Sidhani kama Pochettino kaondoka kwa sababu ya performance based.Mauricio Pochetno kaondoka Chelsea
Huyo pochetino hana rekodi ya maana.Umeona wanayemtaka? Kocha wa Ipswich Town Kieran Mckenna
Nilikwambia bwana mdogo usiwe unapenda kutukana kila mtu.Mbona huwa mna comment kama hamna vichwa jamani?
Maurizio Sarri na Sarriball yake wakati anakuja alikua ameshinda kombe gani?
Jama hatuko enzi zile hebu tuwe watulivu. Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
mashabiki wengi wamezugwa na mechi 6 za mwisho😂😂Ila kiukweli Pochettino alituumiza sana sisi mashabiki wengine wenye hisia kali na hii timu.
Kuna ubishi fulani alifanya tukapoteza mechi kijinga tu
It is better ameondoka
View attachment 2996324
Kuna kitu kinanighasi kwenye akili yangu kuwa isije kuwa timu iliyomuondoa RDZ Brighton ni Chelsea.Sporting director wasifanye same mistake now
Klabu isiyojulikana iliilipa Brighton pauni mil 4.3 kama fidia ya kumwachilia Robert De Zerbi.
Mkataba umeshasainiwa tayari na kumekuwepo usiri mkubwa sana kwenye hili sakata.
Tunasubiri tu muda muafaka ufike ili tuweze kujua hiyo klabu ni ipi.
Kumbuka RDZ alishasema angependa kuendelea kuifundisha timu England
????
????
View attachment 2995501
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Changamoto KUBWA ni atakayefuata sasa
Tutegemee a very BIG mistake tena tukaletewa kocha wa kurudi nyuma hadi nyuma ya Potter
Uliona mbaliBado Poch Nene sio kocha, Akiendelea msimu ujao itabidi tuangalie mechi pembeni na First Aid Kit.
Ghallager ni mzur ila sio level y chelsea aisee, miguvu miiingi akili y mpira kisoda, naomba kueleweshwa kampita Rice kwa kitu gani????Galagher ameimprove sana, hata kitakwimu amemzidi Rice. Chalobah ni beki na anapimwa kwenye kukaba
wachezaji ambao kwa kweli hatutaweza kuwa nao ni
• Disasi - slow
• Sarr - hajitambui
• Gallagher - best lakini pure profit sake
• Chilwell - majeruhi
• Kepa - hafai
• Broja - hafai
• Lukaku - hafai
• Casadei - punguza mzigo, viungo wako wengi???
• Maatsen hatuna namna
• Datro Fofana - auzwe tu
• Hutchinson - auzwe tu
• Chilwell - majeruhi
• Sterling, anaishia huyo
• Lesley Ugochwuku
Hii ni zuga tu Di Zerbi anakuja