Ni kweli kabisa kuwa wamiliki wapya wa Chelsea waliwekewa katazo kulipa gawio (dividends), kuuza hisa au kuchukua ada za usimamizi (management fee) kwa miaka 10. ila hatujui vitu viwiliMkumbuke moja kati ya kipengele kwenye mauzo ya team ni hawawamiliki hawatakiwi kuuza team o stakes ndani ya miaka 10
Wewe unaangalia matokea badala ya mpira hata Carlo alivyokuwa Everton unaona kabisa ideal ya team, system nzima na approach ya game shida ilikuja utekelezaji kwa wachezaji wake hapa ndio unaona aliangushwa na kukosa quality player. Tukija kwa huyo kocha wako wa Brighton De zerbi hana plan B kwasababu kama unaona unafungwa kwa aina moja ya soka kwanini usibadilishe system yako nzima ya uchezaji?Poche angalau alionesha baada ya kuinvert Cucurella kucheza kama kiungo mkabaji at the same anakuwa left back hiyo ndio maana ya mbinu pia angalia hata game dhidi ya man city pale Etihad alibadilika hakutaka kupishana na Man city kama ilikuwa pale darajani ulichofanya ni kucheza counter attack huku tukiweka low block eti Kyatile watuambie hawa na mwenzake lembu huyo kocha wenu mnaempenda hizo mbinu mnazosema anamzidi Poche ni zipi? binafsi simkubali Poche lakini huwezi kuniambia kazidiwa kimbinu na De zerbiZiangalie hizo game vizuri Poch ameshindaje???kama sio quality ya wachezaji ndio mda mwingine inayoamua
Unaweza kuwa kocha mzuri ila quality ya wachezaji ulionao ndio ikakukwamisha.
Don Carlo wakat yuko Everton ilikuwaje??? Sahiv madrid hata anaweza kuwa nyuma kwa goal 2 ilq quality ya wachezaj alionao ikabadilisha matokeo + mbinu zake.
Tusikariri kwamba kocha lazima awe ametoka team flan no soka lishabadilika,
Sahiv unahitaji kocha na wachezaji wanaoendana.
Squad profile tulio nayo ni differ na Squad profil poch anayoendana nayo.
Usijudge kabla ya league kuanza? What if huyo anayekuja ndio akafanya makubwa kuliko hata Poch.Huu msimu wa pili na tunazidi kukosa mwendelezo continuity and consistency. Wachezaji wenye mikataba ya miaka 7 wamebakiza miaka 5 sasa na kilichofanywa na Poch tutakisadaka kwa ajili ya championship coaches. Matokeo wachezaji talented wataondoka kwa hasara na itakuwa vigumu kuvutia talents kuja darajani. Hayo yakianza kutokea njia yetu itakuwa ngumu sana. Msisahau kuwa Chelsea ina mashabiki loyal wachache sana. Wengi ni plastic fans yaani Chelsea ikifungwa msimu mmoja ni panic bila analysis ya nini kinasababisha. Hivyo umakini unahitajika sana katika kupata kocha mpya. Hatuhitaji hawa championship level coaches. Gerad, Rooney wamekuwa huko championship at times na tunajua nini kiliwatokea baadae
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Arteta kachukua kombe gani?.......Usijudge kabla ya league kuanza? What if huyo anayekuja ndio akafanya makubwa kuliko hata Poch.
Arteta Arsenal ndio team yake ya kwanza ila angalia kipi alichokifanya mpaka sasa.
League ikishaanza tuanze kuwajudge hapo
Sahiv stability ipo kuliko mwanzoni,Foundation Poch ashatengeneza ni jukumu la kocha anaekuja kuendeleza pale pale alipoishia Poch kwa maboresho machache.
PS.
Tunahitaji kocha anaendana na Profile ya wachezaji, Wachezaji wetu wanahitaji Possession based Coach
Mkuu mkuu delagete zipi hizo unazozizungumzia wakat kila kitu kimeshakuwa delagated, Maamuzi yiye yanayofanywa yanaanzia kwa Sporting Director lawrance Stewart na Paul Winstanley hawa ndio wanaofanya kabla ya maamuzi kupitishwa na ownerKuhusu makombe wanayataka ndiyo maana wakamnunua Enzo, Caisedo, Mudryk ila wanakuwa wajuaji sana wakati hawana uzoefu katika industry ya football hasa Uingereza.
