Pochetino hajawahi shinda kombe lolote la maana.Kubadili makocha hivyo Kuna muda unaleta kisirani fulani hivi kwa wachezaji, unajua Ile kubadili mfumo kila muda inakuwa ni kama wachezaji wanakosa kontrol maana washaanza ku adupt mfumo halafu hapo hapo unaleta Tena mfumo mwingine
Mkuu uko sahihi kabisa. Nadhani katika huu mjadala wa kocha wengi tunaongelea hisia zaidi kuliko uhalisia. Ukiangalia makocha wengi wanaotajwa humu hawana utofauti mkubwa wa kiuchezaji na mfumo anaotumia Poch. Lakini kwakua ni msimu wa kwanza na yametokea haya tuliyoyaona hawana imani nae.Mkuu timu yetu inahitaji kocha mtulivu anayeweza kuendelea kuimprove viwango vya wachezaji na Poch ni kocha sahihi. Angalia Mudueke, Caisedo, Caragher, Palmer, etc. Hii siyo Chelsea ya zamani. Tusiishi kwenye illusion. Tuko kwenye ujenzi wa timu mpya tena kwa falsafa mpya kabisa. Makocha kama Conte, Tuchel, Mourinho hawakiwezi hiki kikosi
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Kulingana na hiki alichokifanya msimu huu nadhani kwa msimu ujao lazima a challenge kombe lolote. Tunuse hata fainali mbiliRDZ in Potter 2.0
Tuendelee na huyu Poch awachallenge Man City na Arsenal au angalau aiingize timu top 4 msimu ujao. Akishindwa hapo anaweza kuondoka ila akiweza kufanya hivyo basi msimu utakaofuata lengo liwe ni ubingwa and nothing else.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Mbona huwa mna comment kama hamna vichwa jamani?Pochetino hajawahi shinda kombe lolote la maana.
Hapo Chelsea kafika kimakosa tu.
Chelsea haitakuwa na mafanikio yoyote chini yake itaishia tu kwenda Europa.
Huyu ni wa kumuondoa.
wewe umesema Mzuri kimbinu ndio nimekuuliza mbona mbinu anayotumia msimu huu ni ile ile ya msimu uliopita unakuja kuleta hoja ya wachezaji mbona klopp katupiga fainal akiwa na average playerSababu iliyomfanya RDZ asepe hii hapa
akipata timu yenye uwezo wa kununua wachezaji wazuri huyu ni kocha mzuri kuliko Poche
View attachment 2994567
Lakini mwanzoni si mlisema hawa wachezaji ni matakataka? wakati kocha ndie alitaka kuwafanya waonekane takataka.Mkuu uko sahihi kabisa. Nadhani katika huu mjadala wa kocha wengi tunaongelea hisia zaidi kuliko uhalisia. Ukiangalia makocha wengi wanaotajwa humu hawana utofauti mkubwa wa kiuchezaji na mfumo anaotumia Poch. Lakini kwakua ni msimu wa kwanza na yametokea haya tuliyoyaona hawana imani nae.
Hawa vijana wanahitaji kuendelezwa katika mfumo huu huu sahihi kuamza kuwabadilishia tunaenda kuanza upya tofauti na Poch ambaye tayari keshawajengea kitu. Shida wengi wanafikra ya Chelsea ya makombe kila msimu. Nadhani sasa tubadilike tumuamini kuna kitu anaweza kufanya kwa hawa vijana akatengeneza timu tishio ulaya.
Mechi alizopoteza ni kwasababu ya kimbinu sio ubora wa wachezaji na simuoni akibadilika kama mnavyompamba hapa haiwezekani unapoteza a lot of game kwa aina moja ya mpira huo ubora wa kuusoma mchezo huko wapi?Umempoteza Caicedo n McAlister halaf replacement unaletewa za ajabu ambazo hazina impact mda huo huo hujakaa sawa unapata injury za wachezaj wako muhim Mitoma na March
Kwa team yenye quality player de zerbi anafanya vizuri, kimbinu kamzidi poch.
Kuna makocha kimbinu wamemzidi poch, yani ni rahisi kuusoma mchezo na kubadilika kadri mchezo unavyoenda.
