Huwez kujua mkuu, kuna ambae angekubali Xab Alonso aje chelsea kabla hajaenda Leverkusen. Kuliko kubaki na huyo kiazi bora achukuliwe yoyote tu.Bora tutusa kuliko kuletewa kocha wa Ipswich au Thom Frank😂😂😂
Tuchel alifukuzwa September 2022 na Enzo alikuja January 2023Tuchel
Sijui kwanini viongozi Hawajui kujifunza kwa upande wangu sitegemei watamleta kocha wa maana wanataka kocha ambaye atakuwa slave wao kwa kocha anaejielewa hawezi kukubali huu upuuziChangamoto KUBWA ni atakayefuata sasa
Tutegemee a very BIG mistake tena tukaletewa kocha wa kurudi nyuma hadi nyuma ya Potter
Anaitwa nani na anafundisha wapi?
Hapa Bayern wamepoteaVincent Kompany to FC Bayern
- not confirmed yet
Unautindio wa ubongo muone daktariPamoja na kutimua kocha wafukuzeni wafuatao
Caicedo
Lavia
Sterling
Fisadi
Sare
Chalobah
Chillwell
Reece James
Hawa ni mizigo kwenu leteni wachezaji wa kueleweka
Kwahiyo wewe unaamini Poch kafukuzwa kwa sababu hatujabeba makombe? Na hata Lampard, Tt na Potter?Sio tatizo mkuu hata wafike kumi chelsea tunataka makombe. Sisi sio wakugombania nafasi za kucheza Europa.
Yaani Guardiola aje Chelsea? U can't be serious!!Mnaopenda hii hali ya makocha kutimuliwa mjue hii tofauti kati ya wamiliki hawa na Abramovich
Abramovich alifukuza kocha kwa performance based
Hawa wamiliki wanafukuza kocha kwasababu hawaendani na mradi
Nifafanue ya pili
Akina Todd na Eghbali wanataka kocha ambaye atafuata maelekezo yote yaliyo kwenye Terms of Reference ya project
Barcelona ndio ilikuwa na hii approach ya kuwa na team identity kwenye uchezaji wa timu uwanjani
Changamoto hapa ni kwamba makocha wengi wakubwa wanakuja na style yao ya uchezaji ambao hauendani na wanavyotaka hawa akina Boehly
Hii inadhihirishwa na ukweli kwamba sasa wanataka kocha kijana ambaye akili yake bado flexible haijadumalia kwenye mfumo mmoja
Ndio maana makocha kama akina MOU, Conte hawataweza kamwe kujadiliwa kwenye nafasi hii ya kukochi Chelsea kwa zama hizi.
Kwa maoni yangu hii ni nzuri japo kuitekeleza itakwua na changamoto nyingi sana ya kumpata kocha elite na bado akawa na sifa hizo
PEP Guardiolaanaweza kuwa na sifa hizo ila hapatikani kwa sasa
Xabi Alonso anaweza kuwa na sifa hizo sijui ngoja tuone
Robert De Zerbi anaweza kuwa na sifa hizo ila kwa sasa hatujui
Ngoja tuone
Mpira unatazama kishabiki au??Pamoja na kutimua kocha wafukuzeni wafuatao
Caicedo
Lavia
Sterling
Fisadi
Sare
Chalobah
Chillwell
Reece James
Hawa ni mizigo kwenu leteni wachezaji wa kueleweka
6 ni kama wanamuonea tu,Bodi na wamiliki hawakupenda vitu hivi kwa Pochettino
- Sio kocha wa kuposses mpira
- Mazoezi na aina ya mafunzo aliyowapa wachezaji ni za kizamani
- Mbinu zake zilikuwa zinatia mashaka
- Hakuwa na muunganiko na mashabiki
- Hawakukubaliana kuhusu mchezaji gani asajiliwe na nani auzwe
- Nafasi nyingi zilizokuwa zinakoswa na wachezaji
- Uduni kwenye kuweza kucheza set pieces - yaani kuzuia na kufunga magoli
- Kumkataa kocha wa set pieces kutoka Brentford
- Malalamiko kwenye press conferences na media kuhusu uchanga wa kikosi, ukosefu wa uzoefu nk
TT alifukuzwa wiki chache baada ya kubeba makombe matatu ikiwemo UCLKwahiyo wewe unaamini Poch kafukuzwa kwa sababu hatujabeba makombe? Na hata Lampard, Tt na Potter?
Hawa wamiliki ni wehu ,bora Dezerbi au Ange Yule kocha wa spurs ,Majina yanayohusishwa na kocha mpya wa Chelsea.
Kabla hatujampata kocha mpya tutasikia mengi sana
- Kieran Mckenna
- Thomas Frank
- Eddie Howe
- Michel
- Enzo Maresca
- Sebastien HoeneB
- Wayne Rooney
KWa fikra za huyo jamaa anaamini Poch amefukuzwa kwa sababu hajabeba kombeTT alifukuzwa wiki chache baada ya kubeba makombe matatu ikiwemo UCL
Shut up tooinakuhusu nini wewe, shut up!