mechi ya Wolves nitazungumzia kidogo
Tatizo la huyo mkora alishindwa kumudu timu ndogo. Aliweza kuzidindia timu kubwa lakini wenye points nyingi ni timu ndogoMimi kwa sababu zangu binafsi na za kimpira nilipenda Pochetino aendelee kubaki kwa sababu kuna mambo mengi alionyesha kuyamudu.
Nina uhakika wengi hamjasahau mechi ya kwanza ya ligi ilikuwa ni Liverpool vs Chelsea. Mpira ulitembea na mechi iliisha kwa sare, tulipata point kwa city na kumchapa Man U na tangu Januari tulipata matokeo mazuri mpaka msimu unaisha tulikuwa nafasi ya sita.
Wachezaji waliimpove mfan Palmer, Jackson, Caisedo, Mudueke, Galagher, Chalobah, Cucurella, Gusto nk.
Timu ilicheza mpira direct
Tulimaliza nafasi ya 6 huku tukiwa na injuries za James, Fofana, Nkunku, Chilwel, Levi Colwil na hata wachezaji waliokuwa wanacheza wengi walikuwa wamenunuliwa kutoka Belgium, Spain, Portugal etc . Hivyo hawakuwa na uzoefu wa ligi kuu wala kucheza pamoja kama timu.
Lakini lazima tukubali kuwa Poch siyo sehemu ya Chelsea ya sasa. Kocha ni Maresca na inabidi tumback up kwa kumpa muda angalau hata mechi 10.
Pamoja na kuwa hana uzoefu ktk kazi ya ukocha ila anaonyesha uwezo na authority ya kufanya hivyo.
Tumpe muda ili tumhukumu kwa haki. Ila kumhumu baada ya mechi 2 siyo fair.
Msimu uliisha hiviTatizo la huyo mkora alishindwa kumudu timu ndogo. Aliweza kuzidindia timu kubwa lakini wenye points nyingi ni timu ndogo
Sasa ebu tumsubiri huyu mkora mwingine kama ataweza kuzimudu hizo timu ndogo
Maresca muda mzuri wa kumjadili ni January baada ya nusu ya ligi kuisha, hii ya kusema jambo baada ya mechi ya Wolve sio timing nzuri. Pia tujue kuwa uwezo wa Maresca haianziii pale Pochettino alipoishia bali pale alipoanzia. Sababu kubwa ni kwamba kama Chelsea ni simu, Maresca kaja kuflash kaanza upyaKuna makocha wanawatetea wachezaji wao publicly ila kwenye mazoezi na dressing room kunachimbika.
Kuna wengine wanawacritisize hadharani wachezaji wao.
Sioni ubaya katika choice of means. Cha msingi ni kuangalia umri na maturity level. Naamini kama Jackson asingetetewa na kocha tungempoteza mapema sana. Lakini tazama ana magoli mengi kuliko Hujlund, Gabriel Jesus, Nunuz, Rushford, Kai Herverz, Martinel,..
Kuna vitu hata siyo indicator kuwa kocha atafanikiwa.
Mimi kuna vitu naona navyo Maresca ila bado nampa muda. Baada ya mechi ya Wolves nitazungumzia kidogo
Maresca muda mzuri wa kumjadili ni January baada ya nusu ya ligi kuisha, hii ya kusema jambo baada ya mechio ya Wolve sio timing nzuri. Pia tujue kuwa uwezo wa Maresca haianziii pale Pochettino alipoishia bali pale alipoanzia. Sababu kubwa ni kwamba kama Chelsea ni simu, Maresca kaja kuflash kaanza upya
Kwenye premier hamna timu ndogo ila kuna top six tu, ambazo pia zinapigwa na bottom 4. na mid table timu, la muhimu ni kupanga kikosi chako kimakini ili upate point zote unazo ona ni muhimu.Tatizo la huyo mkora alishindwa kumudu timu ndogo. Aliweza kuzidindia timu kubwa lakini wenye points nyingi ni timu ndogo
Sasa ebu tumsubiri huyu mkora mwingine kama ataweza kuzimudu hizo timu ndogo
Niweke sawa, timu zinawzoweka "low block"Kwenye premier hamna timu ndogo ila kuna top six tu, ambazo pia zinapigwa na bottom 4. na mid table timu, la muhimu ni kupanga kikosi chako kimakini ili upate point zote unazo ona ni muhimu.
Chelsea tulitaka tupigweSamu Omorodion kauzwa Portal kwa Euro milioni 15 tu,
Masharti
sell clause ya 50% na RC lazima iwe Euro mil 100
Hivi wakisema sell clause ya 50% wanamaanisha nini?Samu Omorodion kauzwa Portal kwa Euro milioni 15 tu,
Masharti
sell clause ya 50% na RC lazima iwe Euro mil 100
Maana yake wakimuuza mil 100, mil 50 ni za AtletiHivi wakisema sell clause ya 50% wanamaanisha nini?