Wewe unatakaje aondoke au abaki?Hiyo ya wachezaji kumsupport ondoa
ungepanga mawazo yako kwa namba ningekutajia
Kufukuza fukuza makocha saa nyingine ni nzuri na saa nyingine ni mbaya, Kumbuka wakati wa Abramovich utimuajiw a makocha ndio uliotupa makombe mengi
Kukaa sana sio tija kwa klabu kubwa kama Chelsea, performance na makombe ziende sambamba ndio inaipa timu jina, umaarufu na mashabiki wengi kuongezeka
- Arsene Wenga alikaa arsenal miaka mingi bila kombe baada ya 2006
- Klopp alikaa Liverpool 11 akibeba makombe makubwa matatu tu
- Poche alikaa Spurs miaka mingi kafanya nini?
Pattern
Poche ni mzuri kwa ball transition na kushambulia ila kujilinda bado sana. Ili huo udhaifu wake uondoike anahitaji kuwa na makocha wasaidizi kwenye hilo eneo wanaojiweza sana
Inverted LB ya Cucurella imempa sifa kubwa sana na timu ikapata balance pale katikati. akiendlea kuwa mbunifu wa kuweka mbinu zinazofanya kazi hakuna mtu atakayemlaumu au kumtaka aondoke
Kwenye mbinu kiukweli anajitahidi sana hasa tunapocheza dhidi ya big team ile game dhidi ya man city Etihad team ilikuwa compact sana space baina ya safu ya defence na kiungo ilikuwa ndogo ikawapa tabu mno City kuifungua tukipata mpira tukawa bora kwenye counter attack in short ile game tulikuwa bora both defensively and attacks the same dhidi ya Arsenal Stanford Bridge natulikuwa tunashinda makosa ya Sanchez ndio ilifanya tutoke draw. Changamoto ya Poche ni dhidi ya team ndogo huwa anakuwa open mno hawaheshimu kabisa ndio maana tunaruhusu magoal ya kijinga unajiuliza kwanini asicopy and paste dhidi ya mbinu alivyocheza dhidi ya man city?Concern yangu kwa poch ni uwezo wake kimbinu sio mtu wa kubadilika mara kwa mara,
Na ni rahisi sana kumsoma,
Tunaelekea msim mpya je yuko tayar kubadilika kutokana na mchezo unavyoenda au ndio kuendelee kuforce vitu hata kama mambo yakienda ndivyo sivyo?
Je anaweza kuusoma mchezo nankufanya tactical change kadri mchezo unavyoenda?
Against low block team amejipangaje kwa hawa?
Game za home against top 6 ni kama tumecheza vizuri ila away ndio changamoto ilipokuwepo ukiitoa game ya City,Kwenye mbinu kiukweli anajitahidi sana hasa tunapocheza dhidi ya big team ile game dhidi ya man city Etihad team ilikuwa compact sana space baina ya safu ya defence na kiungo ilikuwa ndogo ikawapa tabu mno City kuifungua tukipata mpira tukawa bora kwenye counter attack in short ile game tulikuwa bora both defensively and attacks the same dhidi ya Arsenal Stanford Bridge natulikuwa tunashinda makosa ya Sanchez ndio ilifanya tutoke draw. Changamoto ya Poche ni dhidi ya team ndogo huwa anakuwa open mno hawaheshimu kabisa ndio maana tunaruhusu magoal ya kijinga unajiuliza kwanini asicopy and paste dhidi ya mbinu alivyocheza dhidi ya man city?
lembu
Akiondoka apatikane bora kuliko yeye??? mashakaWewe unatakaje aondoke au abaki?
Poch aendelee na kazi. Pamoja na wachezaji vilaza tulio nao ametupeleka uefa conference league. Huyu jamaa akipewa muda na wachezaji wazuri atatufikisha mbali. Huwezi kutegemea wachezaji vilaza kama Jackson na Steering wakakupeleka popote.Maamuzi yoyote about poch sidhan kama yataangalia mechi za mwisho sana ila inaweza kuwa ndio turning point yake kuendelea kuwepo
Tusubiri maamuzi yatakayokuja bases na overall performanc ya msim mzima
wanaweza wasikae kwa sababu dinner ya Tod Boehly na Pochettino ijumaa imeonyesha kila dalili kuwa hawatakaa. Aliyekuwa anamkataa Pochettino ni Boehly tu na naona wamemalizana tofauti na pia Boehly anaridhishwa na performance ya dec hadi may 2024. Tuonane Pre-season na msimu ujaoMaamuzi yoyote about poch sidhan kama yataangalia mechi za mwisho sana ila inaweza kuwa ndio turning point yake kuendelea kuwepo
Tusubiri maamuzi yatakayokuja bases na overall performanc ya msim mzima
Wachezaji tulionao sio vilaza, futa hiyo kauli. Wanaweza wakawepo wawili watatu ila wengine wa XI ni wachezaji boraPoch aendelee na kazi. Pamoja na wachezaji vilaza tulio nao ametupeleka uefa conference league. Huyu jamaa akipewa muda na wachezaji wazuri atatufikisha mbali. Huwezi kutegemea wachezaji vilaza kama Jackson na Steering wakakupeleka popote.
Sisi atutaki bonge la kocha tunataka makombe mkuuMtafanya makosa sana kumuachia Poch. Labda mpate bora zaidi ambapo tutasema mmepatia. Ila Poch aendelee, atawafikisha mbali.
Msisahau huyu mhuni Poch alitusumbua sana akiwa Tottenham na alifika mpaka fainali ya UCL.
Jamaa ni bonge la kocha.
Di zerby aje tu ,atatufaa sanaMkuu hiyo comment ilikuwa inamzungumzia kocha wa Brighton sio Pochettino maana nimeona hapa watu wanampigia promo kweli aje Chelsea
Heeee hili jini linabaki au sio ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pep Guardiola kuhusu mustakabali wake na mkataba unaotarajiwa kumalizika Juni 2025: "Ukweli ni kwamba ninakaribia kuondoka kuliko kubaki".
“Tumezungumza na klabu na hisia zangu ni kwamba nataka kubaki sasa. Nitabaki msimu ujao”.
"Lakini wakati wa msimu ujao tutazungumza, tutaona".
View attachment 2995117