Ni swala la mda tu wengi humu mtaanza kuwataja De Zerbi naomba apate team nzuri awaoneshe,Sebastian Hoeness,Thiago Motta
Soon Arne Slot atawaonyesha pale liverpool na hiv Michael Edward karudi msubir
Naona kama hatuelewani, kwanza sijawahi kuzungumzia masuala ya mbinu kwa RDZ. RDZ kaletewa wachezaji asiowaweza. Kumbuka Paul Winstanley alikuwa mtu wa karibu na RDZ akauzwa, Caicedo, Colwill, Maclister waliform a good bond nao wameuzwa. Brighton hawakumpa ushirikiano wakati wa kufanya replacement ya hao wachezjai muhimu akaishia kuwa unhappy ndio maan ameondokawewe umesema Mzuri kimbinu ndio nimekuuliza mbona mbinu anayotumia msimu huu ni ile ile ya msimu uliopita unakuja kuleta hoja ya wachezaji mbona klopp katupiga fainal akiwa na average player
Management yake ni watu wa maana sanaMalang Mamadou William Georges Sarr bado mchezaji wa Chelsea?
sasa yuko wapi jamani!
Ni mchezaji wa tisa kwa kulipwa mshahara mkubwa Chelsea analipwa pauni 120,000 kwa wiki huku Conor Gallagher akilipwa pauni 50,000 kwa wiki. Hii sio fair kabisa
View attachment 2994680
Onyesha comment yangu yoyote ile niliyomkubali huyo kocha, kama issue ni wachezaji sio mbinu tena unasemaje kimbinu kamzidi Poche binafsi simkubali Poche but huwezi kuniambia anazidiwa na huyu kocha ambaye habadiliki kimbinu kashindwa kuwatumia wachezaji waliopo kulingana na uwezo wao alafu unaniambia eti ni kocha Mzuri kimbinu au kuna maana nyingine ya tactics ambayo mnajua nyie?Naona kama hatuelewani, kwanza sijawahi kuzungumzia masuala ya mbinu kwa RDZ. RDZ kaletewa wachezaji asiowaweza. Kumbuka Paul Winstanley alikuwa mtu wa karibu na RDZ akauzwa, Caicedo, Colwill, Maclister waliform a good bond nao wameuzwa. Brighton hawakumpa ushirikiano wakati wa kufanya replacement ya hao wachezjai muhimu akaishia kuwa unhappy ndio maan ameondoka
Huyu huyu kocha mlikuwa mnamfagilia sana alipoipokea Brighton chini ya wachezaji wazuri. Mimi nilimkata kumkubali nikisema ameridhi klabu nzuri ilkiyojengwa na Potter. Sasa leo mambo yamemuendea vibaya mnamkataa
Sawa RDZ anaweza asiwe kocha mzuri ila kwa tallents tulionao anaweza kuwa mzuri na match nzuri
Ngoja tuone klabu atakayoenda baada ya hapa, ila ninachojua akienda klabu ambayo itamsupport kwa wachezaji anaowataka atakuwa dangerosu sana
Kuna mechi zaidi ya tano tumepoteza kipumbavu kabisa msimu huu na tatizo lilikuwa ni upuuz wa pochetino kwenye kuusoma mchezo , substitution na mbinu , huu msimu tulitakiwa kushiriki UEFAMechi alizopoteza ni kwasababu ya kimbinu sio ubora wa wachezaji na simuoni akibadilika kama mnavyompamba hapa haiwezekani unapoteza a lot of game kwa aina moja ya mpira huo ubora wa kuusoma mchezo huko wapi?
Huyu dogo sijui kwa nini wameshindwa kumuuza , huyu si alienda Monaco Kwa mkopo ?Malang Mamadou William Georges Sarr bado mchezaji wa Chelsea?
sasa yuko wapi jamani!
Ni mchezaji wa tisa kwa kulipwa mshahara mkubwa Chelsea analipwa pauni 120,000 kwa wiki huku Conor Gallagher akilipwa pauni 50,000 kwa wiki. Hii sio fair kabisa
View attachment 2994680
Mkuu hiyo comment ilikuwa inamzungumzia kocha wa Brighton sio Pochettino maana nimeona hapa watu wanampigia promo kweli aje ChelseaKuna mechi zaidi ya tano tumepoteza kipumbavu kabisa msimu huu na tatizo lilikuwa ni upuuz wa pochetino kwenye kuusoma mchezo , substitution na mbinu , huu msimu tulitakiwa kushiriki UEFA
Poch anahusika kwa hili
Swali ni Yuko flexible kimbinu??Lakini mwanzoni si mlisema hawa wachezaji ni matakataka? wakati kocha ndie alitaka kuwafanya waonekane takataka.
