Akitumia 2-2-5-1Watatu wanaanza mmoja anaanzia bench
Petrovic na kepa wanatosha hapo tunatakiwa tuwe na Central defender mmoja na striker basi kazi itakuwa completeTukipata striker na golikipa nitafurahi
usimtaje Kepa hapa, alishaikashifu Chelsea kule Real MadridPetrovic na kepa wanatosha hapo tunatakiwa tuwe na Central defender mmoja na striker basi kazi itakuwa complete
Achana na kepa, petrovic namkubali ila bado hajawa mkaliPetrovic na kepa wanatosha hapo tunatakiwa tuwe na Central defender mmoja na striker basi kazi itakuwa complete
Ni mzuri sema tu alikuwa naponzwa na beki mbovuAchana na kepa, petrovic namkubali ila bado hajawa mkali
Nini maana ya Kiernan Dewsbury-Hall kusajiliwa??
Gallagher atauzwa!
Nini maana ya Santos kubakizwa msimu ujao??
Cesare Casadei, Lesley Ugochukwu na Carney Chukwuemeka watauzwa!
Nini maana ya Marc Guiu kununuliwa kwa ajili ya first team?
Datro Fofana atauzwa!
Nini maana ya Chelsea kutaka kumsajili Ricardo Calafiori.?
Badiashile atauzwa!
nini tena?
Naona ameonyesha kwamba ni defensive coach kama wa Italiano wengi walivoConfirmed Enzo Maresca atakuwa anatumia mfumo wa 4-3-3 ambapo LB an RB watakuwa Inverted Fullbacks
Sterling--------Nkunku--------Palmer
KDH-----------Enzo-----------Caicedo
Cucurella --- Colwill ----Fofana---James
---------------- Sanchez----------------
Maresca sio defensive coachNaona ameonyesha kwamba ni defensive coach kama wa Italiano wengi walivo
Sawa ila huo mfumo wake kama ndo atakao tumia ni defensive......Maresca sio defensive coach
Winga wa kulia awe Jackson badala ya Sterling itakuwa unyama sanaConfirmed Enzo Maresca atakuwa anatumia mfumo wa 4-3-3 ambapo LB an RB watakuwa Inverted Fullbacks
Sterling--------Nkunku--------Palmer
KDH-----------Enzo-----------Caicedo
Cucurella --- Colwill ----Fofana---James
---------------- Sanchez----------------
Mkuu mfumo haumfanyi mtu aonekanae defensive bali uwanjani kinachoonekana ndio kinaonyesha kama ni defensive au lah.Sawa ila huo mfumo wake kama ndo atakao tumia ni defensive......
Calafiori wa Tandale au??Nini maana ya Chelsea kutaka kumsajili Ricardo Calafiori.?
Badiashile atauzwa!
nini tena?