juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Hii ya Osihmen sidhan.Kuna uwezekano tukawanunau wote
Samu Omorodion na Victor Osimhen
Chelsea are in POWERFUL POSITION to sign Samu Omorodion and could also bring in Victor Osimhen
@Matt_Law_DT
Factor ni zile zile walizoziona kwa Jackson,Palmer na wengineo PotentialHivi hawa scouts wanaona nini kwa huyo dogo Samu.Timu imegoma kabisa kununua experienced players
Mpaka leo Washington hajapata muda wakucheza na cha ajabu pia hatolewi hata kwa mkopo hiyo project yao itakuaje na manufaa?Factor ni zile zile walizoziona kwa Jackson,Palmer na wengineo Potential
Kwa hiyo zaidi ya $1B kwa ajili ya potential? Timu imeshindwa hata kuwa na uwanja wa above 60k. Ile €100 ya potential Mudryk unaiona? Kila msimu anatafuta potential wakati kuna lundo la wachezaji ambao wahajafikia hiyo the so called potentialFactor ni zile zile walizoziona kwa Jackson,Palmer na wengineo Potential
😅😅😅Eti ze blauzi na nyie mnajadili timu mnatimu gani sasa?
Washngton yuko u21.Mpaka leo Washington hajapata muda wakucheza na cha ajabu pia hatolewi hata kwa mkopo hiyo project yao itakuaje na manufaa?
Issue ya uwanja ni vizuri ukasome why mpaka sasa Chelsea haina uwanja unaoweza chukua 60K watazamaji,Kwa hiyo zaidi ya $1B kwa ajili ya potential? Timu imeshindwa hata kuwa na uwanja wa above 60k. Ile €100 ya potential Mudryk unaiona? Kila msimu anatafuta potential wakati kuna lundo la wachezaji ambao wahajafikia hiyo the so called potential
Uwanja ulikuwa mbovu kwa Man city tu? Absurd!Tumetengeneza big chances 5 na tukafunga 2
City wametengeneza big chances 2 wakakosa 0
Ukiangalia takwimu Chelsea ilicheza vizuri kila idara ila tu bahati mbaya makosa yalifanyika na kwa sehemu kubwa ilisababishwa na ubovu wa uwanja, mchezaji anapiga pasi halafu haiendi, sisi huku tunadhani ni uzembe kumbe ni uwanja.
Enzo Maresca: "Sometimes when we say something it sounds like an excuse but for sure the pitch doesn't help. This type of pitch slows down the ball."~
@BobbyVincentFL
View attachment 3060908
Biashara ni kununua na kuuza, BUY AND SALEKwa hiyo zaidi ya $1B kwa ajili ya potential? Timu imeshindwa hata kuwa na uwanja wa above 60k. Ile €100 ya potential Mudryk unaiona? Kila msimu anatafuta potential wakati kuna lundo la wachezaji ambao wahajafikia hiyo the so called potential
Chance 2/5 kwa hii Man City C? Vipi ukiwekekewa KDB, Rodri, Doku, Forden?Tumetengeneza big chances 5 na tukafunga 2
City wametengeneza big chances 2 wakakosa 0
Ukiangalia takwimu Chelsea ilicheza vizuri kila idara ila tu bahati mbaya makosa yalifanyika na kwa sehemu kubwa ilisababishwa na ubovu wa uwanja, mchezaji anapiga pasi halafu haiendi, sisi huku tunadhani ni uzembe kumbe ni uwanja.
Enzo Maresca: "Sometimes when we say something it sounds like an excuse but for sure the pitch doesn't help. This type of pitch slows down the ball."~
@BobbyVincentFL
View attachment 3060908
Hiyo report gani nifuatilie au wewe ndio ufuatilie thamani ya mudryk kama sio euro 100mil uje uthibitisheIssue ya uwanja ni vizuri ukasome why mpaka sasa Chelsea haina uwanja unaoweza chukua 60K watazamaji,
Kwa ufupi, Issue ya uwanja iko very complicated kuanzia wakat wa Roman mpka sasa japokuwa Viongozi wa sasa wamenunua eneo lingine pemben ya Stamfor Bridge
Uwanja wa Stamford Bridge unamilikiwa na Hawa watu CPO(Chelsea Pitch Owner) na ndio wamiliki wa jina la chelsea so option iliyopo ni kuredevelop stamford bridge, issue ya kutafuta eneo lingine na kujenga huko ni complicated kwa sababu ya hilo
Based na report redevelopment ya stamford bridge atleast inaweza anza 2027 ambao takriban £2BN zinaweza kutumika mpka uwanja ukakamilika
So better uwe unaatafuta taarifa kabla kuongea hilo swala.
Usajili wa Mudryk sio 100 jaribu kufatilia report
Siku Chelsea wakiwa stable kwenye defence, tuna timu hapo, ila wasiwasi wangu mkubwa ni ulinzi na SD pamoaj na wamiliki wamezima data kabisa hapo, Hata kama Chalobah angebaki, bado tulitakiwa kufanya statement signing kwenye CBToday is a match day against Madrid.
Tunategemea kuona improvement hasa kwenye defence hasa kuanzia namba 6 na mabeki 3 wa kati. Mabeki wanaacha nafasi kubwa kati yao kitu kilichotugharimu vs Celtic and Man City.
Pia tunategemea Nico Jackson apate game time. Naamuamini Jackson na uwezo wake. Anaweza kuhold mpira, kulink up na namba 10(Nkunku) and can play from the wing.
Tumebaki na mechi 1 kabla ya kucheza na Man city, hivyo tunategemea kuona marekebisho na maboresho
Utawauza vipi wakati hawapati nafasi ya kucheza mchezaji anaongeza thamani yake kwa kupata muda mwingi wakucheza na kuonesha kiwango kizuri. Angalia huyo broja mpaka leo hakuna mteja na hii ni tatizo lakurundika wachezaji wengi huyo Washington kasajiliwa kwenye team ya wakubwa unamrudishaje tena academy yetuWashngton yuko u21.
Iko hiv sio wote wanaosajiliwa lazima wacheze chelsea wengine wananuliwa kwa bei ndogo ila wanauzwa kwa bei kubwa.
Hiyo report gani nifuatilie au wewe ndio ufuatilie thamani ya mudryk kama sio euro 100mil uje uthibitishe
Wapo wachezaji wanauzwa bila hata kucheza team za Wakubwa,Utawauza vipi wakati hawapati nafasi ya kucheza mchezaji anaongeza thamani yake kwa kupata muda mwingi wakucheza na kuonesha kiwango kizuri. Angalia huyo broja mpaka leo hakuna mteja na hii ni tatizo lakurundika wachezaji wengi huyo Washington kasajiliwa kwenye team ya wakubwa unamrudishaje tena academy yetu
Mimi swala la statement signing huwa sikubaliani nalo mara nyingi hawa kwetu huwa wanaishia kuwa flop.Siku Chelsea wakiwa stable kwenye defence, tuna timu hapo, ila wasiwasi wangu mkubwa ni ulinzi na SD pamoaj na wamiliki wamezima data kabisa hapo, Hata kama Chalobah angebaki, bado tulitakiwa kufanya statement signing kwenye CB
Hasa kwa striker, ni Diego Costa na Nicolas Anelka tu ndio walifanya vizuri na wengine waliflop ambao niMimi swala la statement signing huwa sikubaliani nalo mara nyingi hawa kwetu huwa wanaishia kuwa flop.
Mara nyingi kwetu wanaofanya vizuro ni hawa wabei chee, hizi statement signing or big name signing huwa kwetu zinaenda kuwa flop