Anyway, Poche akiendelea alichokivumbua katika mechi za mwishoni hakuna mshabiki ataendelea kumtupia mawe na ndio maana mimi nasema hata kama simkubali, nitampa msimu ujao kuona kama hatavuruga timu tena kama alivyofanya sehemu ya kwanza ya msimu huu.
I will give him time to prove me wrong
Vitu ambayo nimeona Poche anaweza kuwa bora msimu ujao ni:
- Kusema hataendelea kusema tena kuwa wachezaji ni wachanga na wasio na uzoefu
- Hataendelea kusema kutrust the process
- Sasa anakiri Chelsea inatakiwa kushindania makombe msimu ujao
- Ijumaa hii ya tarehe 17 April 2024 alikuwa na dinner na Tod Boehly ambaye ndie anayetaka afukuzwe pale klabuni, na nadhani wameongea mengi mema na wameshamaliza tofauti zao kwa sasa.
- Alikiri kuwa hata tukimaliza na 5 na Chelsea ikashiriki michuano ya Ulaya haitoshi kwa wamiliki, kwa Sporting directo, kwa wachezaji na kwa mashabiki wote
- Amedai kuwa amefurahia sehemu ya mwisho wa ligi, ila hatashangilia kwa sababu ya historia ya Chelsea inahitaji zaidi
- Kwa sababu wachezaji wanampenda na wako tayari kumpigania uwanjani
- Kwa sababu ni wazi ameweza kuinua viwango vya Palmer, Madueke, Gallagher, Jackson, Malo, Chalobah na Cucurella
- Ameweza pia kumtumia vizuri Cucurella kwenye inverted LB
- Enzo anakiri kuwa alipokuja kwenye klabu, kulikuwa shagalabagala na sasa Pochettin o ameweka utaratibu na utambulisho, na maadili na nidhamu ya kazi umeimarika
- Sio chuki binafsi hapa, ni kweli Pochettino anawazidi makocha wengi kwenye kumanage wachezaji hasa wa calibre hii ya Chelsea. Mfano mzuri ni jinsi anavyokwenda sambamba na Madueke. Kwa kocha mwingine Madueke wala asingecheza mechi mbili pale Chelsea
- Baada ya kukutana na Boehly Ijumaa, Pochettino anawasiwasi kama kikao cha kumtadhmini kitakuwepo tena, anadai wasaidizi wake wataondoka kwenda likizo na yeye atakuwepo kwa siku chache kabla hajaondoka kwenda likizo. Hii ni dalili kuwa uongozi sasa wameshamkubali na hawana haja ya kumtadhmini
Tena kapoteza zaid ya tano kipuuzi sana na inauma mpaka keshoMkuu hiyo comment ilikuwa inamzungumzia kocha wa Brighton sio Pochettino maana nimeona hapa watu wanampigia promo kweli aje Chelsea
Hiyo ya wachezaji kumsupport ondoaMaoni kuhusu kubaki au kuondoka kwa MP
Me naona abaki kwasababu ameshaanza kupata pattern ya timu na unazingatia tumefukuza makocha wengi sana na kigezo kingine ni kwamba wachezaji wanamsapoti.
Tulikuwa nafasi ya 12 msimu uliopita right now umeonesha improvement mpaka nafasi ya 6 hopefully ni kocha ambaye ataturusha big 4 sina doubt kwenye hilo. Kitu ambacho tutapingana kwa pochettino sio kocha wa muda mrefu kwa maana ya kuwa sio kocha wa kutupa makombe nimeliona hili tangu spurs mpaka huku kwetu kwenye mechi muhimu anakuwaga hayupo serious game dhidi ya Arsenal ilinikera sana upangaji wake.
Concern yangu kwa poch ni uwezo wake kimbinu sio mtu wa kubadilika mara kwa mara,Maoni kuhusu kubaki au kuondoka kwa MP
Me naona abaki kwasababu ameshaanza kupata pattern ya timu na ukizingatia tumefukuza makocha wengi sana na kigezo kingine ni kwamba wachezaji wanamsapoti.
Tulikuwa nafasi ya 12 msimu uliopita right now umeonesha improvement mpaka nafasi ya 6 hopefully ni kocha ambaye ataturusha big 4 sina doubt kwenye hilo. Kitu ambacho tutapingana kwa pochettino sio kocha wa muda mrefu kwa maana ya kuwa sio kocha wa kutupa makombe nimeliona hili tangu spurs mpaka huku kwetu kwenye mechi muhimu anakuwaga hayupo serious game dhidi ya Arsenal ilinikera sana upangaji wake.