Hapo hautasikia ubaguzi, sisi sasa ndio tatizo, hatujikubali kbs. Tukiitwa waafrika hatutaki, tunasema tunabaguliwa. Tunataka na sisi tuitwe wazungu.Mkohoti yuko , je wangeimbwa wachezaji kutoa UJerumani, mama ana uraia wa Uhispania ingekuwa ubaguzi?
Yeye inamuhusu nini maisha ya watu wengine kama sio shoboSio natetea, kejeli gani hapo kwani sio kweli ni muangola? Mtu anakataaje utaifa wake, kisa anataka kuwa mzungu. Miafrika ndivyo tulivyo
Wesley Fofana ni mchochezi na anatia sumu dressing room. Hata kama aliona kuna tatizo kwenye hiyo video kwa nini amemblast mwenzake hazarani wakati akijua itaharibu morali ya dressing room? Maamuzi ya hao wanyamwezi wa Ufaransa ni mbaya sana.Yeye inamuhusu nini maisha ya watu wengine kama sio shobo
Ufaransa wamezungumza kimpira wakati Enzo kafanya personal attacks huoni utofauti?Wesley Fofana ni mchochezi na anatia sumu dressing room. Hata kama aliona kuna tatizo kwenye hiyo video kwa nini amemblast mwenzake hazarani wakati akijua itaharibu morali ya dressing room? Maamuzi ya hao wanyamwezi wa Ufaransa ni mbaya sana.
Lengo la akina enzo sio kuwashambiulia wachezaji weusi bali timu ya Ufaransa ambayo imejaza wachezaji weusi kwa kuwapa uraia ili waichezee Ufaransa. Ni katika kujibu video ya 2018 ambao nao hao hao ufaransa walikashfu
View attachment 3045303
View attachment 3045304
Alilewa sana huyo dogo akapitiwa. Kikubwa kashaomba msamahaEnzo kafanya upumbavu unaotisha hata zaidi ya upumbavu wenyewe.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.View attachment 3045910View attachment 3045910View attachment 3045911View attachment 3045912
Upinzani na uadui wa Ufaransa na Argentina ni mkubwa mno na saa nyingine inaenda hadi kwenye siasa. Umesoma alivyoandika makamu wa rais wa Argentina akimtetea EnzoUfaransa wamezungumza kimpira wakati Enzo kafanya personal attacks huoni utofauti?
Ninachokiona hapa ni kwamba kuna ushindani na uadui wa muda mrefu kati ya Ufaransa na Argentina na pande zote zinazohusika katika sakata ya Enzo ni waathirika tu.Alilewa sana huyo dogo akapitiwa. Kikubwa kashaomba msamaha
Kwa upande wake Wesley Fofana, mgonjwa wetu maarufu anapona na kuibukia kuharibu hali ya hewa kwa kukuza kitu ambacho wangemalizana kule dressing room.
Lakini pia usisahau media inaongeza chumvi. Isije iokawa hata hizi taarifa unazopost sio za kweli. Chelsea ina maadui wengi pale Uingereza. Media nyingi ni puppete wa timu za Man U na kwa mbali Arsenal na Liverpool
Sasa inshu ya siasa kujihusisha na mpira si ni kinyume na taratibu na sheria za FIFA, huoni huyo Vice President kashaboronga kwa nchi yake ya Argentina?Upinzani na uadui wa Ufaransa na Argentina ni mkubwa mno na saa nyingine inaenda hadi kwenye siasa. Umesoma alivyoandika makamu wa rais wa Argentina akimtetea Enzo
Hii hapa
"No colonialist country is going to intimidate us for a football song or for telling the truths that they do not want to admit. Stop feigning indignation, hypocrites. Enzo, I'm with you."
Argentina's Vice-President Victoria Villarruel:
Kiswahili
"Hakuna nchi ya kikoloni itakayotutisha kwa wimbo wa soka au kwa kusema ukweli ambao hawataki kuukubali. Acheni kujifanya kuwa na hasira, wanafiki. Enzo niko pamoja nawe."
