Kesi ya Kante kutopata majeruhi kule kwenye Saudi Pro League inaonyesha kuwa makocha waliokuwa wanaifundisha Chelsea wakati wa Kante ndio waliokuwa wanasababisha majeruhi kwa sehemu kubwa. Ndiyo!Hivi kwa nn Ngolo Kante aliuzwa? Dah. Namuona hapa france anakichafua kama ndio kwanza ana miaka 22
Chelsea, tunaanza na Man City mechi yetu ya kwanza pale Stanford BridgeLeo ratiba ya ligi inatolewa
Kwa miaka ya hivi karibuni tumekuwa tukifungua league dhid ya top6 sitoshangaa na safari hii tukifungua nao tena
Chelsea, tunaanza na Man City mechi yetu ya kwanza pale Stanford Bridge
Last season tulianza na Liverpool
Hivi EPL wanatuonaje?
Kwani sasa hivi ni saa ngapi, mjifunze kuweka akiba ya maneno itawasaidia huko mbeleniUmejuaje wakati ratiba kamili inatoka saa 5 asubuhi, acha urongo.
Wakati City ndiyo wameingiwa na uwoga kuliko Chelsea fcMatch Day 1 Bado mnajitafuta City atawaua nawaonea huruma, Nawashauri Msiingize Timu uwanjani.
Kitu ambacho kinanishangaza kuhusu project yetu tunamsajili huyu wakati hapo hapo tunamtaka olise wote wanacheza nafasi moja kumbuka pia tuna Madueke hii imekaajeGoli la ajabu sana hili, what a Right Winger? Ana uwezo wa kunyang'anya mipira, kudrible na kufunga. Natamani aje haraka Chelsea yeye na Kendry Paez tutakuwa na jambo msimu kuanzia 2025/26
View attachment 3019791
Wide players wana uwezo wa kucheza sehemu nyingi za mbele ikiwemo LW na RW, na Na. 10Kitu ambacho kinanishangaza kuhusu project yetu tunamsajili huyu wakati hapo hapo tunamtaka olise wote wanacheza nafasi moja kumbuka pia tuna Madueke hii imekaaje
Kukosekana kwa majeraha kwa Kante kwenye Ligi ya Saudia Pro League kunatoa mwanga juu ya athari za makocha kwenye majeraha ya wachezaji huko Chelsea.
Inadhihirika sasa kuwa majeraha yaliyodhaniwa haziepukiki yalikuwa yanasababishwa na makocha. Dhana ya kwamba Pochettino hakukusababisha majeraha inaonekana sasa kuwa sio kweli kwani makocha wanachangia pakubwa katika majeraha yasiyo ya lazima.
Mfumo huu wa makocha katika mazoezi kwamba yanachangia majeraha ni kweli si tu kwa sasa bali hata kwa siku za nyuma.
Kutokuwepo kwa majeraha ya kipuuzi chini ya uongozi wa PEP Guardiola kunadhihirisha huu ukweli na inahalalisha kile ninachobainisha hapa.
Natamani sana, Enzo Maresca [kocha wetu mpya] hataleta majeraha ya kijinga kama ilivyokuwa huko nyuma ili kuruhusu wachezaji kama James, Nkunku, Fofana, na Chilwell wawe bora na kuirejesha Chelsea mahali inapostahili.
View attachment 3019773