Wanapaswa kugelegate some power kwa kocha hasa issues kama transfers ili afanye mashauriano na directors kuhusu wachezaji gani wanakuja. Assume msimu jana wanakuwa wanaingia mpaka dress room nakutoa speech break time na baabda ya mechi.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
FAArteta kachukua kombe gani?.......
Kitu cha kwanza tu Ujionwa Set Pieces Coach poch alivyosema yeye ndie atakaeamua awepo kwenye bench au asiwepo ilikuwa ni red flag 😂Chelsea wamekanusha maelezo yaliyozagaa kwamba wanatafuta kumteua meneja ambaye anaweza kudhibitiwa. Inaeleweka wanataka meneja ambaye yuko tayari kuchukua mapendekezo kutoka kwa wataalamu katika idara za matibabu, usajili na ufundi.
inajulikana kuwa Pochettino alikuwa baridi kwenye hilo.
@JacobSteinberg
Hili la kupewa kocha mamlaka ina two school of thoughtsKuhusu makombe wanayataka ndiyo maana wakamnunua Enzo, Caisedo, Mudryk ila wanakuwa wajuaji sana wakati hawana uzoefu katika industry ya football hasa Uingereza.
Wanapaswa kugelegate some power kwa kocha hasa issues kama transfers ili afanye mashauriano na directors kuhusu wachezaji gani wanakuja. Assume msimu jana wanakuwa wanaingia mpaka dress room nakutoa speech break time na baabda ya mechi.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Nimeiweka vizuri hii model ambayo hao wamiliki wanaifuata ambayo mimi sioni iko mabay. Barcelona waliifuata kwa miaka mingi na iliwapa mafanikio makubwa sanaKitu cha kwanza tu Ujionwa Set Pieces Coach poch alivyosema yeye ndie atakaeamua awepo kwenye bench au asiwepo ilikuwa ni red flag 😂
Sahiv vilabu vingi maamuzi yanafanywa na sporting director na recruitment team kocha ni kufanya kazi yako tu
Klopp ndio sabab ya Michael Edward Kuondoka liverpool sababu hizo hizo za kutaka control, Klopp anaondoka Edward Anarudi
Hili la kupewa kocha mamlaka ina two school of thoughts
Inategemea kwanza project inafuata model ipi?
Kama jibu ni namba moja lazima timu iweze kuti in kwa kocha
- Kati ya Coach ndiye ana depect identy ya uchezaji
- Klabu ndiyo inaamua identity ya uchezaji
Kama namba mbili ndio inachukuliwa lazima kocha anayechukuliwa aweze kufit in
Bahati mbaya au nzuri wamiliki wa Chelsea wao wameamua kufuata model no. 2 ambapo sasa wanatafuta kocha anayeweza kutengeneza timu icheze identity ya klabu
wamiliki na SD wanataka kocha anayeweza kucheza soka la kisasa la kumiliki mpira, progressive coach ambaye anaweza kubadilika kulingana na mpinzani.
Pia klabu inamtaka kocha ambaye atakuwa tayari kushirikiana na SD, Medical team na other technical department
So hili suala la deligation haitaweza fanya kazi kwenye hii project model ambayo wamemaua kuifuata
Tukumbuke pia kuwa hii model sio mbaya kama atapatikana kocha ambaye atafit in. Ila akija kocha ambaye yeye anawaza kwenda tofauti na hii model ataongeza mvutano na hakuna kitu kitakachoendlea na timu itavurugika.
Ukishaanza kuona kawaida kuwa na timu mbili. Utaanza kuona kawaida kuwa na wanaume wawili. Ndio maana nakemea pepo Gede akutoke.Nitaangalia itakavyokua
Ila kua na timu mbili sio vibaya eti!
Dah! Siwezi kua na wawiliUkishaanza kuona kawaida kuwa na timu mbili. Utaanza kuona kawaida kuwa na wanaume wawili. Ndio maana nakemea pepo Gede akutoke.
Nikisema Holyghost wewe sema FIREEEEE🫨🫨🫨