Unaifunga chelsea isiyo na ice cold palmer ndg mgetufunga hii engine ikiwepo tulikuwa na mashindano ya magari wakati gari letu halina engineNa kuwaonesha kwmba amebadilika sana siku hzi kwny lile kono la nyani alitupia 2 kutoka kwny mguu wake🤠🤠...mwsho wa msimu tutawaongezea aftatu Hawa majirani zetu
Hapa cha kuangalia chelsea akiwa na palmer ice cold inachechezaje na asipokuwepo inachezaje? Huyo chalii kila kitu cha chelsea kinapitia kwake pre assist&assists ,anaamua team icheze vipi .akikosekana team inapoteanaSimaanishi kuwa Jackson ni bora kuliko Palmer ila unataarifa kuwa Jackson ana magoli mengi kuliko Palmer ukiondoa penalty za Palmer?
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Unaifunga chelsea isiyo na ice cold palmer ndg mgetufunga hii engine ikiwepo tulikuwa na mashindano ya magari wakati gari letu halina engine
Kutufunga sikatai ila ingekuwa ngumu sio 5-0 refer game za chelsea agaist big six zote kabla ya mechi ya arsenal sisi ndio tumeleta chaos kwenye game nyingi, hako kadogo kana affect pakubwa sana haswa shape ya team ,5-0 hapana tungepata goli 2 hadi 3Labda angesaidia lakini elewa pia tuliweza kuwadhibiti kwenye chances. Mambo yenu yaligoma siku ile, huku sisi mipira ambayo kwa kawaida isingekuwa goli, yalikuwa magoli. Mfano magoli ya Kai, la kwanza mpira ulimgusa kipa, siku ingine ingekuwa save. La pili siku ingine lingetoka nje au kipa angeokoa.
Magoli ya Ben White, la kwanza lingekuwa offside kama Saliba asingemzuia Enzo kutoka kwenye box na akaendelea kuwa last defender. La pili alikuwa anacross mpira ukaingia. Hatujui ingekuwaje angecross tu, je wapokeaji wangefunga?
Vyovyote vile naamini ile mechi ilikuwa lazima tuwafunge tu.
Ndio maana nikasema pia mambo yenu yaligoma huku yetu yalikubali. Sidhani kama mgepata hata goli moja. Sisi tumekuwa wagumu sana kufungwa siku hizi, ila tusingewafunga 5.Kutufunga sikatai ila ingekuwa ngumu sio 5-0 refer game za chelsea agaist big six zote kabla ya mechi ya arsenal sisi ndio tumeleta chaos kwenye game nyingi, hako kadogo kana affect pakubwa sana haswa shape ya team ,5-0 hapana tungepata goli 2 hadi 3
Ko Palmer ndo beki yy kiungo yy kipa yy forward yy....unaongea kama kilaza mkuu..kaushaUnaifunga chelsea isiyo na ice cold palmer ndg mgetufunga hii engine ikiwepo tulikuwa na mashindano ya magari wakati gari letu halina engine
bwana mkubwa yeye anachoamini palmer angekuwepoKo Palmer ndo beki yy kiungo yy kipa yy forward yy....unaongea kama kilaza mkuu..kausha
2-2 stanford bridge unafikiri palmer alikuwa nani? .Jifunze kitu kinaitwa control ya mechi ,kuna wachezaji wana control mechi nzima,jiulize kwanini mlipaki basi etihad kwa city wakati Emirates mlijitutumua ?Jiulize kwanini Arsenal game jaribu zote anaanzia buldup nyuma lakini game ya chelsea stanford,emirates against spurs ,buyern game zote mbili na city etihad alikuwa anabutua watu wagombanie.Ko Palmer ndo beki yy kiungo yy kipa yy forward yy....unaongea kama kilaza mkuu..kausha
Haya upande wa defence haikuwa ya first eleven chalobah na Silva ndio first choice yetu lakini hawakuanza mpaka tunapigwa 5 ndio kocha anajifanya kuwaingiza pia upande wa RB hatukuwa na Agustobwana mkubwa yeye anachoamini palmer angekuwepo
bali tusingewadhalilisha namna ile
Mnaanza kutaja walokosekana sio🤠🤠...huwa wakiwepo wte kwani mnatufunga...nyny kausheni tu kono la Sokwe limekuwa funzo kwenu...baada ya pale na Enzo akaenda hospital kabisaHaya upande wa defence haikuwa ya first eleven chalobah na Silva ndio first choice yetu lakini hawakuanza mpaka tunapigwa 5 ndio kocha anajifanya kuwaingiza pia upande wa RB hatukuwa na Agusto
2-2 stanford bridge unafikiri palmer alikuwa nani? .Jifunze kitu kinaitwa control ya mechi ,kuna wachezaji wana control mechi nzima,jiulize kwanini mlipaki basi etihad kwa city wakati Emirates mlijitutumua ?Jiulize kwanini Arsenal game jaribu zote anaanzia buldup nyuma lakini game ya chelsea stanford,emirates against spurs ,buyern game zote mbili na city etihad alikuwa anabutua watu wagombanie.
Tulichezea nafasi za wazi kwa kupoteza point kwenye mechi uchwara sana. Tuna michezaji wasiojitambua sana.Sasa kwa matokeo9 ya Mwanitesa United, Chelsea anakabiliana na Newcastle kwenye nafasi ya 6 ma probably hata Spurs kwenye nafasi ya 5
View attachment 2982957