Yaliyotokea ni kawaidaTumerudi nyuma hayua 10. Tunaanza upya kabisa. Ila nawaambia
1. Lavia, Enzo na Caisedo hawawezi kuanza kwa pamoja na ukapata team balance,
2. Nkunku anaweza kulink up na namba 9 ila hawezi kuwa lone striker na ndiyo mana kipindi cha kwanza alipotea
3. Tumesharuhusu magoli 10 katika mechi 3, hii si dalili nzuri.
4. Tumecheza na Man city C team
Mkuu nilipitiwa na usingizi so sijacheki game bado kocha aliendelea na inverted midfielder yake ya kuwachezesha James na Agusto?Tumetengeneza big chances 5 na tukafunga 2
City wametengeneza big chances 2 wakakosa 0
Ukiangalia takwimu Chelsea ilicheza vizuri kila idara ila tu bahati mbaya makosa yalifanyika na kwa sehemu kubwa ilisababishwa na ubovu wa uwanja, mchezaji anapiga pasi halafu haiendi, sisi huku tunadhani ni uzembe kumbe ni uwanja.
Enzo Maresca: "Sometimes when we say something it sounds like an excuse but for sure the pitch doesn't help. This type of pitch slows down the ball."~
@BobbyVincentFL
View attachment 3060908
Navyoona kama hatutasajili defender na striker tutakuwa na msimu mbaya tenaTumerudi nyuma hayua 10. Tunaanza upya kabisa. Ila nawaambia
1. Lavia, Enzo na Caisedo hawawezi kuanza kwa pamoja na ukapata team balance,
2. Nkunku anaweza kulink up na namba 9 ila hawezi kuwa lone striker na ndiyo mana kipindi cha kwanza alipotea
3. Tumesharuhusu magoli 10 katika mechi 3, hii si dalili nzuri.
4. Tumecheza na Man city C team
Wachezaji wetu gani walikuwa bora? Sikuicheki gameFT. City 4-2 Chel
Kwa maoni yangu mwalimu ana kitu anafundisha kngawa bado mapema kusema ila naona kuna kitu kla tatzo lipo kwa wachezaji beki na viungo wahawelewani kabisa na hawajui wafanye nni Lavia ni mtu mzuri ila Enzo na caicedo ni wazito sanaHT. city 2-0 chel
Magoal yote tumefungwa kutoka na makosa binafsi ya wachezaji
Caicedo na Enzo wanahitaji muda kidogo ili wakae sawa maana hawana muda mrefu tangu wajiunge na timuKwa maoni yangu mwalimu ana kitu anafundisha kngawa bado mapema kusema ila naona kuna kitu kla tatzo lipo kwa wachezaji beki na viungo wahawelewani kabisa na hawajui wafanye nni Lavia ni mtu mzuri ila Enzo na caicedo ni wazito sana
laviaWachezaji wetu gani walikuwa bora? Sikuicheki game
Hata ucheze na E team ambayo tayar ishakuwa na mfumo na iko na kocha bora kama Pep ambae yupo nao muda mrefu na wewe ndio unaanza upya itakuwa habar tofauti.Tumerudi nyuma hayua 10. Tunaanza upya kabisa. Ila nawaambia
1. Lavia, Enzo na Caisedo hawawezi kuanza kwa pamoja na ukapata team balance,
2. Nkunku anaweza kulink up na namba 9 ila hawezi kuwa lone striker na ndiyo mana kipindi cha kwanza alipotea
3. Tumesharuhusu magoli 10 katika mechi 3, hii si dalili nzuri.
4. Tumecheza na Man city C team
Caicedo ndio game yake ya 1 kwenye pre season Enzo ya 2Kwa maoni yangu mwalimu ana kitu anafundisha kngawa bado mapema kusema ila naona kuna kitu kla tatzo lipo kwa wachezaji beki na viungo wahawelewani kabisa na hawajui wafanye nni Lavia ni mtu mzuri ila Enzo na caicedo ni wazito sana
Concern ya CB, tunahitaji CB ambae like Bastoni au Diomande mtu anaeweza kucheza rest defenc,, Sidhan kama hilo litatokea. Tofauti na hivyo mabeki wetu inabidi waamke mapema sana ni kama bado wazito, Na Sanchez hafai kuwepo pale golini, anaweza kuwa anakua kuchezea mpira ila vipass vyake ni kama vinawatia mabeki majaribuniNavyoona kama hatutasajili defender na striker tutakuwa na msimu mbaya tena
Hujui mpira.Acha kujifariji Mkuu,
Hamna timu, Hamna wachezaji ,Hamna kocha, Mmeshapoteza muelekeo Chelsea hamjui chochote mnachokifanya mpaka sasa ni kama vile mmeamua kubahatisha tu lolote na liwe.
Mle kwa nkunku Kuna mchezaji mkubwa sana mkuu, I wish asiumie tutamuinjoi sana regardless Chelsea itafanya vizuri au vibaya.Caicedo ndio game yake ya 1 kwenye pre season Enzo ya 2
Lavia yuko game ya 4 now unaona mpaka hapo
Ni swala la mda, hao wawili watakuwa sawa na naomba Lavia aendelee kukaa sawa asije akaumia same to Nkunku
Huyu sanchez sidhan kama hata anafaa kuendelea nae vipass vyake ni vya kichonganishi sana ,
Sijui wanaona nini kwa huyu kipaBeki inakatika sana ,na Sanchez ni garbage ,hafai kuanza kama goal keeper , naumia sana kuona Petrovic anakosa nafasi halafu yule fala anacheza
Kama ilivyokuwa kwa Pochettino, tulifanya vizuri pre season tukabweteka, nini kilitokea kwenye ligi, aibuNawakumbusha tena Ni bora matatizo yanayoonekana kwenye pre season kuliko yale yanayoanza kuonekana kwenye league.
Better ufungwe pre season ujue unaanzia wapi kurekebisha.
Pre season ni sehem ya kuwaanda wachezaj kifitness,kutengeneza mfumo wako, kuangalia wapi kunahitaji maboresho wapi mkazo utiliwe sawasawa.
Msimu uliopita tulidraw game 2 tu kwenye pre season na zingine zote tukashinda ila league ilivyoanza tukawa na worse defence kwenye historia ya club, makosa ndio ya kaanza kuonekana siku ambazo Palmer akiwa hayupo inakuwa shughuli.
For me niko radhi nione tukipoteza pre season game zote ila kwenye league tuonekane bora makosa yanayitokea pre season yasitokee kwenye league o cups tuseme tumeyaboresha
Ila hii ya pre season mnaonekana mko vizuri halaf kwenye league mnaonekana hovyo hapana