Makamu wa Rais wa Argentina -President Victoria Villarruel:
View attachment 3045931
Mimi nimezungumzia kwa upande wa Enzo sio huyo makamu wa raisiUpinzani na uadui wa Ufaransa na Argentina ni mkubwa mno na saa nyingine inaenda hadi kwenye siasa. Umesoma alivyoandika makamu wa rais wa Argentina akimtetea Enzo
Hii hapa
"No colonialist country is going to intimidate us for a football song or for telling the truths that they do not want to admit. Stop feigning indignation, hypocrites. Enzo, I'm with you."
Argentina's Vice-President Victoria Villarruel:
Kiswahili
"Hakuna nchi ya kikoloni itakayotutisha kwa wimbo wa soka au kwa kusema ukweli ambao hawataki kuukubali. Acheni kujifanya kuwa na hasira, wanafiki. Enzo niko pamoja nawe."
Makamu wa Rais wa Argentina -President Victoria Villarruel:
View attachment 3045931
Hivi aliyekua anaimba alikua Enzo pekee??? Mbona naona kama anasakamwa yeye tu????[emoji24][emoji24][emoji24]Hivi hakuna mchezaji aliyechezea Argentina kwenye mashindano ya Copa Amerika anayecheza kwenye vilabu vya Ufaransa?
Anyway, mimi kama shabiki wa Chelsea, najitenga na alichokifanya Enzo.
Si unajua media ya Uingereza na kukuza mambo, Yaani Enzo ndiye mtunzi wa wimbo na aliekuwa anaimba na kuitikia pia ndiye aliyerekodi video na kuirusha pia.Hivi aliyekua anaimba alikua Enzo pekee??? Mbona naona kama anasakamwa yeye tu????[emoji24][emoji24][emoji24]
Ukitaka kujua ukubwa wa chuki iliyonayo Argentina dhidi ya Ufaransa, angalia naye Rais wa Argentina alichokifanyaSasa inshu ya siasa kujihusisha na mpira si ni kinyume na taratibu na sheria za FIFA, huoni huyo Vice President kashaboronga kwa nchi yake ya Argentina?
Hata club mates wake Enzo watakuwa washajua kipi kinachompatia kiburi na ni hatari sana kwake pale klabuni.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Tatizo la Enzo yeye ndie alijirekodi na kupost kwenye IG yakeHivi aliyekua anaimba alikua Enzo pekee??? Mbona naona kama anasakamwa yeye tu????[emoji24][emoji24][emoji24]
Ufaransa hakuna walichozungumza, wimbo wa Argentina ni majibu ya wimbo wa timu ya Ufaransa walioimba walipobeba kombe la dunia 2028 kwamba "Dogo Kante amemzuia Lionel Messi" hiyo ni chnat kama majigambo na wao kwa kujigamba wakajibu Hao akina kAnte ni kutoka Angola, mama wa n Nigeria.Mimi nimezungumzia kwa upande wa Enzo sio huyo makamu wa raisi
Kwani Kante mwenyewe anasemaje ....?Ufaransa hakuna walichozungumza, wimbo wa Argentina ni majibu ya wimbo wa timu ya Ufaransa walioimba walipobeba kombe la dunia 2028 kwamba "Dogo Kante amemzuia Lionel Messi" hiyo ni chnat kama majigambo na wao kwa kujigamba wakajibu Hao akina kAnte ni kutoka Angola, mama wa n Nigeria. View attachment 3046116
Yeye ndio aliyepost kwenye insta yake kuonesha kwa amebariki tofauti na wenzake ndio maana anaandamwaHivi aliyekua anaimba alikua Enzo pekee??? Mbona naona kama anasakamwa yeye tu????[emoji24][emoji24][emoji24]